Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mbunge wa Siha aliweka kila kitu hadharani tena ndani ya ukumbi wa bunge, kama na yeye anatumia makalio basi wewe unalo faili pale Milembe hospital.
Wewe kweli punguani, aliweka nini hadharani kama sio kuropoka kama wewe unavyofanya hapa??
Wewe na huyo mbunge wako ndio mna mafaili milembe.
 
Hacheni kuleta sasa za Maji taka Karne hii,Lissu alipigwa Risasi na watu wasiojulikana na mpka leo kweli hawajulikani,mana hatujui kwa nn alipigwa risasi,na kwa kulimaliza hili Mh.Rais hausiki nalo.....swala la kuhusu matibabu mkuu hili lilishafafanuliwa na mh.Spika wa Bunge Job ndugai....kuwa kuna utaratibu wa aina Mbili za matibabu ambayo ni private na public....wao walichagua private kwa vile mgonjwa alikuwa mahututi....ila bado ata walipomfiksha hosptalini hawakutaka fata sheria na utaratibu wa matibabu kwa njia ya public wakaendelea kuishia private....gharama zilipowashinda wakaamua kuibuka na haya unayoyasema ww..... So tulia msituchafulie Amani yetu.
Hivi Wewe Popoma, ingalikuwa Wewe umepata masaibu haya ungeandika huu Uharo ulioandika kweli!!!? Hospitali zote wanazopelekwa waheshimiwa huwa ni public!!!? Hata hivyo Lisu anaadhibiwaje kwa makosa ya watu wengine, maana si yeye aliyeamua kujipeleka Nairobi au Ubeligiji. Kwenye jopo la waamuzi Spika alikuwepo japo baadaye aliamua kujitoa ufahamu.
 
Wafuasi wa CCM na hasa wa Maghufuli wamechagua ubaya ubaya. Watu hawajui hata wajibu wa serikali kwa wananchi wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani dingi unajua haileweki kuna mda tunaweza mtupia rawama kibao kumbe siyo yeye ni watendaji wake wanatenda haya kujipendekeza kwa baba maana baba hasomeki unachoona bora yeye anakikataa unachoona kibaya yeye ndio anakikubali yani kama kinyonga vile usije kushangaa kesho anatoka hadharani anaraumu kwanini waliompiga risasi tundu lisu mpaka Leo hawajapatikana hapo ndio utashangaa

Niwakumbushe issue ya kutekwa kwa MO
Dingi ndio kafanya tushindwe muuelewa kabisa maana eti naye anashangaa kama sisi tunavyoshangaa
Kumbe hukusukia ile hotuba yake siju ile Ikulu akipokea taarifa ya makunukia...dk chache tu TL akawashwa....
 
Ndugai hajui anatumika tu!
Kama wenzie akina Nape enzi za bunge live ila Muda ni hakimu wa kweli Wacha tuone
Kuna habari zisizo rasmi kuwa huenda Spika ajaye baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 akawa ni mwanamke. Huyo anaetarajiwa nikwamba wanamsubiri ashinde kiti cha Ubunge kupitia Jimbo la uchaguzi. Na pia iwapo ccm watabahatika kuunda serikali. Mbinu itakayotumika ni kama ile iliyomuondolea sifa Marehemu S. Sitta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
wee pumba kweli , nani alikwambia kuwa kazi ya Rais ni kutafuta wahalifu? waliopewa jukumu hilo wako mbioni kuendelea na uchunguzi wakati waathirika hawataki kutoa ushirikiano wanazurula ughaibuni, acheni lawama za kipumbavu .
 
Siku ukipewa taarifa kuwa waliomshughulikia Lissu ni jamaa wa karibu nae, nadhani utafuta kauli yako hiyo ya hapo juu.
Lissu angepigwa risasi na watu nje ya "GENGE LA BASHITE" basi wangekuwa washakamatwa! Hii issue BASHITE amefail,kupigwa risasi lissu ni dhahiri sirikali kupitia GENGE LA WAHUNI wa BASHITE wanahusika kwa 100%.
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
hakuna doa lolote zaidi ya watu kumuona lissu amekosa uzalendo na anatumika na wazungu
 
Unalishangaa hili dogo sana, waulize wanaojiita walioendelea, kukoswa kufa tuu mnashangaa, maajabu kweli, wanatakiwa wafe watu ili tusonge mbele, wafe wengi tuu.....Ajifunze kunyamaza, japo ni hulka yake na ni lazima watu kama hawa wawepo, na system itafanya kazi yake....Karibu Tanzania.
 
