Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado halijaenda chini
papaa kadinda kuvunjiwa ghorofa lake kwani anadai kabla ya kujenga alifata taratibu zote kisheria,toka serikaliniHiyo si ipo pale Morogoro round abaut?
Nasikia ni ya bwana mmoja hivi tajiri sana anaitwa one one... Daaah mbona majanga haya!!!
BACK TANGANYIKA
bado mkuu
Hapa common sense itumike. Apigiwe hesabu za kupitisha bomba sehemu nyengine. Hilo jengo linatia sura ya mji na kuweka mazingira mazuri.
Hilo ghorofa alivunjwi.wamevunjiwa maskini tu.na kwa taharifa yako mkurugenzi kashaomba msamaha kwa mwenye Mali.naishia hapa kwa Leo.Majipu yatakayotumbuliwa ni wanyonge na watumishi basi majipu mazito Kama ya wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa ndoto
papaa kadinda kuvunjiwa ghorofa lake kwani anadai kabla ya kujenga alifata taratibu zote kisheria,toka serikalini
Hapa common sense itumike. Apigiwe hesabu za kupitisha bomba sehemu nyengine. Hilo jengo linatia sura ya mji na kuweka mazingira mazuri.
Kiukweli hapo busara itumike.
Kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu, apigiwe gharama ya kuhamisha au kuchepusha bomba hilo kwenda upande mwingine. Hapo serikali itakuwa imeondokana na lawama pamoja na hasara kubwa endapo mmiliki ataenda mahakamani kudai fidia.
Busara kubwa itumike kama ilivyotumika kuepusha bomoabomoa ya jengo la Tanesco pale Ubungo.
BACK TANGANYIKA
Hiyo si ipo pale Morogoro round abaut?
Nasikia ni ya bwana mmoja hivi tajiri sana anaitwa one one... Daaah mbona majanga haya!!!
BACK TANGANYIKA
Kwanza alipataje hati; na pili alipataje kibali cha ujenzi? Mamlaka iliyotoa hivi vibali (serikali) inapaswa kuwajibika na kulipa gharama zote.