Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hizo lecture unazotaka kuniletea nimeachana nazo muda huko chuoni, na sasa nafanya kazi za nje ya degree yangu. Kwa ufupi nimejiongeza. Naona unataka kunirudisha kwenye theory ambazo kwangu hazinilipi. Nikitaka hiyo course yako nitalipa ada nije unifundushe. Naona umelazimisha internet internet kama ni jambo ambalo napaswa kujikita huko. Mimi naongelea siasa ya kawaida, ambayo mshindi anapatikana kwa kuiba kura, na figisu kibao, wapiga kura wanaahidiwa maji na barabara zaidi ya miaka 50, na hao hao wenye elimu za kukariri kama ww.

Hakuna jambo gumu hapo ambalo itapaswa unipe lecture ya kufungua link kibao ambazo ni useless kwangu. Kuna vyuo kibao ambavyo unaweza kwenda kuwakaririsha hilo darasa lako, lakini kwangu halina maana. So don't waste your precious time on convincing me to join your internet knowledge, asi it has nothing to do with me.

Woi
 
Umeshindwa kumtetea Magufuli sasa unageuza focus iwe kwangu.

Mimi sikugombea urais wa Tanzania, Magufuli aligombea.

Sasa unataka Watanzania wache kumjadili rais wao wanijadili mimi?

Unaniwekea mimi mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi sina standards sawa na Magufuli?

Huu ni wehu gani? Wa jumla au rejareja?
Jibu ni kuwa hao wengi unaowaulizia ndio hao1000, kila la heri.
 
Sasa kumbe kundi dogo, ya nini basi mnatoa mapovu dhidi ya kundi dogo?! Kwanini msilipuuze hilo kundi dogo?! Btw, mara ngapi Bashite amefanya upumbavu kwenye serikali yake na bado anae?! Kuna wasiasa wangapi waandamizi wa CCM wamefanya ufisadi wa kutisha nchi na hajawafanya chochote?!

Au hicho unachosema upumbavu ni nini hasa?! Ni hizi mbwembwe dhidi ya middle to low rank officers huku akiwagwaya top government officials ndio unataka kutudanganya kwamba hapendi upumbavu?!
Limepuuzwa, ndo maana wakati umefika limejijibu lenyewe, kama huoni kutotaka UPUMBAVU kwa kinara wetu sina cha kukuonesha nalo bado muda utaamua.

Huyo uliyemtolea mfano anachapa kazi dosari zake ni ndogondogo zenye kuhitaji Makaripio ambayo yamefanyika.
 
Hujajibu kwa nini mjadala uwe kwangu, mtu nisiye na dhamana ya uongozi wa nchi, na si kwa Magufuli, rais wa nchi.

Unakwepa swali.
Mjadala uko jamii forum na members wanachangia na wewe umechangia , ukitaka mjadala na Rais Magufuli, nenda ikulu ukaombe mjadiliane.
 
Mjadala uko jamii forum na members wanachangia na wewe umechangia , ukitaka mjadala na Rais Magufuli, nenda ikulu ukaombe mjadiliane.
Mjadala uliopo Jamiiforums ni wa nini?
 
Mimi mnyonge wa mwisho kabisa nitampogeza kwa kuiondoa ile kauli ya UNANIJUA MI NANI.
kukonana 2.jpg
 
Nimekuwa nikimfuatilia Mh Rais JPM kuhusiana na utendaji wake bila kusahau na maamuzi yake.

Ni Rais anayeweza kufanya mambo makubwa na mazuri kwa Taifa letu ikiwa tunaweza kufanya maamuzi magumu kama Taifa ya kutengeneza mifumo imara yenye uwezo wa kujidhibiti na kudhibiti viongozi na watumishi wake!.

Lakini pia tukiwa na mifumo iliyo huru isiyoweza kuingiliwa na mtu au kundi la watu kwa maslahi yao.

Na mifumo hiyo iwe na uwezo wa checks and balances.

