Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 883
- 1,291
Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.
kinachosemwa hapa lugha ya kiingereza ni medium for learning kutoka form 1 had I chuo...so kama kinampiga chenga kama mimi ujue educational system ni mbovu au ni creamer hatareee