Rais magufuli
Waenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua,"
Jk alicheka na nyani akavuna mabua" sasa ni zamu yako ukicheza na upinzani huu inaongozwa na MZEE wa mbinu chafu inakura kwako,
Ushauri wangu
Achana nao tumikia wananchi michezo yao ya kugoma ni kukupotezea muda maana ndo MBINU yao waliyobaki nayo baada ya kupoteza falsafa ya ufisadi,
Kuwa makini usijaribu kulegeza hata kidogo hata ,kama iweje kama hawataki waache,
Maana
Jua mtaji wao ni umasikini wa watanzania kwahiyo jitiada zako kwao sio nzuri,