stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Hizo lecture unazotaka kuniletea nimeachana nazo muda huko chuoni, na sasa nafanya kazi za nje ya degree yangu. Kwa ufupi nimejiongeza. Naona unataka kunirudisha kwenye theory ambazo kwangu hazinilipi. Nikitaka hiyo course yako nitalipa ada nije unifundushe. Naona umelazimisha internet internet kama ni jambo ambalo napaswa kujikita huko. Mimi naongelea siasa ya kawaida, ambayo mshindi anapatikana kwa kuiba kura, na figisu kibao, wapiga kura wanaahidiwa maji na barabara zaidi ya miaka 50, na hao hao wenye elimu za kukariri kama ww.
Hakuna jambo gumu hapo ambalo itapaswa unipe lecture ya kufungua link kibao ambazo ni useless kwangu. Kuna vyuo kibao ambavyo unaweza kwenda kuwakaririsha hilo darasa lako, lakini kwangu halina maana. So don't waste your precious time on convincing me to join your internet knowledge, asi it has nothing to do with me.
Woi