Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
mtu ateuliwe kutokana na kuwajibika na kusimamia vizuri majukumu yake na si kujitangaza. kuna wakuu wa wilaya wengi wanafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa wapo mbali na vyombo vya habari , basi hatusikii wanayofanya. hata mimi mwenyewe naweza kujitangaza au nikatumia watu wanitangaze ili niteuliwe ningali najua kabisa sina dhamira ya kuwatumikia wananchi kwa dhati ila kukitumikia cheo.
 
We wivu unakusumbua siku zote. Halmashauri zote Zina maofisa habari, lakini pia Tanzania ya Leo Vyombo vya Habari kila mahali, na Hawa niliowataja Kazi zao zinaonekana na zinawatangaza. Hao wengine kwa Nini kazi zao zisi attract media?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee umekosa fursa ya kumpenyezea huko magogoni
Mi nipo Kaliua huku Mheshimiwa. Dah, nilimsahau na huyu kijana asie na mbwembwe huku Kaliua, huyu nae Mheshimiwa nakuomba uumpe nae hata V8 maana hii LX ya msaada wa UNHCR siipendi kutokana na hayo maandishi ubavuni, na kwa kazi anazofanya anahitaji V8 kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We wivu unakusumbua siku zote. Halmashauri zote Zina maofisa habari, lakini pia Tanzania ya Leo Vyombo vya Habari kila mahali, na Hawa niliowataja Kazi zao zinaonekana na zinawatangaza. Hao wengine kwa Nini kazi zao zisi attract media?

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba hazi-attract media ila hawana mambo ya kuita vyombo vya habari katika kila tukio.ukimuangalia jokate ni mtu wa media sana, gondwe alikuwa mfanyakazi wa ITV na hali kadhalika huyo mwengine ni media kwa sana. unaweza kuta wanayoyafanya wenzao walifanya muda ila hawakupata media coverage kama wanavyopata wao na kuonekana wao ndio waanzilishi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom