Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri Kafulila ni mbunge pekee anaye pinga ufisadi? Mbona wako wengi? Kafulila ameshindwa ubunge kama ana hoja za ufisadi na ana ushahidi anaweza kuendelea kusema hata akiwa nje ya bunge au anaweza kuwakabidhi wenzake wanao kwenda bungeni!najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu
najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu
Sera ya ubinafsishaji no Sera ya CCM magufuli hana ujanja Wa kuikwepa Na kufufua viwanda au kujenga sio rahisi dunia ya Leo hakuna serikali inayojenga viwanda no wawekezaji mkuu suala la ajira sahau
Huyu Premi Kibanga afurushwe.
Kama msemaji wa rais ni lazima awe mwanamke basi pale awekwe mwanamama mpiga kazi Joyce Mhaville.