Ipo siku mzee akitoka mtapata tabu sana kama mlikuvo kua wapole jana na juzi. Tutawatafuta mmoja baada ya mwingine.Kama ulivyo wewe , mwizi mwizi , fisadi fisadi , mtanyooka tu awamu hii , mlizoea shamba la bibi.
Sasa kama unajua hakuna aliyekamilika, kwa nini inakuwa tatizo watu wakimsema Magufuli?Hapo ndio tujue hakuna aliemkamilifu chini ya jua , na kua atakayekuja baada ya magufuli nae atakua na mapungufu yake , hivyo hivyo .
Uko sahihi sana, mahali pekee unapoweza kupata maoni na hisia halisi juu ya kukubalika kwa rais ni humu mitandaoni, maana nje ya mitandao ni kutafuta shida toka kwa wapambe wake. Uandikishaji wa daftari la uchaguzi SM umeakisi michango iliyopo mitandaoni.

we kakwambia nan sehem pekee ya kupata uhalisia ni mitandaoni: Bahati mbaya watu bado wameshika mitandao juzi tu wanaona wamefika dunia nzima: at the moment bado mitandao haina nguvu ya kutisha especially nchi zetu za Afrika, its very different na nchi zilizoendelea: doing a tech bussinesss in Africa is like burning money unlesss you have special target for only special people: or else ua target sio ya tz peke yake: Most developers In this country cant even cross 1M downloads on there apps alafu unasema mitandao ndo sehem pekee ya kupata mawazo ya watu: think twice
Nimezungumzia suala la kupendwa au suala la watu kuonekana kufurahia na kuombea rais akutwe na umauti?! Hata JK watu walikuwa hawampendi lakini hatukuwahi kushuhudia haya!! Hizi kauli za kwamba sijui "mtenda haki", sijui nini na nini ni kujaribu kufanya ujanja wa mbuni, kuficha kichwa chini wakati kiwili kiwili kinaonekana!!!
Tumeshuhudia majumba yakibomolewa hovyo hovyo kule Kilwa Rd... ndo utendaji haki wa wapi huo?!
Tumeshuhudia watu wakipotea, akina Saanane, Azory Gwanda, na wengine kuokotwa kwenye viriba, n.k... mnataka kusema huko ndo kutenda haki?!
Kwanini msifikrie hiyo ndiyo sababu iliyowafanya watu wapige shangwe badala ya hizi kauli mbiu za kutenda haki?! Kawatendea haki nani dhidi ya akina nani, ili tujiridhishe hao "dhidi ya..." ndiyo waliokuwa wanafurahia?!
Kabla ya kusoma kwa kawaida huwa naanza kufanya "scanning" ili kutenganisha pumba na mchele! Ajabu jicho likanasa haraka tu kwenye hayo majina! Ulichoandika ni TOO LOW, to the point hata kusoma post husika ni wastage of time, kwa sababu it's also a wastage of time ku-argue na mtu anaekataa ukweli kwamba, ni dunia ndiyo inalizunguka jua, na sio jua ndilo linaizunguka dunia hata kama asubhui litaonekana upande wa mashariki na jioni upande wa magharibi!!Ongea na nafsi yako, hakikisha unajiuliza hivi hili jambo ninalolisema kuhusu Azory Gwanda, kuhusu Ben Saanane, kuhusu voroba vya maiti ninalifahamu kwa hakika au hisia zangu tu? Nafsi yako itakuambia, kamwe nafsi haitakudanganya. Itakuambia pia kama wewe ni mtenda na mpenda haki au wewe ni dhulmati na mpenda dhulma. Wewe iulize tu, itakuambia!
Huna uwezo wa ku argue, una produce tu redd herring. Ongea na nafsi yako, inaufahamu ukweli hata kama hautausema kwa sababu za kishabiki au kinafiki.Kabla ya kusoma kwa kawaida huwa naanza kufanya "scanning" ili kutenganisha pumba na mchele! Ajabu jicho likanasa haraka tu kwenye hayo majina! Ulichoandika ni TOO LOW, to the point hata kusoma post husika ni wastage of time, kwa sababu it's also a wastage of time ku-argue na mtu anaekataa ukweli kwamba, ni dunia ndiyo inalizunguka jua, na sio jua ndilo linaizunguka dunia hata kama asubhui litaonekana upande wa mashariki na jioni upande wa magharibi!!
Enjoy your day!
Maneno yako yanadhihirisha kuwa unawashwa kunako.utampata wa kukukuna muda si mrefu.Unajichekesha nini, nimekuambia situmii hiyo huduma, pelekea mabasha wa Nampula.
Huna ubavu wa kunitafuta wewe shoga, huna ubavu wakuniamulia unachotaka wewe , live looong magufuli.Ipo siku mzee akitoka mtapata tabu sana kama mlikuvo kua wapole jana na juzi. Tutawatafuta mmoja baada ya mwingine.
Majizi makubwa nyie
Kila mtu au Raisi anazama zake , mwacheni atawale, Mungu karuhusu atawale na Mungu ndie atakaeimlinda, ushauri unaruhusiwa lakini si kumhujumu kwenye harakati zake za kiuongozi hilo ni kosa, kukosoa kwa matusi hilo ni kosa, tumieni hekima na busara kwenye kuwakilisha ujumbe wenu kwa maslahi mapana ya nchi yetu,ni mtu pumbafu tu anaewasilisha ujumbe wake kwa viongozi kwa kutukana matusi, heshima haiuzwi ni bure kabisa.Sasa kama unajua hakuna aliyekamilika, kwa nini inakuwa tatizo watu wakimsema Magufuli?
Mpaka wanaitwa mafisadi kwa kuwa wanamkosoa Magufuli tu!
Ukitoa mitandaoni ni wapi unathubutu kuongea mapungufu ya serikali/rais kwa uhuru? Kama ni kwenye redio, TV station na magazines hawataki ukiwa against serikali. Kwenye midahalo nako imedhibitiwa vibaya sana. Mitandao kuwa na watu wachache haimaanishi kuwa sio sehemu unaweza kupata uhalisia wa hali. Kwani watu wote huwa wanaelewa kila kitu, au ni baadhi tu na ndio huwa chachu ya wengine? Unaposema nchi za Afrika unaamaanisha nini? Maandamano ya nchi za North Africa Kama Egypt, Algeria, Libya nk, uhamasishaji ulianzia mitandaoni. Sudan na Zimbabwe hapo mpaka walizima internet kuepusha uhamasishaji. Hapa kwetu wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015 mitandao ya kijamii kama hii jamii forums ilikuwa hacked ili wananchi wasipeane taarifa.
Huenda ww ni mzee hivyo huna ujualo kuhusu mitandao, ndio maana unaoongea kwa mitazamo ya kizee. Mzee amka dunia kwa sasa mitandao ni sehemu ya kupatia habari kwa haraka, kuliko hizo sehemu nyingine ambapo utapata habari zilizochuchujwa kwa manufaa ya kikundi cha watawala.
Hujajibu swali. Kama kila mtu anakosea, na Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?Kila mtu au Raisi anazama zake , mwacheni atawale, Mungu karuhusu atawale na Mungu ndie atakaeimlinda, ushauri unaruhusiwa lakini si kumhujumu kwenye harakati zake za kiuongozi hilo ni kosa, kukosoa kwa matusi hilo ni kosa, tumieni hekima na busara kwenye kuwakilisha ujumbe wenu kwa maslahi mapana ya nchi yetu,ni mtu pumbafu tu anaewasilisha ujumbe wake kwa viongozi kwa kutukana matusi, heshima haiuzwi ni bure kabisa.
