Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
mkuu upo? Naona tangu lowassa akatwee sijakuona kabisa.
Mi nipo week hii nzima nilikua kifungoni but am back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu upo? Naona tangu lowassa akatwee sijakuona kabisa.
Atafuta mambo mengine mengi lakini ubavu wa kufuta mwenge hana.
Rais anasimama kama figure ya Serikali, lakini Serikali ni mtumishi wa Mungu kwa ajili ya mema. Anabeba upanga, anakukata.
Warumi 13:1, 3-4 (SUV) Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
Huu msemo kwamba itii mamlaka kwa kuwa imewekwa na Mungu iachwe kwa wanaoamini lakini ziko mamlaka za kishetani duniani. mamlaka nyingi hutumia mpango wa siri kuangamiza wote wanaopinga mamlaka hizo.Rais anasimama kama figure ya Serikali, lakini Serikali ni mtumishi wa Mungu kwa ajili ya mema. Anabeba upanga, anakukata.
Warumi 13:1, 3-4 (SUV) Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
Habari Tumeshuhudia Serikali ya raisi wetu mpendwa Mstaafu ikiongozwa na wakinamama wengi Je kwenye serikali ya Mzee wa kazi ataendeleza huo utaratibu?. Nimeuliza hili swali huku niangalia tamaduni ya Kisukuma inayotoa kipaumbele kidogo kwa kinamama na Safu ya Mameneja wa TANROAD ambako mzee alikuwa anahusika. #HAPANIKAZITU
50 kwa hamsini hiyo aina mjadara
mbatia alipewa ubunge na mwenyekiti wa ccm alikuwa anatekeleza ilani ipi?