Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
I wil tell him few words that are very useful for the wellbeing of the society but by first asking him a question as follows:
Have you wondered why politicians are not what they used to be? It’s not because their DNA has degenerated. It is rather because one can be in government today and not in power, because power has migrated from the political to the economic sphere.
The economic sphere has been colonizing and cannibalizing the political sphere to such an extent that it is undermining itself, causing economic crisis. Corporate power is increasing, political goods are devaluing, inequality is rising, aggregate demand is falling and CEOs of corporations are too scared to invest the cash of their corporations.
He should stop to be a growing threat to democracy.
IamMchovuWaFikra.
 
MH RAIS AKIKUPA NAFASI YA KUONGEA NAE LEO JAPO KWA DAKIKA MOJA TU,

JE UTAMWAMBIA NINI? PAMOJA NA...PONGEZI,USHAURI HATA MAOMBI n.k

Angalizo..maneno ya staha ni muhimu.
Nitamwambia asilegeze msimamo, mpaka atakapomaliza muhula wake
 
Nitamwambia ahimize upendo watz wapendane kama miaka ya nyuma
 
Awape posho walimu wote si wakuu wa shule tu kama ilivyoanza kufanyika sasa hivi analeta ubaguzi na chuki kwani wakuu hawana kazi zaidi ya kukaa ofisini, walimu wa kawaida ndio wanaofundisha morali ya walimu inashuka na matokeo yake yatakuwa mabaya
 
rais anayetumia 'mimi' badala ya 'sisi'; 'nita' badala ya 'tuta' hata nikipewa nafasi ya kumuambia chochote nitakuwa napoteza muda tu.
 
Ningemshauri aifanyie kazi katiba pendekezwa ya tume ya Mzee Warioba ili ipitishwe maana ile ndiyo itakayotutoa hapa tulipokwama.
 
Mimi nitamuomba aseme neno moja tuu
"Nimeguswa na tetemeko la ardhi Bukoba, Poleni! "
Na roho yangu itapona! .
Pasco
Pasco, amekusikia na NENO LIMEISHATOKA! Kuna uzi hapa kuhusu hilo neno kutoka kwa mtukufu.
 
Nitamuuliza nini ilikuwa dhamira yako kupiga push- up jukwaani wakati wa kampeni?
 
Siwezi kumshauli kitu kwa sababu hashauriki. Nitamwangalia then nitatoa kichinjio change mfukoni ntaondoka nikimsubiri 2020
 
Nitamwambia aache kuitawala TZ kwa staili ya ONE MAN SHOW.
 
Mimi ningemwomba
1. Afanye bidii kuunganisha taifa badala ya kuwagawanya kwa chama, kabila, bara na wasio wa bara, ukanda, lugha, etc, etc.
2. Arudishe democrasia nchini.
3. Adumishe amani nchini kwa upendo na siyo kwa mtutu wabunduki.
 
aache kufanya kazi za katibu kata, tunahitaji ajenge mausiano bora ya kimataifa ktk sekta zote muhimu nchini
 
Nitampongeza kwa kupunguza ufisadi ilà nitamwomba aache kupambana na wapinzani na pia arudishe matangazo ya mijadala ya bunge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom