Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Zadi zaidi ni la hawa watu wasiojulikana wa awamu ya 5 ''The mission of unknown in a day light at a Guarded Compound''
 
Niambie tusi Moja tu alilotukana huko ughaibuni.
 
Laiti ningeweza kumbadilisha magic awe lisu na lisu awe magu

Angalau magu avae viatu vya lisu japo kwa saa moja
Hii magic ungeitumia kuangamiza zaidi ungewasaidia watanzania.


# HON_TUNDU_LISSU #
Hello Friends of Tundu Lissu,
Salaam,
Naomba nianze na afya yangu. Kwa ujumla naendelea vizuri. Operesheni sasa zimeisha; zimeishia kwenye namba 24, maana hii ya mwisho ilikuwa ni operesheni mbili kwa mpigo. Walitoa kipande cha mfupa upande wa kushoto wa kiuno na kukipigia kiraka kwenye goti la kulia kwa juu.
Vidonda vyote viwili vimepona, angalau kwa juu. Sasa ni mazoezi ya kukunja goti lenyewe na kutembea. Natakiwa kuonana na madaktari wangu kila baada ya wiki sita kwa ajili ya x-ray na CT scan. Next appointment ni tarehe 2 Aprili na inayofuata ni tarehe 14 May.
Kwa vyovyote vile, safari iliyobaki sio ndefu sana. Ndani ya mwaka huu nitarudi nyumbani. Kwa pamoja, tuanze kujielekeza kwenye hilo. Tutashauriana kwa pamoja kuhusu tarehe na utaratibu mzima wa kurudi nyumbani.
Haya ya Ndugai na watu wake, na walio nyuma yao, tukabiliane nayo. Tutayaweza. Nguvu ya nuru, upendo na haki siku zote ni kubwa kuliko nguvu ya giza, chuki na dhuluma.
Nawashukuruni sana na Mungu wetu awabariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani dingi unajua haileweki kuna mda tunaweza mtupia rawama kibao kumbe siyo yeye ni watendaji wake wanatenda haya kujipendekeza kwa baba maana baba hasomeki
Mkuu tafuta video YouTube alipotoa hotuba Zanzibar, ambapo Seif alikataa kumpa Mkono Dr. Shein
Ndiyo utaijua roho ya Magu.
 
Tofauti ya kutukana na kusema ukweli iko wazi. Tusi ni tafsiri, ndio maana huko aliko wanaona MANENO yake si matusi, wasingemruhusu kuongea. Usiwe shabiki wa misaada, unauza Uhuru wako. Hatulipi kodi stahiki, tunayolipa, inatumiwa wajuavyo.
 
Umeandika vizuri sana Mkuu, lakini I am sorry to say that huyu si binadamu Mkuu hata shetani ana afadhali kwa jinsi alivyo na roho mbaya, visasi na chuki za kutisha. Ana umbo tu la binadamu.

 
Duh! Mkuu umeandika kwa hisia sana kama vile nakuona una hali gani, Mungu akubariki sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya kutukana na kusema ukweli iko wazi. Tusi ni tafsiri, ndio maana huko aliko wanaona MANENO yake si matusi, wasingemruhusu kuongea. Usiwe shabiki wa misaada, unauza Uhuru wako. Hatulipi kodi stahiki, tunayolipa, inatumiwa wajuavyo.
Uko alipo Lisu , wao Matusi ni kawaida ndiomaana wanaita uhuru wa kutoa maoni. Ila Lisu alipoa anza kumtuhumu JPM kuhusu kushambuliwa kwake, Mtangazaji alimuuliza anao ushahidi usiona shaka juu ya tuhuma izo ? Lisu alibaki Macho yana mtoka!! Kwakua hana uhakika ila dhamirayake ni kumchafua JPM ndio maana kila atakacho Post atatafuta namna ya kumtus JPM.
Tangu pale ata Wazungu alioenda kuwashtakia wakajua kwamba Lisu anetawaliwa na Mihemko kuliko uhalisia. Wakili anayejiita msomi hawezi kutuhumu watu hovyohovyo, mara Aseme kabudi katumwa,mara Ndugai anatumika, mara Masiringi katumwa yaani aamini kwamba ao anaosema wametumwa ni watanzania na wana maoniyao kuhusu Maswahibu yaliyo mkuta. Mdomo wa Lisu unafanya agombane na kala mtu.
Naamin ata awa anao watuhumu sasa panapo majaaliwa akija kuufahamu ukweli atakuja kuwaomba msamaa kama alivyofanya kwa Zito Kabwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yenye wajinga wengi hakunaga doa wewe we

Acha kuishi kwa kukrem
 
kumbe Joseph Mungai
angegombea urais leo hiii si tungekuwa koloni la Kenya
ziara za kushtukiza za kagame empire
yatupasa tujitafakari
 
Lissu ana familia kama wewe .. ninapotaka kukutoa roho ufe je familia yako itaishije?
Halafu unapona sitaki useme ujinga wangu ila unisifu kwa kutaka kukuua kweli?.
K¥ma kabisa wewe
 
Jeshi na serikali kwa ujumla walienda kutuliza ghasia huko KIBITI.. ila kuwafahamu waliomfata Lissu ndani ya Majengo ya serikali wachukuliwe hatua imeshindakana .
Unabwata hapa kijingaX2 Popoma wewe.
 
Hizo risasi kama ni ugali si wakupige nazo wewe kwenye matako koboko wewe
 
pumba tupu
 
Salute sana Mkuu.
 
Ipo sauti ama andishi alilolisema huko unakokujua kwamba Tanzania wanyimwe hicho unachokitaja?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wema!!?? wema kwa mwanasheria ambaye anajua nje ya mipaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye nembo ya Taifa hivyo kumdhihaki ni kulidhihaki Taifa?!!! yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

..watu wasio na ujasiri wa kukosoa na kukemea viongozi wao wanadharaulika huko nje.

..msifikiri kuwa na kiongozi asiyependa kukosolewa na anayeminya haki ni jambo la kujivunia.

..Hilo ni jambo la aibu na fedheha na waTz tunapaswa kuikataa hali hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…