Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Utaacha lini wivu?
 
Ukipata nafasi tumia ukikosa jutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ubunifu wake na utulivu Jokate anafaa sana kuwa RC wa Dar.
Hawezi kuongoza Dar.Wanaume wa Dar mnawachukulia poa eeeh? Dar ndiyo hekaheka zote zipo pale.Inahitaji mtu ambaye anaweza kucheza/ku dance kila beat.Kwa mfano RC wa sasa pamoja na makando yake UNAWEZA KUONGOZA NA KUINYOOSHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine tujitokeze kuomba taarifa ya habari ya Azam tv,na vipindi vingine vya Azam tv.
Mtoto wangu anampenda saana Ivone Kamuntu,lakini sasa hamuoni.
Dinah Kanze wa citizen pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua TING kuna channel ya UHAI TV utizame Hiyo habari ya AZAMTV utamkuta CHARZ&IVONNA.Vile vile kama unayo AZAM APP utaipata hiyo Channel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ameweza sana kuwanyoosha wakazi wa Dar.
 
Historia za hao vijana ni kwamba wamekulia shida na wanajua shida ipoje. Kiufupi maisha yao yamewafundisha kwamba ili uendelee ni lazima uwe na nidhamu na kazi. Maneno maneno hayampi mtu kitu, na debe tupu hotoa mlio mkubwa.

Mfano, Gondwe katokea mbali sana kimaisha.
 
Kuna Eng mmoja kama sikosei mkuu wa mkoa wa Geita ambaye ameanzisha masoko ya madini bila kuwa na maspika naye yuko njema.
 

Natamani hata wewe uliyetoa ushauri huu, apate fursa ya kukufahamu. Nahisi kama anaweza akakupatia angalau zawadi ya kukushika mkono tu kama aliyompa yule mheshimiwa wa TRA, japo yeye amepata na cheo pia. Wazalendo huwa hawatupani, wanafahamiana.
 
PLEASE be honest umemsahau mtu mmoja muhimu sana anajituma kwelikweli ila tu hamuoni juhudi zake huyu si mwingine bali ni PAUL MAKONDA mkkuu wa mkoa wa DSM
 
Natamani hata wewe uliyetoa ushauri huu, apate fursa ya kukufahamu. Nahisi kama anaweza akakupatia angalau zawadi ya kukushika mkono tu kama aliyompa yule mheshimiwa wa TRA, japo yeye amepata na cheo pia. Wazalendo huwa hawatupani, wanafahamiana.
Nashukuru. Ila mi nimewiwa tu Kama Mtanzania, nimeona nami nimsaidie kwa Maoni kidogo. Tuijenge nchi yetu sote. Huku nilipo nahudumia pia Wananchi Kama sehemu ya kuisaidia Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru. Ila mi nimewiwa tu Kama Mtanzania, nimeona nami nimsaidie kwa Maoni kidogo. Tuijenge nchi yetu sote. Huku nilipo nahudumia pia Wananchi Kama sehemu ya kuisaidia Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu (Allah) wa Ibrahim, Isaka na Yakobo awe pamoja na wewe daima. Hiyo Allah nimeweka kwenye mabano ni kwa ajili ya ku-take care kama wewe ni Muislam!
 
Bila kumshau mhe.Eng Evarist Ndikolo RC Pwani
Ana bahati ya kuwa karibu na Dar na kwa kuwa maeneo ya uwekezaji dar hayapo ,wawekezaji wengi sana wameona mkoa wa pwani kuwa ndio kimbilio la uwekazji kwa ajili ya soko la wakazi wa dar.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…