Na ikiwa hayo hayawezekani kuwepo katika mifumo yetu tuwe tayari kupokea matokeo yoyote, maana nchi sasa ipo chini ya one man control.

Mh Rais ni Binadamu kama Binadamu wengine anaweza kuwa na mazuri yake na mabaya yake pia!.

Katika mifumo tuliyonayo kwa sasa hatuna mfumo unaoweza kwa sasa kumkosoa, kumshinikiza, kudhibiti, n.k. endapo kutatokea Mh Rais akikengeuka.

Eeee Mwenyezi Mungu tusaidie Rais wetu asikengeuke, vinginevyo tutasaga meno hadi utakapo shuka mwenyewe kunusuru hali itakavyokuwa imejitokeza!.

Njia pekee ya kufanya mambo yawe sawa ni kufanya harakati kuondoa kipengele cha katiba kinachozuia kushtakiwa raisi tujifunze kilichotakiwa brazil hii itafanya viongozi wetu kurshimu katiba na sheria hatuna njia nyingine
 
Nimemwangalia Rais Magufuli jinsi anavyojisikia vibaya kwa mashirika na taasisi zisizotoa gawio, kweli kazungumza kwa ukali na hisia kali.

Kosa wanalofanya serikali nikidhani watu wenye uwezo wa kuwa ma CEO wako Dar es Salaam tu na ni watu wenye connection na viongozi.

Kuna Watanzania wengi sana wenye uwezo wa kuleta positive impact kwa Watanzania wenzao lakini hawana connection na platforms za kuonyesha uwezo wao.

Tumbua watu wasio na uwezo wa kudeliver bila kuangalia wanatokea wapi na ni wakina nani.
 
Rais anawaamini sana ma profesa na madoctrine ila hawaleti kile anachotarajia

Ila kuna watu hawajasoma sana ila ni wabunifu mno angewapa nafasi

Anaowateua hawaleti matokeo anayotaka

Mwenye makosa ni yeye mteuaji na wala sio walioteuliwa!

Know that!
 
Hakika huyu mama sio wakuachwa tu anapaswa kupewa nafasi aoneshe uwezo wake
Wakati watu wanachagua makabila kuna Siasa kubwa ya utani ambao unatufanya akili ya mwanadamu iwe inatikili kuwa KABILA moja ni Bora kuliko lingine... SASA turudi kwenye uhalisia wa mambo:

Siasa ya KABILA la wahaya linaponzwa Sana na kukubaliana na yote HAYA bwana hivyo kusifika Kwa Sifa (Mie tajiri Ila wewe Ndiyo unahela)

Ili tufanye KAZI Kwa bidii ni muda wa kuchunguza Sifa za makabila mengine ili namjua iwe na MAANA mathalani:

Wapate Sifa ukiitoa Kwa sumaye ni kuwa na maviwanja mengi yasiyo endelezwa hivyo lable ya NOPLAN ni MTAJI makubwa kwenye kabila hili labda Kwa sababu hatujui PARE panahitaji nini

Wachaga!? Hawana Dharau kweli! Sijui maana Chadema ndiyo mfano wa Aina ya Siasa inayotakiwa nchini tunatakiwa tier na RAIS WA maisha MAANA NYERERE alisema ni CHADEMA pekee insyoweza kuchachafya Hadi saizi mwenyewe ni tule tule na kama ni Chama cha mfano basi tuteuwe rais WA MAISHA Katiba siyo ishu ili CHaga zetu zifanye KAZI.. wake watu wa kisa langu liende Kwa mwingine..

Wahehe:!?

Wagogo!?

Wajinga!?

Wanyakyusa!?

Matatizo waliweka posts Tunatafuta KABILA linalotekeleza elimu Tanzania ili lituondolee hatha ya Kufanya KAZI zisizo na maana kama kutokuwa na Akira ni fursa, kuwa na MAISHA ya kombolela fursa, maisha ya NOPLAN fursa n.k

Tukishindwa figure za kuelewa zinahusu


 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom