Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kuwa mkweli,SUMATRA wanafanyakazi nzuri anzia nsuli za train,bus na meli.
Mfano daladala toka simu 2000 hadi mbezi shs 400,hapa kuna km 8.usilaumu tuu toa mifano na ushahidi ueleweke

nazungumzia masafa marefu . hizo town movement zina bei zake elekezi wala hazihusiani na bei elekezi za hapo juu
 
Duh si mchezo, yani mpaka simba kaamua kupanda juu ya mti kujiokoa amejua hawa hawawezi kukwea, lakini jamaa wakajenga kibanda wanajua atashuka tu.

Inawezekana walishampa kichapo hevi akajisevu kwa kupanda mtini, sasa jamaa wanasubiria ashuke kwa round two. Huwa wanaua kabisa, utamhurumia simba akiwa anachezea kichapo.
 
Kuwa mkweli,SUMATRA wanafanyakazi nzuri anzia nsuli za train,bus na meli.
Mfano daladala toka simu 2000 hadi mbezi shs 400,hapa kuna km 8.usilaumu tuu toa mifano na ushahidi ueleweke
Mdau,SUMATRA hawapo makini,daladala za Makumbusho-Bunju na Makumbusho-Tegeta zimejipandishia nauli kiholela,now nauli imetoka 600/= ya halali kati ya Makumbusho-Bunju to 700/= mpaka 750/=,na tiket wameprint,ukisoma hilo Tangazo la SUMATRA walilobandika ambalo ndo la nauli mpya linaonesha ni la April,2013.Nijuavyo mimi nauli zikipanda SUMATRA hutangaza bei elekez kwenye media ila sasa ni wiki nauli hizo zimeshapanda,na pale mlangoni hawajabadili nauli wameacha 600/=.Sasa tusaidie umakini wa SUMATRA uko wapi hapo?Kama hapa Dar kuna figisufigisu hizi hulo mikoani na wilayani?
 

Attachments

  • 1450494843439.jpg
    44.2 KB · Views: 113
JPM tunaomba uweze tembelea vyuo vya serekali especialy dit maana mazingira wanayoishi wanafunzi sio rafiki kabisa na shida kubwa ikiwa ni maji na mota zilizopo kwa ajili ya kupandisha maji ni tatizo kwani zinafanya kazi kwa kusuasua.

shida hii ya maji inapelekea humo vyooni kuwa ni sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na wanafunzi
 
Tehe Tehe Tehe,, Institute of Technology haiwezi kufanyia ukarabati mashine ya maji,, ovyo kabisa hii Elimu yetu,,
 
Nyie hapo hapo chuon mmechukua hatua gan kushinikiza ukarabati huo ufanyike?haki haisubiriwi inatafutwa
 
Motor inasumbua? nendeni mtaani wenyewe wanasema kusuka wanasuka vizuri na itafanya kazi maana nyinyi mnasoma theory za ufundi tuu..
 
Acha wa mfanyishie huyo simba, iliniuma sana yule aiyeua mtalii south africa kwa kumchomoa kwenye dirisha la gari, yani hawana maana simba, hata majuzi kule serengeti wamepasua pasua tairi za landrover wakitaka kuwa lunch ...watalii roho zao dah!....hata sio wakumuonea huruma....mnyama anakuona binaadam lunch...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…