Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu

Never Kafulila hana lolote ni msaka tonge alikuwa anatumika na Mzee Machache kumhujumu Muhongo kwa ajili ya vitalu vya gesi.
 
Kijana amebwagwa na ESCROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.

Nitamfananisha rais na malaika maana sina imani kama tembo aweza kukata mkonga wake endapo atawakamata mafisadi wote walioko ndani na nje ya CCM bila kujali ni nani ama alikuwa nani.
AKIFANYA YOTE HAYO,ATAKUWA NI MALAIKA
 
Mkewe kapewa viti maalumu chadema,atampenyezea mabomu si lazima sisimizi awe mbunge.Dr magufuli hawezi kufanya makosa kama kikwete kwa mbatia
 
najua kwa mujibu wa katiba ya Nchi najua una viti kumi vya rais. naomba sana umteue kafurila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu

Wewe nawe usituchekeshe wale mafisadi aliotaka kuwataja majina aliwataja? Kalaga baho
 
Si majuzi tu alijidai yeye ni mwanasiasa bora kuliko Zitto wakati mwenzake anajeuri ya kuchagua wapi agombee Kigoma na kushinda yeye jimbo hilohilo moja tu watu wamekosa naye imani baada ya miaka kumi; the moral of the story usimtukane mamba kabla kuvuka mto ndio ajue umuhimu wa Zitto kwenye campaign zake alizoshinda kabla ya kutoka CDM na baadae NCCR.
mtu alifundishwa siasa na mwami RUYAGWA harafu anajifanya mjanja. ngoja awe mwenyekiti wa wakamua mawese. huyo hafai huku kgm
 
mtu alifundishwa siasa na mwami RUYAGWA harafu anajifanya mjanja. ngoja awe mwenyekiti wa wakamua mawese. huyo hafai huku kgm
Wana Kigoma ndio wanamjua zaidi mi nimekumbuka tu majuzi hapa alidai ni mwamba bila ya Zitto na asitembelee nyota yake ya escrow kwa sababu zilikuwa ni jitihada zake binafsi.

Being grateful and humble pays in the long run
 
Wapiga kura wake tayari wametuonyesha kuwa kafulila hana sifa ya kuingia mjengoni.na Bunge la mwaka huu sio la kusoma mwongozo, wa spika.kuzomea wala kutoka nje. Ya Bunge asubiri 2020.
 
Magufuli hawezi fanya ujinga huo kama aliofanya kikwete kumteua Mbatia isitoshe Kafulila hana faida yeyote bungeni anabweka tu kama jibwa bila ya malengo.

we naona unaandika kwa kutumia kijambio chako post yako inatoa halufu vbaya vp unatutangazia biashala yakuwa we ni kibaskeli?
 
we naona unaandika kwa kutumia kijambio chako post yako inatoa halufu vbaya vp unatutangazia biashala yakuwa we ni kibaskeli?

mbona haueleweki umesimamia wapi unataka nin huoni kuwa kafulila ameshaungana na mafisadi tayari
 
Never Kafulila hana lolote ni msaka tonge alikuwa anatumika na Mzee Machache kumhujumu Muhongo kwa ajili ya vitalu vya gesi.
walimuonea muhongo na yule mwanasheria Mungu kawalipa stahiki zao
 
yani hapo ndio inanifanya nikubali watz hatutofautiani na manyumbu iv ni kwali unaweza ukashabikia kukosekana kwa kafulila,filikunjombe au olesendeka ndani ya bunge!ata uwo ushabiki wa aina gani.masikini tz yangu mie
 
escrow yalikua majungu tu,mungu kawalipa vizuri sana kwani wamefukuzisha watu wasio na hatia kazi
 
Wana Kigoma ndio wanamjua zaidi mi nimekumbuka tu majuzi hapa alidai ni mwamba bila ya Zitto na asitembelee nyota yake ya escrow kwa sababu zilikuwa ni jitihada zake binafsi.

Being grateful and humble pays in the long run

Kafulila wa kwetu huyo but kitendo alichokifanya kwenye mkutano wa ukawa mwanga center hatutakisahau kamwe. mpaka wazee waliduwaa kuona kijana wao kuongea kwamba tuanzishe "chama cha mawese". kusema ukweli alibweteka na alijipa 100% ubunge angepita.
 
Ukawa hayawezi kumpa ubunge, au sasa hana faida kama chambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom