Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kama ulivyo wewe , mwizi mwizi , fisadi fisadi , mtanyooka tu awamu hii , mlizoea shamba la bibi.
Ipo siku mzee akitoka mtapata tabu sana kama mlikuvo kua wapole jana na juzi. Tutawatafuta mmoja baada ya mwingine.

Majizi makubwa nyie
 
Hapo ndio tujue hakuna aliemkamilifu chini ya jua , na kua atakayekuja baada ya magufuli nae atakua na mapungufu yake , hivyo hivyo .
Sasa kama unajua hakuna aliyekamilika, kwa nini inakuwa tatizo watu wakimsema Magufuli?

Mpaka wanaitwa mafisadi kwa kuwa wanamkosoa Magufuli tu!
 
Uko sahihi sana, mahali pekee unapoweza kupata maoni na hisia halisi juu ya kukubalika kwa rais ni humu mitandaoni, maana nje ya mitandao ni kutafuta shida toka kwa wapambe wake. Uandikishaji wa daftari la uchaguzi SM umeakisi michango iliyopo mitandaoni.

we kakwambia nan sehem pekee ya kupata uhalisia ni mitandaoni: Bahati mbaya watu bado wameshika mitandao juzi tu wanaona wamefika dunia nzima: at the moment bado mitandao haina nguvu ya kutisha especially nchi zetu za Afrika, its very different na nchi zilizoendelea: doing a tech bussinesss in Africa is like burning money unlesss you have special target for only special people: or else ua target sio ya tz peke yake: Most developers In this country cant even cross 1M downloads on there apps alafu unasema mitandao ndo sehem pekee ya kupata mawazo ya watu: think twice
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 : kazi iko, jamii forum has only 515,957 members as am writing this: Nchi kama Tanzania ina watu zaidi ya 50M , unasemaje mtandaoni ndo kuna maoni halisi while ata 0.3 ya nchi nzima bado: what if wewe na wenzako wawili tu ndo mnakesha online mkijaza umbea ili muonekane mna mada: what about the other 93.7% do you think they have slow minds like yours? Mitandao ndo kwanza imeingia juzi tu nchi zetu za Afrika: lakini watu wanavoitumia utadhan walikua nayo toka ikiwa from 0? mitandao its only 0.5% of the country: leave alone jamii forum alone with 500K members: and kua online doesnt make you updated because you have to understand news have a different agenda than just updating you:

The world isnt bad as how people seem it to be in news and articles, there are good people on this planet, kuna watu wanakuchukia wewe kama wewe ujue ama usijue, and thats how Binadam tupo: Remember ata jesus alivokuepo duaniani still he was hated: and we cant say magufuli ni perfect neither are you: so ukijua na wewe una mapungufu yako shut it up
 
we kakwambia nan sehem pekee ya kupata uhalisia ni mitandaoni: Bahati mbaya watu bado wameshika mitandao juzi tu wanaona wamefika dunia nzima: at the moment bado mitandao haina nguvu ya kutisha especially nchi zetu za Afrika, its very different na nchi zilizoendelea: doing a tech bussinesss in Africa is like burning money unlesss you have special target for only special people: or else ua target sio ya tz peke yake: Most developers In this country cant even cross 1M downloads on there apps alafu unasema mitandao ndo sehem pekee ya kupata mawazo ya watu: think twice

Ukitoa mitandaoni ni wapi unathubutu kuongea mapungufu ya serikali/rais kwa uhuru? Kama ni kwenye redio, TV station na magazines hawataki ukiwa against serikali. Kwenye midahalo nako imedhibitiwa vibaya sana. Mitandao kuwa na watu wachache haimaanishi kuwa sio sehemu unaweza kupata uhalisia wa hali. Kwani watu wote huwa wanaelewa kila kitu, au ni baadhi tu na ndio huwa chachu ya wengine? Unaposema nchi za Afrika unaamaanisha nini? Maandamano ya nchi za North Africa Kama Egypt, Algeria, Libya nk, uhamasishaji ulianzia mitandaoni. Sudan na Zimbabwe hapo mpaka walizima internet kuepusha uhamasishaji. Hapa kwetu wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015 mitandao ya kijamii kama hii jamii forums ilikuwa hacked ili wananchi wasipeane taarifa.

Huenda ww ni mzee hivyo huna ujualo kuhusu mitandao, ndio maana unaoongea kwa mitazamo ya kizee. Mzee amka dunia kwa sasa mitandao ni sehemu ya kupatia habari kwa haraka, kuliko hizo sehemu nyingine ambapo utapata habari zilizochuchujwa kwa manufaa ya kikundi cha watawala.
 
Nimezungumzia suala la kupendwa au suala la watu kuonekana kufurahia na kuombea rais akutwe na umauti?! Hata JK watu walikuwa hawampendi lakini hatukuwahi kushuhudia haya!! Hizi kauli za kwamba sijui "mtenda haki", sijui nini na nini ni kujaribu kufanya ujanja wa mbuni, kuficha kichwa chini wakati kiwili kiwili kinaonekana!!!

Tumeshuhudia majumba yakibomolewa hovyo hovyo kule Kilwa Rd... ndo utendaji haki wa wapi huo?!

Tumeshuhudia watu wakipotea, akina Saanane, Azory Gwanda, na wengine kuokotwa kwenye viriba, n.k... mnataka kusema huko ndo kutenda haki?!

Kwanini msifikrie hiyo ndiyo sababu iliyowafanya watu wapige shangwe badala ya hizi kauli mbiu za kutenda haki?! Kawatendea haki nani dhidi ya akina nani, ili tujiridhishe hao "dhidi ya..." ndiyo waliokuwa wanafurahia?!

Unafiki na kujidanganya ndio kawaida yetu. Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, sheria lazima ifuatwe. Hata Yesu alikataa nyumba ya baba yake kuwa gulio la walowezi.

Watu walikufa kwa migomo ya madaktari, walimu waligoma mpaka elimu ikaporomoka, madudu lukuki ya aibu yamefanyika, usijisahaulishe. Watu walifikia hatua ya kuwekeana sumu na kuuwana waziwazi. Soma kuhusu sekretari wa Mwakyembe, watu walimwagiwa tindikali, ujambazi kila kona, hakuna wa kumuamini kati ya askari na jambazi au wewe hukuwepo nchini?

Nafsi yako inafahamu ukweli, iulize itakwambia, tulia, usiulize hasira zako. Watu wamesaidiwa kutenda haki, waliofoji vyeti watapata nafuu, sasa angalau watazikwa na majina yao halisi, watu waliishi wakifahamu kuwa hayo wanayoishi nayo si majina yao, fikiria uchungu kiasi gani? Mnamzika ndugu yenu kwa jina tofauti, anazaa inabidi watoto wake nae wawe na majina yasiyo yake, yasiyo ya ukoo yake.

Angalau ametusaidia sisi watenda maovu angalau kupata nafuu kwa kuadhibiwa kwa makosa ambayo tunafahamu fika tuliyatenda kutokana na nguvu ya mfumo ilivyotupeleka.

Watu wanakufa kila siku, ndio asili ya binadamu, amekufa Chacha Wangwe, amekufa Amina Chifupa, amekufa Mtikila. Kufa ni lazima kwa binadamu.

Kama hujaifahamu dunia rejea maandiko yanavyosemwa toka dunia iumbwe, wajinga, wapumbavu na wasiopenda haki ndio wameijaza dunia.

Pia, japo ukweli mchungu, popote duniani, uongozi bora ni ule unaohakikisha maslahi ya wengi lazima yatamalaki dhidi ya maslahi ya wachache by any means possible.

Ongea na nafsi yako, hakikisha unajiuliza hivi hili jambo ninalolisema kuhusu Azory Gwanda, kuhusu Ben Saanane, kuhusu voroba vya maiti ninalifahamu kwa hakika au hisia zangu tu? Nafsi yako itakuambia, kamwe nafsi haitakudanganya. Itakuambia pia kama wewe ni mtenda na mpenda haki au wewe ni dhulmati na mpenda dhulma. Wewe iulize tu, itakuambia!
 
Kabla ya kusoma kwa kawaida huwa naanza kufanya "scanning" ili kutenganisha pumba na mchele! Ajabu jicho likanasa haraka tu kwenye hayo majina! Ulichoandika ni TOO LOW, to the point hata kusoma post husika ni wastage of time, kwa sababu it's also a wastage of time ku-argue na mtu anaekataa ukweli kwamba, ni dunia ndiyo inalizunguka jua, na sio jua ndilo linaizunguka dunia hata kama asubhui litaonekana upande wa mashariki na jioni upande wa magharibi!!

Enjoy your day!
 
Huna uwezo wa ku argue, una produce tu redd herring. Ongea na nafsi yako, inaufahamu ukweli hata kama hautausema kwa sababu za kishabiki au kinafiki.

Unayekataa ukweli ni wewe! Dunia haina mtu mpenda haki ikabaki nae, labda mpaka afe, au atoke madarakani na kwenye cheo chake, huyo unayemsema alitukanwa mpaka akaitwa dhaifu na majina kibao, never, haijawahi kutokea.

siku ukiwa mkweli kwa nafsi yako, jitambue kwanza wewe mwenyewe, wewe ni dhulmat au mpenda haki, usijidanganye, jiambie ukweli, ku argue mtu unaweza ku argue chochote!
 
Ipo siku mzee akitoka mtapata tabu sana kama mlikuvo kua wapole jana na juzi. Tutawatafuta mmoja baada ya mwingine.

Majizi makubwa nyie
Huna ubavu wa kunitafuta wewe shoga, huna ubavu wakuniamulia unachotaka wewe , live looong magufuli.
 
Sasa kama unajua hakuna aliyekamilika, kwa nini inakuwa tatizo watu wakimsema Magufuli?

Mpaka wanaitwa mafisadi kwa kuwa wanamkosoa Magufuli tu!
Kila mtu au Raisi anazama zake , mwacheni atawale, Mungu karuhusu atawale na Mungu ndie atakaeimlinda, ushauri unaruhusiwa lakini si kumhujumu kwenye harakati zake za kiuongozi hilo ni kosa, kukosoa kwa matusi hilo ni kosa, tumieni hekima na busara kwenye kuwakilisha ujumbe wenu kwa maslahi mapana ya nchi yetu,ni mtu pumbafu tu anaewasilisha ujumbe wake kwa viongozi kwa kutukana matusi, heshima haiuzwi ni bure kabisa.
 
Ukitoa mitandaoni ni wapi unathubutu kuongea mapungufu ya serikali/rais kwa uhuru? Kama ni kwenye redio, TV station na magazines hawataki ukiwa against serikali. Kwenye midahalo nako imedhibitiwa vibaya sana. Mitandao kuwa na watu wachache haimaanishi kuwa sio sehemu unaweza kupata uhalisia wa hali. Kwani watu wote huwa wanaelewa kila kitu, au ni baadhi tu na ndio huwa chachu ya wengine? Unaposema nchi za Afrika unaamaanisha nini? Maandamano ya nchi za North Africa Kama Egypt, Algeria, Libya nk, uhamasishaji ulianzia mitandaoni. Sudan na Zimbabwe hapo mpaka walizima internet kuepusha uhamasishaji. Hapa kwetu wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015 mitandao ya kijamii kama hii jamii forums ilikuwa hacked ili wananchi wasipeane taarifa.

Huenda ww ni mzee hivyo huna ujualo kuhusu mitandao, ndio maana unaoongea kwa mitazamo ya kizee. Mzee amka dunia kwa sasa mitandao ni sehemu ya kupatia habari kwa haraka, kuliko hizo sehemu nyingine ambapo utapata habari zilizochuchujwa kwa manufaa ya kikundi cha watawala.

zero zero zero minded: kwahio nmekwambia kuhusu app stores ukaona nafaa kua mzee, let me tell you one thing:
the internet is only a threat in developed countries: we are a developing country: ingekua ivo kama unavodhan kampeni zingepigiwa mitandaoni as u think: the internet is still less than 0.01% to this country: ikienda off ama ikiwa on only a small percent will be a mess, hatuna any big companies that ni tishio, we are still a country that relies on agriculture: and most votes comes from the people ambao wako villages, wenzako wakipiga kampeni wanaenda vijijini kabisa ndan ndan kabisa uko alafu we unakuja kuongea sjui upuuzi gan:

The only thing tunajua uku ni kuajiriwa tu: so kama umeajiriwa tuliza mdomo

they know who you will vote for: and thats a threat uku akuna izo advancement : mbna nchi za afrika zinazimiwa internet nchi nzima na watu maisha yanaenda akuna ata uchumi unaodorora: google went down for just 14 minutes and 40% of the internet was lost, u cant compare to a nation that relies on agriculture: maoni yako its just 0% of all the views: becuse ata online bado kuna watu tunamkubali magufuli, so usiseme tumeshindwa kuongea

unlike other nations, google, facebook, whatsapp, wechat, alibaba, amazon these are companies that knows what your going to do next , they know what you like and what you dont like: they know what to recommend to you and what not: they know which ads are suitable for you and which arent: so peleka upuuzi wako huo because internet naona umejua juzi
 
Hujajibu swali. Kama kila mtu anakosea, na Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?

Unaelewa kwamba Magufuli ndiye anayeanza kujihujumu mwenyewe kabla mtu mwingine yeyote hajamhujumu?

Huyo Mungu unayemsema unaweza kuthibitisha yupo na si hadithi za watu tu?
 
ila mmekua mkimcrash sana magufuli: wenzetu kenya kuna viongozi wamechaguliwa ingawa walishakufa kitambo
1571657554068.png

Kama mlikua mnadhan magufuli mnamuita fisadi, sasa hamjaona mafisadi shukuruni tu Mungu
 
Hujajibu swali. Kama kila mtu anakosea, na Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?

Unaelewa kwamba Magufuli ndiye anayeanza kujihujumu mwenyewe kabla mtu mwingine yeyote hajamhujumu?

Huyo Mungu unayemsema unaweza kuthibitisha yupo na si hadithi za watu tu?
maswali yako yanahitaji ushauri na ndio huo niliokupa , ama unataka nijibu majibu unayotaka wewe ? Hili si darasa ,
Huko kujihujumu ni kupi?
Mungu ni neno na neno liko nasi.
 
zero zero zero minded: kwahio nmekwambia kuhusu app stores ukaona nafaa kua mzee, let me tell you one thing:
the internet is only a threat in developed countries: we are a developing country: ingekua ivo kama unavodhan kampeni zingepigiwa mitandaoni as u think: the internet is still less than 0.01% to this country: ikienda off ama ikiwa on only a small percent will be a mess, hatuna any big companies that ni tishio, we are still a country that relies on agriculture: and most votes comes from the people ambao wako villages, wenzako wakipiga kampeni wanaenda vijijini kabisa ndan ndan kabisa uko alafu we unakuja kuongea sjui upuuzi gan:

The only thing tunajua uku ni kuajiriwa tu: so kama umeajiriwa tuliza mdomo

they know who you will vote for: and thats a threat uku akuna izo advancement : mbna nchi za afrika zinazimiwa internet nchi nzima na watu maisha yanaenda akuna ata uchumi unaodorora: google went down for just 14 minutes and 40% of the internet was lost, u cant compare to a nation that relies on agriculture: maoni yako its just 0% of all the views: becuse ata online bado kuna watu tunamkubali magufuli, so usiseme tumeshindwa kuongea

unlike other nations, google, facebook, whatsapp, wechat, alibaba, amazon these are companies that knows what your going to do next , they know what you like and what you dont like: they know what to recommend to you and what not: they know which ads are suitable for you and which arent: so peleka upuuzi wako huo because internet naona umejua juzi

Narudia tena ww ni mzee, kama ni kijana basi una mawazo ya kizee au unaishi kwa wazazi, ndio maana una mikogo ya kitoto kwa kuongea kiswahili na kuchanganya na maneno mengi ya kiingereza, ili kuwakoga malimbukeni kuwa ww ni msomi. Sioni kama una hoja za msingi bali una hoja za mihemko na ulimbukeni juu. Hapa ni kama umeamua kuoga maeneo ya stand mida ya mchana, eti kudhibitisha kuwa ww ni msafi.
 
Kula like zangu kumi.
 
maswali yako yanahitaji ushauri na ndio huo niliokupa , ama unataka nijibu majibu unayotaka wewe ? Hili si darasa ,
Huko kujihujumu ni kupi?
Mungu ni neno na neno liko nasi.
Hujaeleza kama Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Narudia tena ww ni mzee, kama ni kijana basi una mawazo ya kizee au unaishi kwa wazazi, ndio maana una mikogo ya kitoto kwa kuongea kiswahili na kuchanganya na maneno mengi ya kiingereza, ili kuwakoga malimbukeni kuwa ww ni msomi. Sioni kama una hoja za msingi bali una hoja za mihemko na ulimbukeni juu. Hapa ni kama umeamua kuoga maeneo ya stand mida ya mchana, eti kudhibitisha kuwa ww ni msafi.

Toa hoja njoo na statistics zako nkuonyeshe data zilizoenda shule acha kurusha rusha maneno: Your still a small kid navokuona maana hujui internet inakua vipi a threat to the government: Mambo ya stendi sjui ata yameingilia vipi, i can show you very extreme datas ambazo u have never seen anywhere, So bring your facts acha kurusha maneno:

Let me even challenge you kwanza tuone kama unajua ata kinachoendelea: do you know where hidden government reports comes from? Do you know the hidden internet that you cant access? Do you know how government communicates with another government? Do you know anything about the .onion router(TOR)? ama ukishashika google unadhan umeshika internet nzima:

so another fact for you :

1571658360677.png

unaona tatizo la kujua jamii forum juzi ukadhan unajua internet nzima: google itself its just 0.03% of the whole internet:
hujui ata government documents znatoka wap: we umekazania tu jamii forum, njoo na facts nkupe facts ambazo huezi zipata sehem yoyote
 
Hujaeleza kama Magufuli anakosea, kwa nini inakuwa nongwa akikosolewa?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Wewe umesema anajihujumu , jibu swali lako wapi anajihujumu?
Hekima , maarifa , na ufahamu sahihi unahitajika katika kuwakilisha ujumbe , maombi , maono nk., na si kuropoka ropoka hovyo bila mpangilio.
Imani ndio inathibitisha kama Mungu Yupo, na wala halazimishi mtu yoyote kumuamini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom