Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Jambo Moja ambalo lipo clear ambalo Mie kwa upande wangu linaniudhi Ni vitu kupanda Bei na kutoongeza mishahara.Hili linaniudhi kwelikweli.
Ila wanasiasa hili la mishahara haliwahusu wao kilio Chao Ni demokrasia ili wapate fursa ya ajira (Ubunge & Udiwani)
 
Tofautisha kuchukiwa na kuombewa mauti!!
 
Nimezungumzia kuchukiwa au kuombewa umauti?!
Mmesahau mlimuombea hivyo jk alipoanguka jukwaani? Pitia hii thread hapa chini
 
Unajitekenya wewe,JK alichukiwa Kama kiongozi ,nje ya hapo no....huyu kachukiwa kutokana na kukosa utu,na Mungu akimwezesha astaafu ataishi maisha magumu Sana,tofauti na wenzake!
Nyie jamaa mna vicha maji sana, jk si mlimuombea hadi kifo alipoanguka jukwaani hadi uzi ukafungwa? Pitia huu uzi ujikumbushe maana vichwa vyenu vimejaa funza
 
Waliomo humu JF wengi ni wapinga yale yote yanafanywa na JPM kwa sababu zao binafsi na kwa sababu za wale wanao watuma
 
Reactions: Ame
Wingi unaupima na nn? Kifo cha Nyerere kiliumbua wengi, jinsi na namna Watz walivyokipokea kifo chake kwa majonzi makubwa .

Uandishi Wa waandishi wenyefursa ya kufurahia tetesi siyo kipimo cha Watz wote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…