Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe USIPO ANGALIA maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kulalamika tu....FANYA KAZI ACHA UMBEA HUKU MITANDAONI
Tanzania inakuwa masikini coz ya watu kama hawa. Unafiki ndyo unewajaa hawana huruma hata ya kizazi chao.Wizara hazina hela,pesa za miradi ya maendeleo hazijapelekwa. Unataka tufanye kazi zipi wakati tunasubiri pesa za miradi ya maendeleo ili tufanye kazi?
Kamueleze ENL si ndiye ulimchagua?usimsumbue Lizaboni!Ewe Lizabon unayeshinda humu mtandaoni ukimsifia Magufuli kuzidi hata mungu aliyekuumba naomba huu ujumbe umfikishie JPM.
Naomba umkumbushe kuwa muda wa kampaini umeisha kwisha hatuoni kazi anayofanya mpaka sasa zaidi ya siasa za kizamani.
Alituhaidi Tanzania ya viwanda na sio Tanzania ya mahakama.
Mpaka sasa hatuoni hata dalili ya kiwanda cha njiti za kuchokolea meno. Kila siku anatoa ahadi utadhani bado yupo kwenye kampain. Mwambie atimize ahadi alizotoa kipind anaomba kura kwanza izo nyingine asubiri mpaka kampain 2020.
Anatumia nguvu nyingi kuziba midomo ya wapinzani lakini uchumi unamuumbua. Mwambie kuwa " he can fool Tanzanians but not Economy"
Naomba umkumbushe kuwa yeye pia ni binadamu sio malaika. Anaweza kukosea kama binadamu wengine. Tunajua alikuwa hajajipanga kwa majukumu ya Uraisi. Haita mcost chochote siku akituambia tu ukweli kuwa serkal haina pesa na uchumi unashuka kuliko kutupa matumaini wakati sisi wenyewe tunaona maisha ya leo bora ya jana. Sisi watanzania niwapole mno na waelewa. Sikuzote mtu anayekubali kosa na kuaplogize is better than yule anayejifanya kichwa ngumu.
Na anayekubali kuwa kakosea sikuzote utafuta solution.
Kama mzalendo wa nchi yangu ninaumia kuona kila kona nayopita watu wanalalama kuwa maisha yamekuwa magumu. Na kila anayelalama haishii hapo lazima ataje jina Magufuli. Kwa sasa kila nakopita kati ya watu 100, 92 wanamuongelea magufuli kwa mabaya.
Ninapata uchungu naposikia viwanda vinafungwa kila kukicha, nyumba za watu zikipigwa mnada, bei ya chakula ikipanda. Tena Hasira inanizidi mpaka nataka kupasuka pale naposkia magufulu na mawaziri wake wakikuja navifua mbele wakijisifu eti uchumi unakua. Uchumigani unakua wakati our purchasing power is declining beyond repair. Au mpaka uchumi wetu uwe kama wa zimbabwe ndipo mtakubali kuwa nchi imefilisika?
Nchi gani yenye pesa imeshindwa hata kusaidia wahanga wake wa Tetemeko la arthi? Misaada yenyewe umepigwa pata potea.
Anapanga kununua pangaboi wakati hata mfuko wa maafa umetoboka.
Naomba niishie hapo kwa leo maana nasikia uchungu mpaka machozi yananitililika.
Imani yako imekuponyaUsiombe samahani maana unaonyesha Uwezo wako wa kushindwa kuelewa mambo mepesi
Hayo ni yangu yako yaeleze wewe. Ukukua utaelewa kuwa hapa sio sehemu za kumwaga stress zako unaelezea problem na suggested soln
Huu ni ubinafsi, shule yako vipi.Ili ukisaidie nini we we na familia yako? Mimi nilijua unamuomba kukuwakumbuka aliosema anataka kuwatumikia?
Mawazo mazuri ingeongeza ajira kazi zipo nyingi zanabebwa na mashirika ya nje. Hivi IET (INSTITUTE OF ENGINEERS TANZANIA) inafanya nini kwa sasa hivi. Si tuanzishe kitu kama hicho. IET ifanye hii kama agenda yake. Ije kwenye mkutano tuchangie mawazo.
Faida:
Tutaongeza wigo wa ajira
Miradi ya usanifu, ukadiriaji na ubunifu itafanyika kwa gharama halisi.
Wahitimu wa fani husika watapata maeneo ya mazoezI
Wanafunzi wa fani husika watapata sehemu ya mazoezi
Tutaendeleza utalaumu kivyetu vyetu.
Tutaongeza kipato cha taifa.
Nadhani sote tuko tayari kurudisha hii kampuni au kuanzisha nyingine kwa kununua shares. Lakini "to encorporate" hii kampuni inatakiwa mkono wa serikale
Raisi kwa kuwa unaelewa haya mambo tafadhali weka hili kwenye agenda zako ndogo ndogo.

nicol, utt, dse and the like mkuu. Tunataka kuendesha kama kampuni binafsi kupitia mkusanyiko wa watalaam wa ujenzi na mitambo yaani ENGs QS, ARCHITECTs, Surveyer , Valuer nk. Tutaianzisha wenyewe serikali ni kututafutia liason officer.Nynyi wepesi sana kusahau. hayo ni mawazo ya enzi za ujamaa. Huko tulishindwa mnataka turudi huko tena?
Mkuu kuna mtu anajiita Bombad.. hata sijui kama anaelewa maudhui ya nilichoandika au hata hiyo NEDCO ilifanyaje kazi. Yeye kaona bora achangie tu kwa kukosoa. Siyo kila kitu lazima kinisaidie mimi au familia yangu, lakini kitasaidia ustawi wa Taifa letu. Huo umimi kama Bombadier unao ni wewe siyo mimi.Mawazo mazuri ingeongeza ajira kazi zipo nyingi zanabebwa na mashirika ya nje. Hivi IET (INSTITUTE OF ENGINEERS TANZANIA) inafanya nini kwa sasa hivi. Si tuanzishe kitu kama hicho. IET ifanye hii kama agenda yake. Ije kwenye mkutano tuchangie mawazo.
Faida:
Tutaongeza wigo wa ajira
Miradi ya usanifu, ukadiriaji na ubunifu itafanyika kwa gharama halisi.
Wahitimu wa fani husika watapata maeneo ya mazoezI
Wanafunzi wa fani husika watapata sehemu ya mazoezi
Tutaendeleza utalaumu kivyetu vyetu.
Tutaongeza kipato cha taifa.
Nadhani sote tuko tayari kurudisha hii kampuni au kuanzisha nyingine kwa kununua shares. Lakini "to encorporate" hii kampuni inatakiwa mkono wa serikale
Raisi kwa kuwa unaelewa haya mambo tafadhali weka hili kwenye agenda zako ndogo ndogo.
Mkuu tuko pamoja, nashukuru tunazungumza lugha moja.G
nicol, utt, dse and the like mkuu. Tunataka kuendesha kama kampuni binafsi kupitia mkusanyiko wa watalaam wa ujenzi na mitambo yaani ENGs QS, ARCHITECTs, Surveyer , Valuer nk. Tutaianzisha wenyewe serikali ni kututafutia liason officer.