Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hiyo si ipo pale Morogoro round abaut?

Nasikia ni ya bwana mmoja hivi tajiri sana anaitwa one one... Daaah mbona majanga haya!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hiyo si ipo pale Morogoro round abaut?

Nasikia ni ya bwana mmoja hivi tajiri sana anaitwa one one... Daaah mbona majanga haya!!!

BACK TANGANYIKA
papaa kadinda kuvunjiwa ghorofa lake kwani anadai kabla ya kujenga alifata taratibu zote kisheria,toka serikalini
 
Hapa common sense itumike. Apigiwe hesabu za kupitisha bomba sehemu nyengine. Hilo jengo linatia sura ya mji na kuweka mazingira mazuri.

Aiseee!!!!!! Wewe ni mtanzania kweli? Na umemaliza elimu kwa mitala ya Tanzania? Na hulijui bomba la Tazama?
Unashauri hilo bomba lipitishwe sehem nyingine sio?
Aisee! Good
 
Hivi lile li-workshop halipo siku hizi...!? BTW, mhandisi/technician unawezaje kushindwa kirekebisha ki-water pump..! Tena yawezekana ni single phase...! Au siku hizi kuna wanafunzi wa education hapo...!?
 
Jamani jengo zuri hivi livunjwe Kwan nani alimruhusu kujenga wakt anajua kuwa Kuna bomba limepita ?
 
Majipu yatakayotumbuliwa ni wanyonge na watumishi basi majipu mazito Kama ya wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa ndoto
Hilo ghorofa alivunjwi.wamevunjiwa maskini tu.na kwa taharifa yako mkurugenzi kashaomba msamaha kwa mwenye Mali.naishia hapa kwa Leo.
 
papaa kadinda kuvunjiwa ghorofa lake kwani anadai kabla ya kujenga alifata taratibu zote kisheria,toka serikalini

Kiukweli hapo busara itumike.

Kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu, apigiwe gharama ya kuhamisha au kuchepusha bomba hilo kwenda upande mwingine. Hapo serikali itakuwa imeondokana na lawama pamoja na hasara kubwa endapo mmiliki ataenda mahakamani kudai fidia.

Busara kubwa itumike kama ilivyotumika kuepusha bomoabomoa ya jengo la Tanesco pale Ubungo.

BACK TANGANYIKA
 
Chuo chenu ni cha ufundi . Sasa mnasoma elimu gani msiyoweza kuitumia hata kukarabati mota zinazoaribika ilo jamani si la magufuri. Ila akili zenu wanafunzi zimeganda . Ovyooooo! Inabidi mleta mada ufukuzwe chuo kwa sababu hujui unachotakiwa kufanya kwa elimu unayoipata shwaini
 
Kwanza alipataje hati; na pili alipataje kibali cha ujenzi? Mamlaka iliyotoa hivi vibali (serikali) inapaswa kuwajibika na kulipa gharama zote.
 
Hapa common sense itumike. Apigiwe hesabu za kupitisha bomba sehemu nyengine. Hilo jengo linatia sura ya mji na kuweka mazingira mazuri.


Hivi itakuwaje kama wakipitisha hiyo sehemu nyingine ambayo nayo ina nyumba za watanzania wengine ambao wapo nje kabisa ya eneo la bomba........?......nimewaza tu kidogo.........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…