Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.
Msifananishe China na Tanzania kwa kigezo cha lugha wachina wanajiweza sisi walala hoi tuHata huko Uingereza, Ulaya na Marekani anatumia tu kiswahili akina Obama na Cameroun watatafsiriwa. Mbona viongozi wa china wanakwenda huko na wanatumia kichina na kuelewana bila shida.
Jamani tuweke akiba ya maneno hapo.
Mimi ninachokiona kila mtu ni mtendaji mzuri akisimaniwa vizuri.
Kwa kuwa tumempata msimamizi mzuri basi atakayeteuliwa kuwa waziri ajue sio zama zile za kujisimamia ila atasimamiwa na kupimwa kazi zake na bosi wake ambae ndie rais wa JMT.
Kubwa zaid rais kasema wazi km mtu anajiona hawez kuendana na kasi basi aseme mapema.
Tusipuge kampeni humu fulani hafai fulani anafaa huu ni unafiki ambao rais hataki kuusikia
Muhongo, Mwakyembe, Lukuvi na Mwigulu wanafaa.
Huyu muhongo hapana! Hafai kwa maana anahusika kwa namna moja ama nyingine na sakata la escrow! Kitendo cha kuwa na mashaka tu na mtu kuwa ni mwizi wa pesa ni sababu tosha ya kumpiga chini! Nashauri ndugu magufuli usirogwe kumpa huyu bwana! Hutakuwa na jipya! Na CCM itakua ni ile ile
Hawa wote wana kashfa za kutosha ukimtoa mwakyembe
Haha...mkuu umenichekesha sana
hawa ghasia sjui alikuwa anafanya nini hasa ofisini kwake.
maghembe ni janga hastahili kabisa uwaziri
Muhongo, Mwakyembe, Lukuvi na Mwigulu wanafaa.[/
Hivi Mwakyembe kuna anachojua kwenye siasa za Tanzania zaidi ya Richmond? Mwambieni Mwigulu akafute uchafu alioandika kwenye madaraja na magofu nchi nzima.
Hahaha sawa nimekusoma, siwezi kubishana kwa kitu kama hicho, kama unadhani baraza la mawaziri linapatikana kutokana na michango ya jf basi baki na mawazo yako.