Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bona unaleta vitu vya kujadili,good .
Kuwa mkweli,SUMATRA wanafanyakazi nzuri anzia nsuli za train,bus na meli.
Mfano daladala toka simu 2000 hadi mbezi shs 400,hapa kuna km 8.usilaumu tuu toa mifano na ushahidi ueleweke
Anatia huruma eh
Ningekuwa mpiga pctr ningefukuza nyati nimshushe simba, alafu niende zangu.
Duh si mchezo, yani mpaka simba kaamua kupanda juu ya mti kujiokoa amejua hawa hawawezi kukwea, lakini jamaa wakajenga kibanda wanajua atashuka tu.
Hata jipu ng'ombe litatumbuliwa tu!
Mdau,SUMATRA hawapo makini,daladala za Makumbusho-Bunju na Makumbusho-Tegeta zimejipandishia nauli kiholela,now nauli imetoka 600/= ya halali kati ya Makumbusho-Bunju to 700/= mpaka 750/=,na tiket wameprint,ukisoma hilo Tangazo la SUMATRA walilobandika ambalo ndo la nauli mpya linaonesha ni la April,2013.Nijuavyo mimi nauli zikipanda SUMATRA hutangaza bei elekez kwenye media ila sasa ni wiki nauli hizo zimeshapanda,na pale mlangoni hawajabadili nauli wameacha 600/=.Sasa tusaidie umakini wa SUMATRA uko wapi hapo?Kama hapa Dar kuna figisufigisu hizi hulo mikoani na wilayani?Kuwa mkweli,SUMATRA wanafanyakazi nzuri anzia nsuli za train,bus na meli.
Mfano daladala toka simu 2000 hadi mbezi shs 400,hapa kuna km 8.usilaumu tuu toa mifano na ushahidi ueleweke
nazungumzia masafa marefu . hizo town movement zina bei zake elekezi wala hazihusiani na bei elekezi za hapo juu