Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwani si na sasa ameliingilia ?!.Sasa rais atamalizaje swala la bunge? si mtaanza kusema rais anavunja katiba anaingilia mihimili mingine?
Wewe kweli punguani, aliweka nini hadharani kama sio kuropoka kama wewe unavyofanya hapa??Mbunge wa Siha aliweka kila kitu hadharani tena ndani ya ukumbi wa bunge, kama na yeye anatumia makalio basi wewe unalo faili pale Milembe hospital.
Ni ushahidi wa kimazingira na sio hisia, tumia akili kufikiri.Kwahiyo umeamua wote tuende na hisia zako? Basi sawa.
Hivi Wewe Popoma, ingalikuwa Wewe umepata masaibu haya ungeandika huu Uharo ulioandika kweli!!!? Hospitali zote wanazopelekwa waheshimiwa huwa ni public!!!? Hata hivyo Lisu anaadhibiwaje kwa makosa ya watu wengine, maana si yeye aliyeamua kujipeleka Nairobi au Ubeligiji. Kwenye jopo la waamuzi Spika alikuwepo japo baadaye aliamua kujitoa ufahamu.Hacheni kuleta sasa za Maji taka Karne hii,Lissu alipigwa Risasi na watu wasiojulikana na mpka leo kweli hawajulikani,mana hatujui kwa nn alipigwa risasi,na kwa kulimaliza hili Mh.Rais hausiki nalo.....swala la kuhusu matibabu mkuu hili lilishafafanuliwa na mh.Spika wa Bunge Job ndugai....kuwa kuna utaratibu wa aina Mbili za matibabu ambayo ni private na public....wao walichagua private kwa vile mgonjwa alikuwa mahututi....ila bado ata walipomfiksha hosptalini hawakutaka fata sheria na utaratibu wa matibabu kwa njia ya public wakaendelea kuishia private....gharama zilipowashinda wakaamua kuibuka na haya unayoyasema ww..... So tulia msituchafulie Amani yetu.
Wafuasi wa CCM na hasa wa Maghufuli wamechagua ubaya ubaya. Watu hawajui hata wajibu wa serikali kwa wananchi wake .Hivi Wewe Popoma, ingalikuwa Wewe umepata masaibu haya ungeandika huu Uharo ulioandika kweli!!!? Hospitali zote wanazopelekwa waheshimiwa huwa ni public!!!? Hata hivyo Lisu anaadhibiwaje kwa makosa ya watu wengine, maana si yeye aliyeamua kujipeleka Nairobi au Ubeligiji. Kwenye jopo la waamuzi Spika alikuwepo japo baadaye aliamua kujitoa ufahamu.
Kumbe hukusukia ile hotuba yake siju ile Ikulu akipokea taarifa ya makunukia...dk chache tu TL akawashwa....Jamani dingi unajua haileweki kuna mda tunaweza mtupia rawama kibao kumbe siyo yeye ni watendaji wake wanatenda haya kujipendekeza kwa baba maana baba hasomeki unachoona bora yeye anakikataa unachoona kibaya yeye ndio anakikubali yani kama kinyonga vile usije kushangaa kesho anatoka hadharani anaraumu kwanini waliompiga risasi tundu lisu mpaka Leo hawajapatikana hapo ndio utashangaa
Niwakumbushe issue ya kutekwa kwa MO
Dingi ndio kafanya tushindwe muuelewa kabisa maana eti naye anashangaa kama sisi tunavyoshangaa
Kuna habari zisizo rasmi kuwa huenda Spika ajaye baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 akawa ni mwanamke. Huyo anaetarajiwa nikwamba wanamsubiri ashinde kiti cha Ubunge kupitia Jimbo la uchaguzi. Na pia iwapo ccm watabahatika kuunda serikali. Mbinu itakayotumika ni kama ile iliyomuondolea sifa Marehemu S. Sitta.Ndugai hajui anatumika tu!
Kama wenzie akina Nape enzi za bunge live ila Muda ni hakimu wa kweli Wacha tuone
Kama umeshindwa kumuogopa Mungu, basi heshimu hata hiyo pumzi unayoitumiaSiku ukipewa taarifa kuwa waliomshughulikia Lissu ni jamaa wa karibu nae, nadhani utafuta kauli yako hiyo ya hapo juu.
wee pumba kweli , nani alikwambia kuwa kazi ya Rais ni kutafuta wahalifu? waliopewa jukumu hilo wako mbioni kuendelea na uchunguzi wakati waathirika hawataki kutoa ushirikiano wanazurula ughaibuni, acheni lawama za kipumbavu .Habari wakuu,
Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.
Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.
Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?
Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.
Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.
Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Lissu angepigwa risasi na watu nje ya "GENGE LA BASHITE" basi wangekuwa washakamatwa! Hii issue BASHITE amefail,kupigwa risasi lissu ni dhahiri sirikali kupitia GENGE LA WAHUNI wa BASHITE wanahusika kwa 100%.Siku ukipewa taarifa kuwa waliomshughulikia Lissu ni jamaa wa karibu nae, nadhani utafuta kauli yako hiyo ya hapo juu.
hakuna doa lolote zaidi ya watu kumuona lissu amekosa uzalendo na anatumika na wazunguHabari wakuu,
Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.
Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.
Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?
Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.
Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.
Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Hesabu ni Rahisi Sana.
Na-Assume
Watanzania Wanaomsupport Lissu tuko= 5000000(5 million).
Kila Mmoja Atadeposit 2,000/= kila Mwezi karibia na Tarehe 15.
Total itakuwa 10,000,000,000(10 Billion).
Hii ni zaidi ya Mshahara,posho,pension na Marupurupu ya Mbunge Kwa Miaka 5.
Watanzania Tukiamua Tunaweza.
TUMCHANGIE TUNDU LISSU SASA.
TUNDU LISSU RAIS 2020.
"Mopao Mokonzi"
Kwahiyo unaamini ukitumia lugha yenye uvundo dhidi ya wote wanaokujibu ndio watakubaliana na mtazamo wako? Ushahidi wako wa kimazingira uko wapi hapo!Ni ushahidi wa kimazingira na sio hisia, tumia akili kufikiri.
sasa ameacha kuingilia baada ya kulalamika sana mbona mnamuomba aingilie.Kwani si na sasa ameliingilia ?!.
1. Watoe huko ili watoke huku nje niwashughulikie.
2. Msimsumbue Nape mimi ndiye niliamua kusiwe na Bunge live
nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumwambia tu boss mwenziyo wa mhimili watoe, zima tayari ni kuingiliwa. Labda uwe msomi wa Chekecheasasa ameacha kuingilia baada ya kulalamika sana mbona mnamuomba aingilie.
Aidha swala la watoe huko niwashughulikie huku alionesha kuwa hawezi kuingilia muhimili mwingine hivyo wakiwa huko hawezi kuwashughulikia.
Sodium hypochlorite
Kwani hiyo ndio comment yangu ya kwanza hapa?? PumbavuKwahiyo unaamini ukitumia lugha yenye uvundo dhidi ya wote wanaokujibu ndio watakubaliana na mtazamo wako? Ushahidi wako wa kimazingira uko wapi hapo!