Ukitoa mitandaoni ni wapi unathubutu kuongea mapungufu ya serikali/rais kwa uhuru? Kama ni kwenye redio, TV station na magazines hawataki ukiwa against serikali. Kwenye midahalo nako imedhibitiwa vibaya sana. Mitandao kuwa na watu wachache haimaanishi kuwa sio sehemu unaweza kupata uhalisia wa hali. Kwani watu wote huwa wanaelewa kila kitu, au ni baadhi tu na ndio huwa chachu ya wengine? Unaposema nchi za Afrika unaamaanisha nini? Maandamano ya nchi za North Africa Kama Egypt, Algeria, Libya nk, uhamasishaji ulianzia mitandaoni. Sudan na Zimbabwe hapo mpaka walizima internet kuepusha uhamasishaji. Hapa kwetu wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015 mitandao ya kijamii kama hii jamii forums ilikuwa hacked ili wananchi wasipeane taarifa.
Huenda ww ni mzee hivyo huna ujualo kuhusu mitandao, ndio maana unaoongea kwa mitazamo ya kizee. Mzee amka dunia kwa sasa mitandao ni sehemu ya kupatia habari kwa haraka, kuliko hizo sehemu nyingine ambapo utapata habari zilizochuchujwa kwa manufaa ya kikundi cha watawala.
maswali yako yanahitaji ushauri na ndio huo niliokupa , ama unataka nijibu majibu unayotaka wewe ? Hili si darasa ,Hujajibu swali. Kama kila mtu anakosea, na Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?
Unaelewa kwamba Magufuli ndiye anayeanza kujihujumu mwenyewe kabla mtu mwingine yeyote hajamhujumu?
Huyo Mungu unayemsema unaweza kuthibitisha yupo na si hadithi za watu tu?
zero zero zero minded: kwahio nmekwambia kuhusu app stores ukaona nafaa kua mzee, let me tell you one thing:
the internet is only a threat in developed countries: we are a developing country: ingekua ivo kama unavodhan kampeni zingepigiwa mitandaoni as u think: the internet is still less than 0.01% to this country: ikienda off ama ikiwa on only a small percent will be a mess, hatuna any big companies that ni tishio, we are still a country that relies on agriculture: and most votes comes from the people ambao wako villages, wenzako wakipiga kampeni wanaenda vijijini kabisa ndan ndan kabisa uko alafu we unakuja kuongea sjui upuuzi gan:
The only thing tunajua uku ni kuajiriwa tu: so kama umeajiriwa tuliza mdomo
they know who you will vote for: and thats a threat uku akuna izo advancement : mbna nchi za afrika zinazimiwa internet nchi nzima na watu maisha yanaenda akuna ata uchumi unaodorora: google went down for just 14 minutes and 40% of the internet was lost, u cant compare to a nation that relies on agriculture: maoni yako its just 0% of all the views: becuse ata online bado kuna watu tunamkubali magufuli, so usiseme tumeshindwa kuongea
unlike other nations, google, facebook, whatsapp, wechat, alibaba, amazon these are companies that knows what your going to do next , they know what you like and what you dont like: they know what to recommend to you and what not: they know which ads are suitable for you and which arent: so peleka upuuzi wako huo because internet naona umejua juzi
Kula like zangu kumi.zero zero zero minded: kwahio nmekwambia kuhusu app stores ukaona nafaa kua mzee, let me tell you one thing:

Hujaeleza kama Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?maswali yako yanahitaji ushauri na ndio huo niliokupa , ama unataka nijibu majibu unayotaka wewe ? Hili si darasa ,
Huko kujihujumu ni kupi?
Mungu ni neno na neno liko nasi.
Narudia tena ww ni mzee, kama ni kijana basi una mawazo ya kizee au unaishi kwa wazazi, ndio maana una mikogo ya kitoto kwa kuongea kiswahili na kuchanganya na maneno mengi ya kiingereza, ili kuwakoga malimbukeni kuwa ww ni msomi. Sioni kama una hoja za msingi bali una hoja za mihemko na ulimbukeni juu. Hapa ni kama umeamua kuoga maeneo ya stand mida ya mchana, eti kudhibitisha kuwa ww ni msafi.
Wewe umesema anajihujumu , jibu swali lako wapi anajihujumu?Hujaeleza kama Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?
Hujathibitisha Mungu yupo.