chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Utafugia wapi nyumba yenyewe ya kupanga? Ama ndo ule ushauri wa Mke wa Mfalme?Fuga kuku mwenyewe.
Ndiyo Zimbabwe iliharibika, Napenda sana Jeuri ya Mugabe, Lakini alichukua Ardhi bila Kutumia Utaratibu Mzuri, Angeweza Kuchukua Nusu ya Mashamba akawaachia Wakulima Wakubwa Nusu. Na Pia Kuwawezesha Wazalendo na Kuwapa Utaalamu wa Kuendesha Nusu au sehemu ya Nusu Nyingine. Na Kiasi Kingine akawagawia Wananchi wa kawaida Ekari moja au Mbili nao walime chakula. Lakini Akakurupuka na Matokeo ndio haya. Na Baadaye Imegundulika Kuwa Mugabe naye Ni Fisadi mkubwa tu Kama Mobutu, Ni huo Mdomo tu!Yote hayo usemayo ni sahihi ila ndio hivyo tena kamwe haiwezekan kwenye hik kizaz chet. Nafuu bas tungewaandaa hawa madago ambao ndio kizaz chet kichajo lakin ndio hivyo tena imetoka tumeshindwa na hao ndio watakuwa maamuma hata kutuliko.
Inasikitisha hii nch chin ya hik chama aina dira.
The only solushen ni Individual development baas!
Jenga, ufuge.Utafugia wapi nyumba yenyewe ya kupanga? Ama ndo ule ushauri wa Mke wa Mfalme?
Haya ndugu yangu. Nimekuelewa....Jenga, ufuge.
Mugabe aliathirika na vikwazo vya uchumi alivyowekewa na Western. Na Sio kunyang'anya mashamba.Ndiyo Zimbabwe iliharibika, Napenda sana Jeuri ya Mugabe, Lakini alichukua Ardhi bila Kutumia Utaratibu Mzuri, Angeweza Kuchukua Nusu ya Mashamba akawaachia Wakulima Wakubwa Nusu. Na Pia Kuwawezesha Wazalendo na Kuwapa Utaalamu wa Kuendesha Nusu au sehemu ya Nusu Nyingine. Na Kiasi Kingine akawagawia Wananchi wa kawaida Ekari moja au Mbili nao walime chakula. Lakini Akakurupuka na Matokeo ndio haya. Na Baadaye Imegundulika Kuwa Mugabe naye Ni Fisadi mkubwa tu Kama Mobutu, Ni huo Mdomo tu!
Ila Naweza Kuapa Kuwa Pamoja na Madhaifu ya Magufuli, sio Fisadi hata Chembe!
Hilo najua, Lakini aliwapa Kisingizio cha Mashamba, Na Uzalishaji wa Chakula Ulishuka kwa sababu hiyo. Uingereza Walichukia sana Kwa Kuwa walikuwa Wanaingiza Chakula Kingi hasa Mboga kutoka Zimbabwe kwa Bei nzuri.Mugabe aliathirika na vikwazo vya uchumi alivyowekewa na Western. Na Sio kunyang'anya mashamba.
The policy was pure cool.
Ndio maana nchi zA Africa zilishindwa kumkosoa.
Hilo najua, Lakini aliwapa Kisingizio cha Mashamba, Na Uzalishaji wa Chakula Ulishuka kwa sababu hiyo. Uingereza Walichukia sana Kwa Kuwa walikuwa Wanaingiza Chakula Kingi hasa Mboga kutoka Zimbabwe kwa Bei nzuri.
ayakamue vipi