Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
wewe USIPO ANGALIA maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kulalamika tu....FANYA KAZI ACHA UMBEA HUKU MITANDAONI

Wizara hazina hela,pesa za miradi ya maendeleo hazijapelekwa. Unataka tufanye kazi zipi wakati tunasubiri pesa za miradi ya maendeleo ili tufanye kazi?
 
Wacha Waisome Namba Ya Gari T 999 Ccm. Maisha Magumu Then They Just Answer That Dili Makers Ndo Wanalalamika. Are Many Tanzanians Dili Makers? Watambue Watu Wanalalamikia Hali Halisi, Wanayokumbnanayo Kitaa!
 
Kamueleze ENL si ndiye ulimchagua?usimsumbue Lizaboni!
 
Usiombe samahani maana unaonyesha Uwezo wako wa kushindwa kuelewa mambo mepesi
Hayo ni yangu yako yaeleze wewe. Ukukua utaelewa kuwa hapa sio sehemu za kumwaga stress zako unaelezea problem na suggested soln
Imani yako imekuponya
 
Kama kichwa cha habari kilivyo, NATIONAL ESTATES AND DESIGNING CORPORATION(NEDCO) kama ilivyo kwa NHC na TBA, lilitoa mchango mkubwa huko nyuma katika Usimamizi wa miradi ya Serikali hasa upande wa Usanifu/Ubunifu.

Ni wakati sasa wa kuangalia uwezekano wa kulirudisha mikononi mwa umma na kutafuta wataalam wenye ueledi kwenye ubunifu na ushauri katika tasnia ya Uhandisi na Usanifu.

Sijui nini kilitokea lakini serikali nayo kumiliki chombo kama hiki kuna umuhimu wake. TBA inaweza kuwepo na ikaangaliwa muundo ili ku customise majukumu.

Nawaomba kuwasilisha, hayo ni mawazo yangu tu.
 
Ili ukisaidie nini we we na familia yako? Mimi nilijua unamuomba kukuwakumbuka aliosema anataka kuwatumikia?
 
Mawazo mazuri ingeongeza ajira kazi zipo nyingi zanabebwa na mashirika ya nje. Hivi IET (INSTITUTE OF ENGINEERS TANZANIA) inafanya nini kwa sasa hivi. Si tuanzishe kitu kama hicho. IET ifanye hii kama agenda yake. Ije kwenye mkutano tuchangie mawazo.
Faida:
Tutaongeza wigo wa ajira
Miradi ya usanifu, ukadiriaji na ubunifu itafanyika kwa gharama halisi.
Wahitimu wa fani husika watapata maeneo ya mazoezI
Wanafunzi wa fani husika watapata sehemu ya mazoezi
Tutaendeleza utalaumu kivyetu vyetu.
Tutaongeza kipato cha taifa.
Nadhani sote tuko tayari kurudisha hii kampuni au kuanzisha nyingine kwa kununua shares. Lakini "to encorporate" hii kampuni inatakiwa mkono wa serikale
Raisi kwa kuwa unaelewa haya mambo tafadhali weka hili kwenye agenda zako ndogo ndogo.
 
Nasikia hawashauriki...!!!
 

Nynyi wepesi sana kusahau. hayo ni mawazo ya enzi za ujamaa. Huko tulishindwa mnataka turudi huko tena?
 
Watu wanayomengi mazuri ya kuibadili Tanzania lakini kumshauri sizonje au CCM in kumpigia mbuzi gitaa!!
 
G
Nynyi wepesi sana kusahau. hayo ni mawazo ya enzi za ujamaa. Huko tulishindwa mnataka turudi huko tena?
nicol, utt, dse and the like mkuu. Tunataka kuendesha kama kampuni binafsi kupitia mkusanyiko wa watalaam wa ujenzi na mitambo yaani ENGs QS, ARCHITECTs, Surveyer , Valuer nk. Tutaianzisha wenyewe serikali ni kututafutia liason officer.
 
Mkuu kuna mtu anajiita Bombad.. hata sijui kama anaelewa maudhui ya nilichoandika au hata hiyo NEDCO ilifanyaje kazi. Yeye kaona bora achangie tu kwa kukosoa. Siyo kila kitu lazima kinisaidie mimi au familia yangu, lakini kitasaidia ustawi wa Taifa letu. Huo umimi kama Bombadier unao ni wewe siyo mimi.

Mkuu, nakushukuru umeelewa logic behind ya mawazo niliyoyatoa, na kama wapo washauri makini kwa Rais, hilo jambo naamini wakilichukua na kufanyia kazi ni jambo jema.
 
G

nicol, utt, dse and the like mkuu. Tunataka kuendesha kama kampuni binafsi kupitia mkusanyiko wa watalaam wa ujenzi na mitambo yaani ENGs QS, ARCHITECTs, Surveyer , Valuer nk. Tutaianzisha wenyewe serikali ni kututafutia liason officer.
Mkuu tuko pamoja, nashukuru tunazungumza lugha moja.
 
Ivi kwa wewe ungepata nafasi ya kumshauri Rais Magufuli tena kwa kualikwa Ikulu ungemushauri nini kuhusu maswala ya;

1. Kijamii,

2. Kisiasa,

3. Kiuchumi, na

4. Kimazingira?.

Acha jazba tuone na yeye anasoma hapa vizuri, shauri vizuri tu bila kutoa matusi na kama huna ushauri nyamaza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…