boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 81
Hahahaaaaaa hahahaaaaaa ataanzisha mahakama kwa kufuata Katiba gani? ila hawa jamaa bhana wana vituko sana sana
Kufanya marekebisho kwenye katiba kwa maana ya kuongeza Ibara ni nusu saa tu. Ila kubadili katiba nzima ndio miezi.
ningependa kukushauri mr. president, sitisha mara 1 ukimbzj mwenge coz unatumia pesa nyingi sana wakati hatuoni faida
Hilo sahau kabisa.
ningependa kukushauri mr. president, sitisha mara 1 ukimbzj mwenge coz unatumia pesa nyingi sana wakati hatuoni faida
toa sababu, sio unapwayuka km umekunywa viroba