Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ninge
Ivi kwa wewe ungepata nafasi ya kumshauri Rais Magufuli tena kwa kualikwa Ikulu ungemushauri nini kuhusu maswala ya;

1. Kijamii,

2. Kisiasa,

3. Kiuchumi, na

4. Kimazingira?.

Acha jazba tuone na yeye anasoma hapa vizuri, shauri vizuri tu bila kutoa matusi na kama huna ushauri nyamaza
Ningemshauri One man show haina maana aachane nayo hakuna anayejua kila kitu.
 
1480565789940.jpg
 
Swali langu ni hili
Ivi kati ya Umaskini na Chadema, Kipi unakiogopa zaidi au kipi kinakupa shida zaidi hata hupati usingizi?
Yeye anaogopa Ukawa ndiyo maana ameamua kuchukua pesa zote za Safari za nje na pesa zingine za kubana matumizi zote kampatia Lipumba na kikundi chake wamsaidie kuwadhoofisha Wapinzani.
 
Mh Rais wa JMT, Salam kwako.
Kufuatia taarifa mbali mbali zikitolewa kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu,
1. Ni vema ukaanza ziara kujionea wewe mwenyewe hali ya maisha ya raia wako.
2. Kuwashukuru wapiga kura wako na kuwahakikishia juu ya utekelezaji wa ahadi zako kipindi cha uchaguzi.
3. kupata mrejesho,maoni na matatizo waliyonayo raia pengine hawa wateule wako hawakupi taarifa sahihi.
Wewe bado ni rais wetu wote,hata sisi wa liwale,nyamongo,lizaboni,ngerengere,itigi,peramiho n.k
 
sisi wakazi wa vijiji vya sanya stesheni,na mtakuja wilaya ya hai, mkoani kilimanjaro kweli tuna kero kubwa ya umeme huku.umeme wa rea umeshawekwa na nyaya zimesambazwa ila hatuwashiwi umeme huku.hatujui shida iliyopo ni nini.viongozi kutoka tanesco hai /wapimaji wanapita tu huku wakitaka tuwape fedha ndipo wawashe umeme...kwa kweli shirika la umeme tanesco wilaya ya hai limekuwa jipu ,ili uweze kufungiwa umeme wa Rea haraka unahitajika utoe chochote ndipo ufungiwe umeme kwa muda.jamani waziri hebu mulika tanesco yako wilaya ya hai utusaidie umeme uwashwe kabla ya krismas waziri wetu TUWEZE KUFURAHIA UMEME KAMA WATANZANIA WENGINE.TANGU UHURU HUKU HATUNA UMEME.UMEME WA REA UMEWEKWA SASA HATUWASHIWI.TUFANYAJE SASA JAMANI. na hawa wapimaji wa umeme hebu wafuatilie kwa ukaribu.hawa wamekuwa ndo kero hasa huku kwetu,pesa kwanza ndipo upimiwe..
tunaomba ufuatiliaji wako waziri
 
Mh, Dr John Joseph Pombe Magufuli,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa heshima na taadhima nakuomba upitie katika huu ukurasa kuona maoni ya watanzania wanasemaje.

============================================================
Nimeona nifanye hivi kwakuwa umekuwa ukisema upenda kupitia katika mitandando hivyo yamkini na hapa JamiiForums | The Home of Great Thinkers utakuwa unapitia kuona maoni ya watanzania kwa mambo mbali mbali.
============================================================
Ndugu mwanajamvi unaweza kuweka maoni yako bila mihemko na zingatia sheria za mitandao pia nikijua Moderator wataboresh huu uzi.
 
Haya maoni umetumwa uje uyakusanye au tunarusha jiwe gizani?

Jambo lingine, uhuru wetu una guarantee ya kutoa hayo maoni bila kuingia matatani?
 
1. Mr President, what do you normally do in your free time?
2. unapendelea kusoma vitabu gani au vya aina gani kama sehemu ya kujiboresha au kukufurahisha.

Shukran
 
Haya maoni umetumwa uje uyakusanye au tunarusha jiwe gizani?

Jambo lingine, uhuru wetu una guarantee ya kutoa hayo maoni bila kuingia matatani?
Zingatia sheria kwa nini uwe matatani? hii ni njia ya kumsaidia Rais wetu kwa wewe mwananchi kutoa maoni yako.
 
Zingatia sheria kwa nini uwe matatani? hii ni njia ya kumsaidia Rais wetu kwa wewe mwananchi kutoa maoni yako.
Mimi ninachomshauri, atengue ile kauli ya ''muhimili uliojichimbia chini zaidi''....kile ni kiashiria cha udikteta maana ana-oppose sifa ya kidemokrasia ya separation of power.
 
Tujikumbushe haya wakati tunatafakari ushauri na maoni:

Kiongozi : kuna watumishi walikua wanalipwa mishahara ya Mil.40 kwa mwezi.

Mtumishi : Hakuna mtumishi wa umma aliyewahi kulipwa Mil.40

Kiongozi: Kuweka pesa za umma kwny fixed account ni kosa.

Mtumishi : Hakuna kosa lolote kiuchumi kuweka pesa za umma kwenye fixed
account.
Kiongozi: Hali ya uchumi ni nzuri mabank yana pesa za kutosha.

Mtumishi : Hali ya uchumi katika mabank ni mbaya

Kiongozi: Pumzika, utapangiwa kazi nyingine.
 
Kila chama kilikuwa na ilani yake, sasa kusema ampe ubunge then cheo anachostahili Serikalini una maana gani? Je akiwa serikalini atakuwa anatekeleza ilani ipi kati ya ile ya ACT ya kwake na hii yenu ya CCM?
hapa nadhani Bi Foxy Ameteleza kidogo.

Maana kwa katiba tuliyonayo haimpi fursa Mh Rais kumteua Mtu wa chama kingine, Aje Apewe Madaraka flani Katika Serikali.

Ila inampa Mh Rais Kumteua kama Mbunge wa nafasi maalum kama ilivyokua kwa Ndugu James F Mbatia.

Ila kwa nafasi kama ya Uwaziri Katiba hairuhusu jambo ilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom