Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wito wangu kabla nilisemaga Lissu jirekebishe!!!
Nihatari kumtusi Rais kwakutumia ujanja wa sheria. Kuondoa heshima ya Urais kutafanya ashindwe kusimamia anaowaongoza. Unapomwita dikt uchwara unategemea akitoa maagizo watu watayaheshimu? Katika nchi inayoendekeza vitu vyahovyo mitandaoni kila kijana atataka kumtusi rais humo,atataka kuandamana na kumwimbia nyimbo za Idd amin Dada kwamba watamtupa aliwe na mamba,watataka hata kumkopoa mawe atapokuwa anapita maeneo yao. Hili ni jambo hatari kwani watu wakiaminishwa kwamba rais ni nduli wanaweza wakamfanyia kitu kibaya. Je,ni busara kuacha tabia hizo za hovyo ziendelee? Je, nihitaji la msingi kwa baadhi ya watu kumtukana kiongozi/rais wao?
Siasa zetu zikosoe Sera na mienendo bila matusi,vitisho na kuhamasisha vurugu. Nchi haiwezi kuingia vitani kisa mhamasishaji hatari mmoja na baadae kuzaliwa wengi (wasioweza dhibitika kiurahisi) dhidi ya utawala/serikali. Tujue mambo huanza kama utani na usipodhibiti huwa fasheni ambapo redio/TV/magazeti nayo zingeanza kutusi ofisi kuu kufuata trend ya mitandaoni na kutafuta kujipatia umaarufu.
Alipofatwa na magari asiyoyaelewa alipaswa kujua anapewa worning kuwa aache kuipagaza serikali na kuitia tope. Alipasaa kujirekebisha na kuacha kutuma meseji kwa wafanyakazi wa serikali kutafuta data za kuiporomosha serikali bali angetafuta data za kuyaporomosha makampuni ya madini yaliyotunyonya miaka yooote hii. Lissu angejijengea heshima kwa kutoa maoni ya kuisaidia serikali njia sahihi badala ya kutusi kila serikali inapotafuta njia/upenyo kuipeleka Tanzania mahali pazuri. Kuwa upinzani siyo kutusi walio madarakani bali kuwaonesha kuwa wewe unautambuzi mzuri zaidi wa namna ya kutatua shida zinazoikabili nchi. Hapo wananchi watasadiki kwani unayoyasema yataonekana kuwa ya thamani na yanayofaa kukuweka ikulu.
Sasa wapo wanaodhani kama kagame kuwa nibora kumfifisha huyo anayechochea vurugu kuliko taifa kuingia matatizoni. Kinachotokea nikwamba Lissu bado anaamini anaubavu wa kushindana na serikali. Kwahali tuliyonayo na uwelewa wa waTZ nasikitika kuwa mbinu zake zitamsababishia maumivu makubwa kwake na watoto wake. Wengi wanaojidai kumuunga mkono hawana ubavu wa kuvutana hata na mgambo nahivyo hawawezi kumpatia msaada anaouhitaji katika mapambano anayoyaendea. Asalaam aleykum
 
Kweli suala la Lissu ni vyema likaangaliwa kwa umaakini kabisa. Mtu anaumwa, yuko hospitali kwa nini anyimwe stahiki zake.
 
Lissu angepigwa risasi na watu nje ya "GENGE LA BASHITE" basi wangekuwa washakamatwa! Hii issue BASHITE amefail,kupigwa risasi lissu ni dhahiri sirikali kupitia GENGE LA WAHUNI wa BASHITE wanahusika kwa 100%.
Siku ikithibitika kuwa huyo Bashite hayuko kama anavyoongelewa, na wewe uwe mmoja wa hao watakaomuomba radhi hadharani.
 
uandishi wako wa 'uko, ata nk' napata PICHA ya kiwango yako cha ufahamu, inatosha kwa hapo.
 
Katiba yetu ni mbovu na mbaya kweli . Kwa sababu inamuumba Mungu wa dunia hii asiyetakiwa, kuhojiwa wa kuonyeshwa madhaifu yake.

Kupania kumpa maumivu makali yeye na family yake. Ni udhaifu wa mwisho wa kufikiri .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje mpo million tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Redio hutoa sauti tu. Haina muda wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aliye sema binadam wote ni sawa alikosea sana hakuwaambia usawa huo uko sehem gan.

usimlinganishe Lissu na watu wengine hata wawe 1000. kuna binadam ana uwezo wa kubeba historia ya karne na karne akiuwawa lakn wakati huo kuna vifo vya halaik vinafutika katika uso wa Dunia.

nakwambia serikali inakosea sana inavyodili na Lissu. ina mawazo kama yako. lakn Lissu si kama wewe.

USA wameuwawa watu weusi weng kweli kweli. lakn Dunia inamkumbuka zaid mtu mmoja tuu naye ni Martn Luther jiulize kwanini. siku nyingine usirudie kufanya ulinganisho usio kichwa wa miguu
 

Attachments

  • DC13F94F-3E1E-4329-B7A5-910EFF60F43A.png
    116.8 KB · Views: 29
Malipo hapa hapa duniani, mwisho wa ubaya aibu. Muda ni hakimu.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Bado unarudia kosa lile lile la kumpandisha chati Lissu, unamuweka mahali ambapo hajapafikia.

Martin Luther hakuwa na sifa ya kuwasaliti wamarekani weusi iwe wakati wa shida iwe wakati wa raha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…