habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Atutangazie mshahara wake na ule wa makamu wake pamoja na wa waziri mkuu.
Ni haki yetu kujua tunawalipa kiasi gani.
Utasubir sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atutangazie mshahara wake na ule wa makamu wake pamoja na wa waziri mkuu.
Ni haki yetu kujua tunawalipa kiasi gani.
Ofisi za St. Joseph University ukifika kwa mara ya kwanza unaweza kudhani upo "Calcutta kwa Mama Thereza India"
Mkuu hii thread yako imenisaidia kupata picha ya kwa nini wahitimu wa hicho chuo ulichotaja wanasifika kwa kuiva kitaaluma. Hii kwa mujibu wa waajiri wachache niliopata kuonana nao personally na pia baadhi ya wahitimu wa vyuo vingine. Kwa mtazamo wangu suala la mikataba yao kama wageni na uharibifu wa taaluma ni vitu viwili tofauti. Kuna vyuo vingi sana hapa nchini ambavyo lecturers wake ni wazawa lakini bado kitaaluma viko chini mno. Kwa hiyo sishawishiki kukubaliana na wewe kwamba uwepo wa foreign lecturers pale chuoni umeharibu taaluma kwani kitaaluma chuo kiko vizuri sana. Labda hoja yako iwe ni kwanini wazawa (wenye taaluma husika, weledi na walio committed kwenye kazi) wasipewe kipaumbele kwenye ajira.
Kama huna uwezo wa kushukuru kwenye unacho kiona kidogo kamwe hutopata uwezo wa kushukuru kwenye unacho kiona kikubwa!Sasa hivi kumekuwa na matarajio na sifa kedekede kumwendea Magufuli katika wiki hizi tatu alizoingia ofisini. Tofauti na wengi, mi nitamkubali akifanya haya :
1) Akijenga reli ya kati, ili wenye malori yanayoharibu barabara zetu yakapaki uani
2) Akikamata wauza madawa ya kulevya wale wakubwa (mapapa)
3) Awafunge mafisadi kuanzia wa meremeta, KAGODA, ESCROW nk
4)Afute mbio za mwenge wa uhuru
5) Afute mikataba yote yenye utata ya madini na ya Gas.
Asipofanya haya, nitaona ni sanaa tu ndo zinaendelea.
Sasa hivi kumekuwa na matarajio na sifa kedekede kumwendea Magufuli katika wiki hizi tatu alizoingia ofisini. Tofauti na wengi, mi nitamkubali akifanya haya :