Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
...nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Madikteta hubaki madarakani kulinda usalama wao juu ya maovu waliyotenda na si kwa mapenzi ya nchi. Taratibu za nchi kustaafu zitaongezwa muda usiokuwa na kikomo.
 
Hivi wale wazungu waliokuwa wanaongea na Lissu ni wafadhili au ni mabeberu? Samahi lakini naomba majibu kiongozi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usiichanganye serekali na nchi pls
 
Halafu kuna nyumba za ibada zinaruhusu watu hawa kuingia na kupakwa majivu !
Wakati huohuo maskini akilazimika hata 'kumwaga maji' ili kujipunguzia chances za tezi dume au tension za maisha kanisa linamtenga hadi atakapotubu na kukiri makosa yake mbele ya waumini. What a hell is it?
 

dj yusuph
" maisha mazuri yapo mbele kwa mbele...mbeleee mbeleee
bongo kazi gani nzuri labda uchimbe kokote"
hii nyimbo nikisikiliza ndipo najua bongo unatakiwa kuwa na roho mbaya
 

Wanaamini wataishi milele kwao hizi ni kelele sawa na ngojera
 
Muovu hata akiwa na madaraka gani hujulikana tu kwa kumsikia na kumuona

Ukitaka kujua MTU muovu tazama macho yake yamejaa hatia mda wote hana nuru, kama alivo ticha wa mzee meko chief nanga wa ikemefuna ana kila kitu Lkn kakauka sababu ya roho mbaya ya uuaji na kunywa damu za watu.
 
Aingilie mara ngapi?? kwani hilo la kuzuia mshahara wake limetoka wapi??
Unadhani bunge linaweza kuzuia?? kwa sheria ipi?? mbona kimya kimya??
Yote yamefanyika kwa order za Jiwe mwana wa ibilisi.
 
Aingilie mara ngapi?? kwani hilo la kuzuia mshahara wake limetoka wapi??
Unadhani bunge linaweza kuzuia?? kwa sheria ipi?? mbona kimya kimya??
Yote yamefanyika kwa order za Jiwe mwana wa ibilisi.
Kwahiyo umeamua wote tuende na hisia zako? Basi sawa.
 
Taja tusi hata moja nijitoe Jf
Kuwa muungwana utaje tusi alilotukanwa Rais au nchi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unayemwambia ndio mastermind wa kila kitu .
Awe au asiwe Mastermind, lazima aliangalie hili, vinginevyo aache kukanyaga milango ya Kanisa huku akionyesha ukimya wenye dalili za ukatili wa aina hii kwa Lisu. Watanzania si wajinga kwamba hatuoni kuwa Rais ameruhusu Lisu anyanyaswe!!!
Huwezi kuwa na dhana zako halafu ulazimishe wengine wote waifuate. Mbona kwenye kura hakulazimisha sote tumpe!!!?
 
TUTAMCHANGIAUKIONAVIPIJINYONGEFASTATENAKWAMANILAILIUFEHARAKA.
 
Sure
 
Duh!Naomba serikali iendelee na misimamo yake mikali dhidi ya watu aina ya Lisu.Kama kila anayejaribu kumpinga lisu ni lzm atukanwe basi ni hatari. Hakuna mtu yyt duniani aliwahi shindana na serikali na akashinda. tayari lisu ni MALAIKA huko ufipa,siku lisu akifanikiwa kuifanya serikali isalimu amri au awe Rais NITAJIONDOA JF.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…