PumziNdefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 561
- 1,228
Na nyie mliotaka kumuua na sasa mnajificha nyuma ya dola ndio wazalendo??hakuna doa lolote zaidi ya watu kumuona lissu amekosa uzalendo na anatumika na wazungu
Wewe kweli ni mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie mliotaka kumuua na sasa mnajificha nyuma ya dola ndio wazalendo??hakuna doa lolote zaidi ya watu kumuona lissu amekosa uzalendo na anatumika na wazungu
Pole sana mkuu, kuhusu hili suala la Lissu muda utaongea tu.Wewe kweli punguani, aliweka nini hadharani kama sio kuropoka kama wewe unavyofanya hapa??
Wewe na huyo mbunge wako ndio mna mafaili milembe.
Ujumbe huo unamhusu Lissu pia, kama unashindwa kumheshimu kiongozi mkuu aliyechaguliwa na watu basi chunga sana huo mdomo wako.Kama umeshindwa kumuogopa Mungu, basi heshimu hata hiyo pumzi unayoitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ikithibitika kuwa huyo Bashite hayuko kama anavyoongelewa, na wewe uwe mmoja wa hao watakaomuomba radhi hadharani.Lissu angepigwa risasi na watu nje ya "GENGE LA BASHITE" basi wangekuwa washakamatwa! Hii issue BASHITE amefail,kupigwa risasi lissu ni dhahiri sirikali kupitia GENGE LA WAHUNI wa BASHITE wanahusika kwa 100%.
Bashite hawezi kutoka hapo mkuu ni matter of time itakuja kujulikana,ngoja utawala wao upite.Siku ikithibitika kuwa huyo Bashite hayuko kama anavyoongelewa, na wewe uwe mmoja wa hao watakaomuomba radhi hadharani.
uandishi wako wa 'uko, ata nk' napata PICHA ya kiwango yako cha ufahamu, inatosha kwa hapo.Uko alipo Lisu , wao Matusi ni kawaida ndiomaana wanaita uhuru wa kutoa maoni. Ila Lisu alipoa anza kumtuhumu JPM kuhusu kushambuliwa kwake, Mtangazaji alimuuliza anao ushahidi usiona shaka juu ya tuhuma izo ? Lisu alibaki Macho yana mtoka!! Kwakua hana uhakika ila dhamirayake ni kumchafua JPM ndio maana kila atakacho Post atatafuta namna ya kumtus JPM.
Tangu pale ata Wazungu alioenda kuwashtakia wakajua kwamba Lisu anetawaliwa na Mihemko kuliko uhalisia. Wakili anayejiita msomi hawezi kutuhumu watu hovyohovyo, mara Aseme kabudi katumwa,mara Ndugai anatumika, mara Masiringi katumwa yaani aamini kwamba ao anaosema wametumwa ni watanzania na wana maoniyao kuhusu Maswahibu yaliyo mkuta. Mdomo wa Lisu unafanya agombane na kala mtu.
Naamin ata awa anao watuhumu sasa panapo majaaliwa akija kuufahamu ukweli atakuja kuwaomba msamaa kama alivyofanya kwa Zito Kabwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba yetu ni mbovu na mbaya kweli . Kwa sababu inamuumba Mungu wa dunia hii asiyetakiwa, kuhojiwa wa kuonyeshwa madhaifu yake.Wito wangu kabla nilisemaga Lissu jirekebishe!!!
Nihatari kumtusi Rais kwakutumia ujanja wa sheria. Kuondoa heshima ya Urais kutafanya ashindwe kusimamia anaowaongoza. Unapomwita dikt uchwara unategemea akitoa maagizo watu watayaheshimu? Katika nchi inayoendekeza vitu vyahovyo mitandaoni kila kijana atataka kumtusi rais humo,atataka kuandamana na kumwimbia nyimbo za Idd amin Dada kwamba watamtupa aliwe na mamba,watataka hata kumkopoa mawe atapokuwa anapita maeneo yao. Hili ni jambo hatari kwani watu wakiaminishwa kwamba rais ni nduli wanaweza wakamfanyia kitu kibaya. Je,ni busara kuacha tabia hizo za hovyo ziendelee? Je, nihitaji la msingi kwa baadhi ya watu kumtukana kiongozi/rais wao?
Siasa zetu zikosoe Sera na mienendo bila matusi,vitisho na kuhamasisha vurugu. Nchi haiwezi kuingia vitani kisa mhamasishaji hatari mmoja na baadae kuzaliwa wengi (wasioweza dhibitika kiurahisi) dhidi ya utawala/serikali. Tujue mambo huanza kama utani na usipodhibiti huwa fasheni ambapo redio/TV/magazeti nayo zingeanza kutusi ofisi kuu kufuata trend ya mitandaoni na kutafuta kujipatia umaarufu.
Alipofatwa na magari asiyoyaelewa alipaswa kujua anapewa worning kuwa aache kuipagaza serikali na kuitia tope. Alipasaa kujirekebisha na kuacha kutuma meseji kwa wafanyakazi wa serikali kutafuta data za kuiporomosha serikali bali angetafuta data za kuyaporomosha makampuni ya madini yaliyotunyonya miaka yooote hii. Lissu angejijengea heshima kwa kutoa maoni ya kuisaidia serikali njia sahihi badala ya kutusi kila serikali inapotafuta njia/upenyo kuipeleka Tanzania mahali pazuri. Kuwa upinzani siyo kutusi walio madarakani bali kuwaonesha kuwa wewe unautambuzi mzuri zaidi wa namna ya kutatua shida zinazoikabili nchi. Hapo wananchi watasadiki kwani unayoyasema yataonekana kuwa ya thamani na yanayofaa kukuweka ikulu.
