boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 81
Akihojiwa na shirika la utangazaji la bbc,Nape Mnauye Jipu la kwanza kabisa,aliwahi kusema kuwa ccm hawtaanzisha mahakama ya mafisadi isipokuwa zitatumika mahakama zilizopo,lakini jana bwana Magufuli Mtumbua jipu amesema ataanzisha mahakama ya mafisadi na majizi, hapo utaona jinsi chama kupitia Nape kilivyo na picha tofauti na mtumbua majipu,kweli mtumbua majipu niwa kuombewa sana.