Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.

Woi
 
Jibu ni kuwa hao wengi unaowaulizia ndio hao1000, kila la heri.
 
Limepuuzwa, ndo maana wakati umefika limejijibu lenyewe, kama huoni kutotaka UPUMBAVU kwa kinara wetu sina cha kukuonesha nalo bado muda utaamua.

Huyo uliyemtolea mfano anachapa kazi dosari zake ni ndogondogo zenye kuhitaji Makaripio ambayo yamefanyika.
 
Hujajibu kwa nini mjadala uwe kwangu, mtu nisiye na dhamana ya uongozi wa nchi, na si kwa Magufuli, rais wa nchi.

Unakwepa swali.
Mjadala uko jamii forum na members wanachangia na wewe umechangia , ukitaka mjadala na Rais Magufuli, nenda ikulu ukaombe mjadiliane.
 
Mjadala uko jamii forum na members wanachangia na wewe umechangia , ukitaka mjadala na Rais Magufuli, nenda ikulu ukaombe mjadiliane.
Mjadala uliopo Jamiiforums ni wa nini?
 

Njia pekee ya kufanya mambo yawe sawa ni kufanya harakati kuondoa kipengele cha katiba kinachozuia kushtakiwa raisi tujifunze kilichotakiwa brazil hii itafanya viongozi wetu kurshimu katiba na sheria hatuna njia nyingine
 
Nimemwangalia Rais Magufuli jinsi anavyojisikia vibaya kwa mashirika na taasisi zisizotoa gawio, kweli kazungumza kwa ukali na hisia kali.

Kosa wanalofanya serikali nikidhani watu wenye uwezo wa kuwa ma CEO wako Dar es Salaam tu na ni watu wenye connection na viongozi.

Kuna Watanzania wengi sana wenye uwezo wa kuleta positive impact kwa Watanzania wenzao lakini hawana connection na platforms za kuonyesha uwezo wao.

Tumbua watu wasio na uwezo wa kudeliver bila kuangalia wanatokea wapi na ni wakina nani.
 
Rais anawaamini sana ma profesa na madoctrine ila hawaleti kile anachotarajia

Ila kuna watu hawajasoma sana ila ni wabunifu mno angewapa nafasi

Anaowateua hawaleti matokeo anayotaka

Mwenye makosa ni yeye mteuaji na wala sio walioteuliwa!

Know that!
 
Hakika huyu mama sio wakuachwa tu anapaswa kupewa nafasi aoneshe uwezo wake
Wakati watu wanachagua makabila kuna Siasa kubwa ya utani ambao unatufanya akili ya mwanadamu iwe inatikili kuwa KABILA moja ni Bora kuliko lingine... SASA turudi kwenye uhalisia wa mambo:

Siasa ya KABILA la wahaya linaponzwa Sana na kukubaliana na yote HAYA bwana hivyo kusifika Kwa Sifa (Mie tajiri Ila wewe Ndiyo unahela)

Ili tufanye KAZI Kwa bidii ni muda wa kuchunguza Sifa za makabila mengine ili namjua iwe na MAANA mathalani:

Wapate Sifa ukiitoa Kwa sumaye ni kuwa na maviwanja mengi yasiyo endelezwa hivyo lable ya NOPLAN ni MTAJI makubwa kwenye kabila hili labda Kwa sababu hatujui PARE panahitaji nini

Wachaga!? Hawana Dharau kweli! Sijui maana Chadema ndiyo mfano wa Aina ya Siasa inayotakiwa nchini tunatakiwa tier na RAIS WA maisha MAANA NYERERE alisema ni CHADEMA pekee insyoweza kuchachafya Hadi saizi mwenyewe ni tule tule na kama ni Chama cha mfano basi tuteuwe rais WA MAISHA Katiba siyo ishu ili CHaga zetu zifanye KAZI.. wake watu wa kisa langu liende Kwa mwingine..

Wahehe:!?

Wagogo!?

Wajinga!?

Wanyakyusa!?

Matatizo waliweka posts Tunatafuta KABILA linalotekeleza elimu Tanzania ili lituondolee hatha ya Kufanya KAZI zisizo na maana kama kutokuwa na Akira ni fursa, kuwa na MAISHA ya kombolela fursa, maisha ya NOPLAN fursa n.k

Tukishindwa figure za kuelewa zinahusu


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…