Nyangi Marwa Chacha
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 202
- 54
Huko amteuae kwa kigezo gani mbona unapost pumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu
Kwakuwa siandiki unachopenda kuona Teh TehAkina nshomire most of them wako smart upstairs.. Lakini sijui ni mhaya wa wapi! !
najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu
Magufuli hawezi kuteua mtu anayesujudia mafisadi..hapo ndo alipopoteza mvuto 👇
mtu alifundishwa siasa na mwami RUYAGWA harafu anajifanya mjanja. ngoja awe mwenyekiti wa wakamua mawese. huyo hafai huku kgmSi majuzi tu alijidai yeye ni mwanasiasa bora kuliko Zitto wakati mwenzake anajeuri ya kuchagua wapi agombee Kigoma na kushinda yeye jimbo hilohilo moja tu watu wamekosa naye imani baada ya miaka kumi; the moral of the story usimtukane mamba kabla kuvuka mto ndio ajue umuhimu wa Zitto kwenye campaign zake alizoshinda kabla ya kutoka CDM na baadae NCCR.
Wana Kigoma ndio wanamjua zaidi mi nimekumbuka tu majuzi hapa alidai ni mwamba bila ya Zitto na asitembelee nyota yake ya escrow kwa sababu zilikuwa ni jitihada zake binafsi.mtu alifundishwa siasa na mwami RUYAGWA harafu anajifanya mjanja. ngoja awe mwenyekiti wa wakamua mawese. huyo hafai huku kgm
Magufuli hawezi fanya ujinga huo kama aliofanya kikwete kumteua Mbatia isitoshe Kafulila hana faida yeyote bungeni anabweka tu kama jibwa bila ya malengo.
we naona unaandika kwa kutumia kijambio chako post yako inatoa halufu vbaya vp unatutangazia biashala yakuwa we ni kibaskeli?
walimuonea muhongo na yule mwanasheria Mungu kawalipa stahiki zaoNever Kafulila hana lolote ni msaka tonge alikuwa anatumika na Mzee Machache kumhujumu Muhongo kwa ajili ya vitalu vya gesi.
escrow yalikua majungu tu,mungu kawalipa vizuri sana kwani wamefukuzisha watu wasio na hatia kaziyani hapo ndio inanifanya nikubali watz hatutofautiani na manyumbu iv ni kwali unaweza ukashabikia kukosekana kwa kafulila,filikunjombe au olesendeka ndani ya bunge!ata uwo ushabiki wa aina gani.masikini tz yangu mie
Wana Kigoma ndio wanamjua zaidi mi nimekumbuka tu majuzi hapa alidai ni mwamba bila ya Zitto na asitembelee nyota yake ya escrow kwa sababu zilikuwa ni jitihada zake binafsi.
Being grateful and humble pays in the long run