Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Sijajua unasimamia wapi.. Maana ueleweki Moto au Baridi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kusema ukweli. Ni moto au baridi?Sijajua unasimamia wapi.. Maana ueleweki Moto au Baridi..
Unashindwa kujielewa kuwa upinzani unaoutetea hauna dira na umepotea.Kwenye kusema ukweli. Ni moto au baridi?
Mzee Tupatupa
mzee Tupatupa wa Lumumba, unataka kutueleza kwamba huko nyuma walikosea walivyokuwa wanapeana au unatuposha hapa. Na pele mwenyekiti aliyekuwepo anataka kuachia madaraka mapema , si uchanguzi lazima ufanyike ili kuziba pengo lange? Kwa hiyo bado JPM anaweza kuwa mwenyekiti June. Naona mzee mwenzangu ngojea utumbuliwe tu JMP anakuwa mwenyekiti anza kufanya mazungumzo na chadema wakupe hifathi kama mzee L.
mkuu unatakiwa utafakari sanaLabda mungu ila si Mungu
Huyu anaetaka watu waishi kama mashetani atakuwaje mpango wa Mungu?
unarukia tu mada mjombaSahini kabisa mungu amlinde Rais wetu.