Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Lakini angalau kuwewna mpango huo.
Wewe unacheza na CCM, wakiamua wakati wa kampeni watagswa majiko angalu 50 kwa watu 50 wa kwanza kufika kwenye mkutano. Mtaambiwa mkiichagua CCM kila nyumba itapata jiko.
Hahaaaa kugawa ni swala lingine lkn baada ya hapo nn kitaendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yetu kipenzi chetu, umetuzoeza vibaya sana, haipiti wiki, Hatujakuona Babaaa. Ila sasa yapata Wiki ya pili hatujakutia machoni Babaa Kunani?

Tumezoea Rafudhi yako, na namna unavyopambana kuirudiha nyumba katika nidhamu, Ukatuzoeza kuliona neno MUBASHARAAAA kwenye Vionyesheo vyetu. Ukiwa pale tumezoea ukisema jitihada zako katika kuweka nyumba katika mstari ulonyooka.
Sasa kimyaaa Baba nini tenaaa?

Ungeenda basi hata kwenye game la LION na Jangwani atilist tukuoone Baba...

Dah tunapata shida sana kutokuona kwa sababu tumekuzoea kukuona....

Tuambi kwenye ile nyumba nyeupe yenye heshima duniani kote kuwa majukumu ama nini? Cha ajabuu hata Teuzi kumekuwa kimyaaaaaaaaaaa.

Tulizoea mara wiki hii kateuliwa mtu mara wiki hii kapigwa mweleka mtu sasa kimyaaaaaaaaaaa.....Kunani Babaaaaa...

Naona hata tule anayeandika ulichosema nayeee kimyaaaa, hatumwoni kule kwenye ile page ya yule dada mblack aliyekuwa anaitumia kusema saaana kuhusu nyumba yetu na Wazazi wetu wakiwemo ndugu zetu....Simwoni tena kuleee....sasa Baba rudi basi...Kesho sababisha hata tukio watu tukuone Babaaaaaaaaa

Dah ila kweli tumekumisss Babaaaa

Rudi Basi Babaaaa!!!!!!!!

Sasa mnaamua kuileta huku ndo nini sasa kwani hayo ni maoni..? acheni mambo zenu nyie @moderators kwani mimi sikujua kuwa ninapaswa kutoa maoni huku....mnaudhi sana halafu mnaharibu radha ya jamii forum, ndiyo maana watu wamekimbilia twitter! acheni watu wajinafasi huu mtandao ni wa watanzania wote, ndiyo maana mliuita jamii forum sasa mkituamilia wapi tupost HUU NAO NI UMINYWAJI WA DEMOKRASIA..TUSIKAE KULAUMU WENGINE KUMBE NANYI NDO WALE WALE......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hela wanatoa wapi Dada angu? Tembeeni vijini muone

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo tunapofeli kama taifa. Tumeshindwa kuainisha vyanzo vikuu vya mapato vya mtanzania wa kawaida na kuangalia jinsi ya kuviboresha.

Kuna vijiji ambavyo mvua ikinyesha magari hayafiki na mazao yao yanaozea shambani.

Wakulima wanalima lakini hakuna soko. Mfano mkubwa ni zao la korosho lilivyofanyiwa usanii wa kisiasa.

Bado tunalazimishwa kuongozwa na CCM.
 
Sasa mnaamua kuileta huku ndo nini sasa kwani hayo ni maoni..? acheni mambo zenu nyie @moderators kwani mimi sikujua kuwa ninapaswa kutoa maoni huku....mnaudhi sana halafu mnaharibu radha ya jamii forum, ndiyo maana watu wamekimbilia twitter! acheni watu wajinafasi huu mtandao ni wa watanzania wote, ndiyo maana mliuita jamii forum sasa mkituamilia wapi tupost HUU NAO NI UMINYWAJI WA DEMOKRASIA..TUSIKAE KULAUMU WENGINE KUMBE NANYI NDO WALE WALE......