Sasa wapo wanaodhani kama kagame kuwa nibora kumfifisha huyo anayechochea vurugu kuliko taifa kuingia matatizoni. Kinachotokea nikwamba Lissu bado anaamini anaubavu wa kushindana na serikali. Kwahali tuliyonayo na uwelewa wa waTZ nasikitika kuwa mbinu zake zitamsababishia maumivu makubwa kwake na watoto wake. Wengi wanaojidai kumuunga mkono hawana ubavu wa kuvutana hata na mgambo nahivyo hawawezi kumpatia msaada anaouhitaji katika mapambano anayoyaendea. Asalaam aleykum
Unajuaje mpo million tanoHesabu ni Rahisi Sana.
Na-Assume
Watanzania Wanaomsupport Lissu tuko= 5000000(5 million).
Kila Mmoja Atadeposit 2,000/= kila Mwezi karibia na Tarehe 15.
Total itakuwa 10,000,000,000(10 Billion).
Hii ni zaidi ya Mshahara,posho,pension na Marupurupu ya Mbunge Kwa Miaka 5.
Watanzania Tukiamua Tunaweza.
TUMCHANGIE TUNDU LISSU SASA.
TUNDU LISSU RAIS 2020.
"Mopao Mokonzi"
Wanaokutia maa...klio waambie wapeleke polepole!! Umekuwa na umepitiliza umbweha ... hovyo kabisa! Mleta mada anaongea kwa busara wewe unaropoka.Lissu arudi kwao Singida akawatumikie waliompigia kura
Redio hutoa sauti tu. Haina muda wa kufikiri.Unamshauri JPM avunje katiba ili aingilie maamuzi ya mhimili Mwingine!!. Kinacho muumiza Lisu ni Kutochagua Lugha ya kuongea. Unaacha matibabu na kujiuguza, unaenda kutukana Viongozi. Inamsaidia nini Lisu Kumtukana Rais, Bunge, na Nchi kwa ujumla?
Lisu anapita ughaibuni na kuomba wafadhili wasitoe misaada ya maendeleo kwa Watanzania. Misaada ambayo inawasaidia watanzani wote alafu yeye anaomba achangiwe matibabu na watanzania haohao ambao ataki wasaidiwe. Lisu mdomowake uwe unachagua maneno ya kuongea maana kila anavyojaribu kuizamisha Tanzania anajikuta anazama mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nilihoji uhalali wa JPM nae kupiga foleni ili apakwe majivu, Viongozi wetu wa dini nao wajitafakariHalafu kuna nyumba za ibada zinaruhusu watu hawa kuingia na kupakwa majivu !
aliye sema binadam wote ni sawa alikosea sana hakuwaambia usawa huo uko sehem gan.Huyu Lissu mnapandisha chati kupita uhalisia wa jinsi alivyo. Walipouawawa watu kibiti, mkuranga na rufiji ile haukuwa ni doa kwa taifa, mpaka mwanasiasa mmoja alipojeruhiwa ndipo linapokuwa ni doa kwa Tanzania.
Wale wapuuzi waliotaka kuanzisha nchi ndani ya nchi kama kina al shabab hawakuwa ni doa kwetu, ni mpaka mwanasiasa mmoja apigwe risasi ndipo tuite doa.
Acheni hizi siasa za uoga.
Malipo hapa hapa duniani, mwisho wa ubaya aibu. Muda ni hakimu.Huyu Lissu mnapandisha chati kupita uhalisia wa jinsi alivyo. Walipouawawa watu kibiti, mkuranga na rufiji ile haukuwa ni doa kwa taifa, mpaka mwanasiasa mmoja alipojeruhiwa ndipo linapokuwa ni doa kwa Tanzania.
Wale wapuuzi waliotaka kuanzisha nchi ndani ya nchi kama kina al shabab hawakuwa ni doa kwetu, ni mpaka mwanasiasa mmoja apigwe risasi ndipo tuite doa.
Acheni hizi siasa za uoga.
Na hasa ikiwa redio ya mbao
Bado unarudia kosa lile lile la kumpandisha chati Lissu, unamuweka mahali ambapo hajapafikia.aliye sema binadam wote ni sawa alikosea sana hakuwaambia usawa huo uko sehem gan.
usimlinganishe Lissu na watu wengine hata wawe 1000. kuna binadam ana uwezo wa kubeba historia ya karne na karne akiuwawa lakn wakati huo kuna vifo vya halaik vinafutika katika uso wa Dunia.
nakwambia serikali inakosea sana inavyodili na Lissu. ina mawazo kama yako. lakn Lissu si kama wewe.
USA wameuwawa watu weusi weng kweli kweli. lakn Dunia inamkumbuka zaid mtu mmoja tuu naye ni Martn Luther jiulize kwanini. siku nyingine usirudie kufanya ulinganisho usio kichwa wa miguu