Ningemshauri One man show haina maana aachane nayo hakuna anayejua kila kitu.Ivi kwa wewe ungepata nafasi ya kumshauri Rais Magufuli tena kwa kualikwa Ikulu ungemushauri nini kuhusu maswala ya;
1. Kijamii,
2. Kisiasa,
3. Kiuchumi, na
4. Kimazingira?.
Acha jazba tuone na yeye anasoma hapa vizuri, shauri vizuri tu bila kutoa matusi na kama huna ushauri nyamaza
imekuchapa vizuri ee. Maana hao magaidi watupuUKAWA Ni Kiboko Yao!
Yeye anaogopa Ukawa ndiyo maana ameamua kuchukua pesa zote za Safari za nje na pesa zingine za kubana matumizi zote kampatia Lipumba na kikundi chake wamsaidie kuwadhoofisha Wapinzani.Swali langu ni hili
Ivi kati ya Umaskini na Chadema, Kipi unakiogopa zaidi au kipi kinakupa shida zaidi hata hupati usingizi?
Anatumia Nusu ya Pato la Taifa kule Hazina kuidhoofisha chadema.Nadhani anaiogopa zaidi Chadema, kwa sababu ndio anayoidhibiti zaidi ya anavyodhibiti umaskini.
ahahahaimekuchapa vizuri ee. Maana hao magaidi watupu
Those Long Old Days!Mkuu,umenikumbusha mbali!
Zingatia sheria kwa nini uwe matatani? hii ni njia ya kumsaidia Rais wetu kwa wewe mwananchi kutoa maoni yako.Haya maoni umetumwa uje uyakusanye au tunarusha jiwe gizani?
Jambo lingine, uhuru wetu una guarantee ya kutoa hayo maoni bila kuingia matatani?
Mimi ninachomshauri, atengue ile kauli ya ''muhimili uliojichimbia chini zaidi''....kile ni kiashiria cha udikteta maana ana-oppose sifa ya kidemokrasia ya separation of power.Zingatia sheria kwa nini uwe matatani? hii ni njia ya kumsaidia Rais wetu kwa wewe mwananchi kutoa maoni yako.
hapa nadhani Bi Foxy Ameteleza kidogo.Kila chama kilikuwa na ilani yake, sasa kusema ampe ubunge then cheo anachostahili Serikalini una maana gani? Je akiwa serikalini atakuwa anatekeleza ilani ipi kati ya ile ya ACT ya kwake na hii yenu ya CCM?