Bugasarai, naona wewe ni mwana JF unayeingia humu jukwaani mara chache, au kila unapoingia husukumwi na unayoyasoma kuyawekea maoni yako.

Leo imekuwa tofauti kabisa. Umetoa yako ya moyoni ambayo wengi wetu kila siku tunayamwaga hapa JF. Mioyo yetu inasononeka kuona tamaduni zetu zinazotuweka pamoja kama Taifa la Tanzania zikiporomoka kwa kasi ya ajabu.

Ukisoma maoni ya pande zinazopingana, hata katika mambo ambayo hatupashwi kuyawekea ushabiki wa kivyama, unashangaa tunaelekea wapi kama Taifa.

Lakini mimi silaumu sana watoa maoni ya kuhuzunisha humu ndani ya jamvi, kwa sababu naelewa mwanzo wa maoni hayo. Viongozi wetu wenye majukumu ya kutuweka pamoja, sasa ndio wamekuwa mbele kabisa kutugawa.

Je hatma yetu itakuwaje hali kama hii ikiendelea?

Naelewa kuwa wenye vyombo vya dola wanajua vyombo hivyo ndio nguvu yao ya kufanikisha wanayotaka hata kama hawana ridhaa ya wananchi.

Sasa sijui kuhusu hili. Je, akina Lissu wote watanyamaza?

'Bugasarai', bandiko lako linaumiza moyo! Ahsante mTanzania mwenzangu kwa kuyaweka uliyoyaandika ili nasi tuyasome.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Hesabu ni Rahisi Sana.
Na-Assume
Watanzania Wanaomsupport Lissu tuko= 5000000(5 million).

Kila Mmoja Atadeposit 2,000/= kila Mwezi karibia na Tarehe 15.

Total itakuwa 10,000,000,000(10 Billion).

Hii ni zaidi ya Mshahara,posho,pension na Marupurupu ya Mbunge Kwa Miaka 5.

Watanzania Tukiamua Tunaweza.

TUMCHANGIE TUNDU LISSU SASA.

TUNDU LISSU RAIS 2020.

"Mopao Mokonzi"

Hesabu yako nzuri, lakini ngumu.
Hiyo milioni tano umehesabu na walioko vijijini ambako 2,000/ kwa mwezi itakuwa shida kubwa.

Sina shaka juu ya waTanzania wenye uwezo kutoa msaada Mh Lissu atakapouhitaji.
Pawekwe tu na utaratibu mzuri, kama uliotumika katika makusanyo ya kusaidia matibabu yake.

Watu watachangia, tena kwa moyo safi kabisa. Sina shaka hata 'Counsellor Sima' mchango wake utawasilishwa bila pingamizi. Natanguliza shukrani kwa niaba, mkuu Sima.
 
Ni ushahidi wa kimazingira na sio hisia, tumia akili kufikiri.
Kwahiyo unaamini ukitumia lugha yenye uvundo dhidi ya wote wanaokujibu ndio watakubaliana na mtazamo wako? Ushahidi wako wa kimazingira uko wapi hapo!
 
Kwani si na sasa ameliingilia ?!.
1. Watoe huko ili watoke huku nje niwashughulikie.
2. Msimsumbue Nape mimi ndiye niliamua kusiwe na Bunge live
nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ameacha kuingilia baada ya kulalamika sana mbona mnamuomba aingilie.
Aidha swala la watoe huko niwashughulikie huku alionesha kuwa hawezi kuingilia muhimili mwingine hivyo wakiwa huko hawezi kuwashughulikia.
 
Kumwambia tu boss mwenziyo wa mhimili watoe, zima tayari ni kuingiliwa. Labda uwe msomi wa Chekechea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unaamini ukitumia lugha yenye uvundo dhidi ya wote wanaokujibu ndio watakubaliana na mtazamo wako? Ushahidi wako wa kimazingira uko wapi hapo!
Kwani hiyo ndio comment yangu ya kwanza hapa?? Pumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom