Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ashauliwe na nani wakat ataki kupangiwa... alafu washauri wake ndo polepole na bashite unategemea nini
Ni wakati sasa aachane na washauri wa namna iyo ikiwemo pia waliokuwa washauri wa Nyerere kwa kuwa kusema kweli hawakumshauri vizuri mwalimu kupelekea nci kuanguka vibaya sana kiuchumi
 
Ni wakati sasa aachane na washauri wa namna iyo ikiwemo pia waliokuwa washauri wa Nyerere kwa kuwa kusema kweli hawakumshauri vizuri mwalimu kupelekea nci kuanguka vibaya sana kiuchumi
Acheni limuangukie si anavunga superhuman sana
 
Reactions: SDG
Alikwisha Sema hataki ushauri wa aina yeyote ndiyo maana anasema tumechezewa kwa miaka hamsini
Ni vizuri awe makini. Duniani ukitaka upate lazima utoe kikubwa ni kutumia akili na busara zaidi. Tanzania sio kisiwa.
 
Reactions: SDG
Huyu mtu hashauriki hata kwa sekunde moja. Ni one man show na anajiona yeye ndiye yeye hakuna mwingine ajuaye zaidi yake ndiyo sababu kukurupuka kila mara na kuingiza nchi kwenye matatizo chungu nzima.

Kawatisha kwa kuwatumbua hata kama hawajatenda kosa lolote lile! Kumbuka yaliyompata Nape dhidi ya kutimiza wajibu wake kama Waziri kufuatia uvamizi wa Clouds Studio.

 

Washauri wake wote wanasubiri aseme halafu wao ndio wacheze na hiyo hisia yake. Washauri wake wote wanajali maisha mazuri kwa nafasi alizowapa, wanaogopa kumshauri asichopenda vitumbua vyao vikaungia mchanga. Simply hamuamini yoyote kutoka hao wasaidizi wake na hasa tabia yake ya kuwapa maelekezo kwa kufoka ndio anawanyamazisha kabisa.

Kibaya zaidi hao wasaidizi wake ni wanafiki wa kutupwa, wanajifanya wanamsupport lakini akitoka madarakani ndio utaona rangi zao. Huoni washauri wa JK nao siku hizi wanasema nchi ilikuwa imeoza?
 
Sitaki kuamini kuwa hashauriki. Tumuombe aanze kuwasikiliza washauri wake na pia washauri wake watumie weredi katika kumshauri vizuri.
 
Kama ndo ivo wafanyavo wanakosea sana. Ni wajibu wao sio tu kumshauri bali pia kumshauri katika ukweli kwa mustakaabali mpana wa maslahi ya taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…