Sent using Jamii Forums mobile app
@moderators Admn mkinipiga ban fresh tu lakini ujumbe mmeupata....mnaudhi sana. Ni vyema ukaenda inbox kwa mtu kumwambia before ufanye maamuzi ya kuhamisha post ya mtu..Mnaharibu sana radha ya jamiiforum na sidhani kama @maxencemelo anajua hili??!!! Rudisheni post yangu kule nilikoipost SIJAKOSEA WALA KUVUNJA TERMS AND CONDITIONS ZA JF, NA SIJAMTUMKANA MTU, SIJAMTAJA MTU, NI.ETUMIA LUGHA YANGU MAMA KUFIKISHA UJUMBE..TUSIMINYANE UHURU WETU HAPA.

cc: @maxence Moderator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINGEKUTANA NA MH. RAIS NINGEPENDA KUMWAMBIA HAYA YAFUATAYO. NA NINA IMANI NI MAONI YANGU.

1. UTAWALA NI VITU VYA KUPITA KUNA MAISHA BAADA YA UTAWALA

2. ASISHUGHULISHWE NA WANAO ONGEA YEYE AFANYE YALE ALIYO AHIDI

3. HOJA IKITOKA KWENYE UPINZANI ASIICHUKULIE NI KUVUNJIWA HESHIMA KWANI HAWA NI WANACHAMA WA UPINZANI KAMWE HOJA ZAO HAZIWEZI KUWA KAMA ZA CCM ILA NAO NI WATANZANIA WANAHITAJI HAKI KAMA ILE ULOKUA NAYO WEWE MHESHIMIWA RAIS

4. CHUKUA KUTOKA KWA WAPINZANI LILE ZURI NA BAYA LIPUUZE.

5. FUATILIA HIZI KESI ZA WATU WASIOJULIKANA ZINATIA WASI WASI KWA RAIA ZISIPOFATILIWA.

NIMEKUSHAURI KAMA KIONGOZI WANGU NA KAMA RAIA MWENZANGU SINA CHAMA CHOCHOTE NA MIMI SI MPIGA KURA ILA NAANGALIA YANAYOJIRI NCHINI KWANGU
 
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.

Are you alive ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Rais,
Naomba upokee ushauri wangu na kuuzingatia. Kwakuwa umeamua kutumia lugha yetu adhimu ya kiswahili katika hutuba zako hasa hadhira unayoihutubia wakiwa ni wageni NINAOMBA usichaganye maneno au sentensi ya lugha nyengine za kigeni katikati ya hotuba za kiswahili. Jambo hili binafsi silipendi na naamini linaleta tafasiri mbaya kwa wanaokusikiliza ukizingatia wakalimani wapo na wanafanya kazi yao vizuri.
Kwakuwa ni kiongozi msikivu, msomi na mwenye kuienzi lugha yetu ya taifa naamini tutaona mabadiliko katika hutuba zako zitakazofata hasa utakapokuwa unawahutubia mabalozi au ukiwa safari za kikazi nje ya nchi.
Nakushauri haya kwa mapenzi mema na heshima ya lugha na taifa langu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
 
Huyo unayemwambia ndio mastermind wa kila kitu .
 
Huyo unayemwambia ndio mastermind wa kila kitu .

Ni kweli, tulio makini tunajua kwamba Ndugai na wenzie ni wacheza ngoma tu, ila mpigaji ngoma mwenyewe yupo Magogoni. Ila mpigaji ngoma huyu anayo sifa ya kuanzisha/ kusimamia matukio na baadae kujatatua ili kujizolea sifa za kisiasa, mfano ni kikokotoo. Sasa tunamtaka aache mara moja hizi hila na chuki zake dhidi ya Lissu, na badala yake ajitokeze hadharani na kuingilia kati udhalimu huu wa mikono yake dhidi ya Lissu. Akifanya hivyo, tutajua ni alama moja wapo kwamba anajutia udhalimu wake na anaomba msamaha, na kwa kuwa Lissu na Watanzania wazalendo wa kweli ni waungwana, tutamsamehe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom