Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue sio kupendwa au kuchukiwa, bali kuombewa kifo! That's beyond na chuki za kawaida kwa mwanadamu! Na wala hakuna anaysema "apendwe na kila mtu" kwa sababu hata huyo Mungu hapendwi na kila mtu!Ukipendwa na kila hufai kuwa kiongozi.
Piece of written masturbation!Ass!
Unahusika kwenye paragraph ya mwisho!!!CHADEMA na ZITO KABWE na mafisadi ndio wanaomuombea mabaya rais, Watanzania wazalendo wote wanamuombea mema
Unajitekenya wewe,JK alichukiwa Kama kiongozi ,nje ya hapo no....huyu kachukiwa kutokana na kukosa utu,na Mungu akimwezesha astaafu ataishi maisha magumu Sana,tofauti na wenzake!Jpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Nimezungumzia kuchukiwa au kuombewa umauti?!Jpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Inabidi uwe dikteta ili uongoze!Ukipendwa na kila hufai kuwa kiongozi.
Tofautisha kuchukiwa na kuombewa mauti!!Kila rais ana wasiompenda. Akifanya mambo kumridhisha kila mtu ndio atafeli. Aendelee hivi hivi.
Trump ana watu wanatakia mabaya, uhuru kenyata hivyo hivyo, kagame hivyo hivyo. N ukichunguza kiundani wanaomtakia mabaya ni wale waaotaka siti yake pamoja na wafuasi wao.
Mimi simuombei mabaya lakini naomba Mungu ampemde zaidi ya tunavyompenda..
Mmesahau mlimuombea hivyo jk alipoanguka jukwaani? Pitia hii thread hapa chiniNimezungumzia kuchukiwa au kuombewa umauti?!
Wakala ni kabila huko ukerewe,usiwakashifu tafadhaliMtanyooka tu nyinyi wakala wa mafisadi. Hapa Kazi Tu. Umesahau kuwa mlimwita JK Rais dhaifu? Nyumb katika ubora wenu!
Nyie jamaa mna vicha maji sana, jk si mlimuombea hadi kifo alipoanguka jukwaani hadi uzi ukafungwa? Pitia huu uzi ujikumbushe maana vichwa vyenu vimejaa funzaUnajitekenya wewe,JK alichukiwa Kama kiongozi ,nje ya hapo no....huyu kachukiwa kutokana na kukosa utu,na Mungu akimwezesha astaafu ataishi maisha magumu Sana,tofauti na wenzake!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Sisi Sote Ni Wa Dhambi
Wingi unaupima na nn? Kifo cha Nyerere kiliumbua wengi, jinsi na namna Watz walivyokipokea kifo chake kwa majonzi makubwa .Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!
JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!
Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!
Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!
Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!
Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!
Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!
Limekuja hili sasa!
Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!
Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!
Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!
Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!