Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mam samia akiingia madarakani. Kitu cha kwanza anachotakiwa kukifanya ni deni la HESLIB.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaelewa Kiswahili?! Nimesema hawakuombea au nimesema:-Mmesahau mlimuombea hivyo jk alipoanguka jukwaani? Pitia hii thread hapa chini
Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)
Du ! Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia. Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani Masononeko na vilio mara baada ya Rais...www.jamiiforums.com
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Wale ni Wakara na wala Si WakalaWakala ni kabila huko ukerewe,usiwakashifu tafadhali
Acha mtazamo huo ambao ni jumuishi. Hata ndani ya ccm kuna wengi hawaupendi uongozi wake.CHADEMA na ZITO KABWE na mafisadi ndio wanaomuombea mabaya rais, Watanzania wazalendo wote wanamuombea mema
Wingi upi unaohoji wewe?!Wingi unaupima na nn? Kifo cha Nyerere kiliumbua wengi, jinsi na namna Watz walivyokipokea kifo chake kwa majonzi makubwa .
Uandishi Wa waandishi wenyefursa ya kufurahia tetesi siyo kipimo cha Watz wote
We jamaa bana, hawakuombea wakati kwenye uzi huo waliombea afe? Umeupitia? Yaan walitaman alivyoanguka angekufa kabisa alafu unasema eti hawajaombeaHivi unaelewa Kiswahili?! Nimesema hawakuombea au nimesema:-
Jpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Bado tu huelewi!!! Soma kwa vituo uelewe kilichoandikwa!We jamaa bana, hawakuombea wakati kwenye uzi huo waliombea afe? Umeupitia? Yaan walitaman alivyoanguka angekufa kabisa alafu unasema eti hawajaombea
Nyie ni wasahaulifu na wajinga sana
Ulimwengu na walimwengu wana mambo sana enzi za yjakaya walimuita dhaifu na kutwa kuchwa vijembe vilitawala, sasa hivi Jpm nananyoosha mambo yaende sawa mameno meeengi , hivyo walimwengu wanataka nini? Yote ni ubatili.Tofautisha kuchukiwa na kuombewa mauti!!
Namuombea ahache ukatili.CHADEMA na ZITO KABWE na mafisadi ndio wanaomuombea mabaya rais, Watanzania wazalendo wote wanamuombea mema
Magufuli kaanza kujiombea mabaya mwenyewe kabla mtu yeyote hajamuombea mabaya.Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!
JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!
Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!
Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!
Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!
Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!
Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!
Limekuja hili sasa!
Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!
Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!
Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!
Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
Hiyo ni kitu cha kawaida tangu zama zile , Hitler alipokufa ulaya nzima ilizizimaIssue sio kupendwa au kuchukiwa, bali kuombewa kifo! That's beyond na chuki za kawaida kwa mwanadamu! Na wala hakuna anaysema "apendwe na kila mtu" kwa sababu hata huyo Mungu hapendwi na kila mtu!
Rudi kwenye mada... kwanini wengi wanaonekana kumuombea mabaya zaidi?!Ulimwengu na walimwengu wana mambo sana enzi za yjakaya walimuita dhaifu na kutwa kuchwa vijembe vilitawala, sasa hivi Jpm nananyoosha mambo yaende sawa mameno meeengi , hivyo walimwengu wanataka nini? Yote ni ubatili.
Kuombewa kifo/uhai hakumfanyi mtu afe/aishi. Kila mtu amekuja kwa wakati wake na ataondoka kwa mda wake. Hizi chuki unazoziona wakati mwingine watu wapo kimkumbo tu, nakumbuka hata JK aliombewa mengi ya ajabu wakati anaumwa, lakini leo anaonekana kupendwa na kila mtu.Issue sio kupendwa au kuchukiwa, bali kuombewa kifo! That's beyond na chuki za kawaida kwa mwanadamu! Na wala hakuna anaysema "apendwe na kila mtu" kwa sababu hata huyo Mungu hapendwi na kila mtu!
Kila rais ana wasiompenda. Akifanya mambo kumridhisha kila mtu ndio atafeli. Aendelee hivi hivi.
Trump ana watu wanatakia mabaya, uhuru kenyata hivyo hivyo, kagame hivyo hivyo. N ukichunguza kiundani wanaomtakia mabaya ni wale waaotaka siti yake pamoja na wafuasi wao.
Hiyo unayosherehesha na kuiita Milipuko.Wingi upi unaohoji wewe?!
Kuahirisha uchaguzi mwakani mpaka katiba mpya ipigiwe kuraMam samia akiingia madarakani. Kitu cha kwanza anachotakiwa kukifanya ni deni la HESLIB.
Hii hoja ina ukosefu wa mantiki.Ulimwengu na walimwengu wana mambo sana enzi za yjakaya walimuita dhaifu na kutwa kuchwa vijembe vilitawala, sasa hivi Jpm nananyoosha mambo yaende sawa mameno meeengi , hivyo walimwengu wanataka nini? Yote ni ubatili.