Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwa nyongeza tu uwekwe ushuru kwa kila mtu atakayepita kwenye barabara kuu alipe sh.100/ mfano Dar ya Kilwa, Bagamoyo, Pugu na Morogoro na zikusanywe kwa kutumia mfumo mpya. Itapatikana pesa ya kutosha kuboresha magereza na nyumba za askari, Tanzania tumejaliwa pesa ipo nyingi sana.
 
Tuanze na huku kwenye mitandao ya kijamii kwanza. Huku watu wanachezea pesa tu, bora tuweke kodi hiyo ndogo ili isaidie kujenga taifa kuliko kuziachia hizo pesa zipotee bure tu kwa watu kutukanana na kuandika ujinga siku nzima.
 
siungi hoja mkono naogopa kupelekewa matamuzi mengne yasiyo na tija km kina molel na mtulia.napendekeza kodi ya kichwa ili watanzania wote tuwe na uchungu na nch yetu.tupo zaidi ya 55milion wenye kulipa kodi ya kichwa tupo km 35mil*20,000=750Bilion nipato kubwa sna kwa mwaka nakila mtu atakuwa na uchungu sbb anajua kodi yake ndyo inayojenga bara2 inamlipa police mwalimu mbunge kuliko shv weng wanaona nikm serikali inatoa tu kma zawadi fulani kwao bila kujua ni kodi yao
 
Ng'ombe humlishi unachofikiria ni kumkamua maziwa tu, mwishowe utakamua damu! Mawazo ya kipumbavu kabisa!
 
Lengo la mtoa mada ni kutaka tukaishi shimoni...na we we utakuwa umetumwa kuja kututesti tutalipokeaje tens mshindweeee.. kwa unyonyaji huo pamoja na kutufanya tuishi kama mashetani bado mnaona haitoshi hebu tupumzisheni kidogo sasa khaaaa.
 
Sina shida kama nikikatwa hiyo 200 halafu ikaenda kufanyia mambo yatakayoboresha maisha ya Mtanzania, na sio viini macho tunavyoviona sasa.
 
Wazee wa kutest mitambo! Omba sasa wachangiaji waongezeke then "conclude"
 
Hii imegandamiziwa kwa majirani zetu,mwisho watatuona mazuzu Ku copy kila kitu kutoka kwao,nyie ubunifu umewashinda mpaka kila kitu mgandamizie?
 
Ng'ombe humlishi unachofikiria ni kumkamua maziwa tu, mwishowe utakamua damu! Mawazo ya kipumbavu kabisa!
Watanzania hawapendi kulipa kodi, lakini wengi wao utawaona siku nzima wanashinda kwenye mitandao ya kijamii wanapost ujinga na kuangalia uchafu. Sasa bora hiyo pesa wanayopoteza kununu bando, waanze kuipia zaidi ili itumike kulinufaisha taifa kwa ujumla.

Waalimu wetu wanateseka kukosa nyumba za kuishi wakati huku kwenye mitandao ya kijamii watu wanachezea pesa tu.
 
Sasa kama mitandao ya kijamii ni kama bia, kwanini unalalamika? Wewe tulia tu, kodi ikianzishwa na wewe uwe mlipaji basi.
 
Sipati picha watu wanavyoomba kupangiwa kazi ya ofisi ya makamu wa rais
 
Kama atakuelewa shukuru MUNGU mkuu.
Si lazima aelewe na kutekeleza. The consequences/Madhara za kutohudhuria mikutano lama hiyo yitakapo dhihirika ndo mtu ataelewa.
Bila hivyo ni kazi kama kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…