Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wewe Hijja Madava huna akili kabisa, yaani katika wale wajinga kumi wa kiume wilaya ya Mwanga, wewe nambari moja,
 
The problem with Africa...wanasiasa wanaosimamia haki wanaitwa wasaliti na wanaotetea wanyonge wanakatishwa tamaa ...coz kila mtu anaangalia tumbo lake....ila tunahitaji mwanasiasa mwenye hofu ya Mungu ndo ataweza....wapo viongozi wengi tu wenye hofu ya Mungu hivo ni kumuomba Mungu awainue ili wawe watetezi wa wanyonge.....
 
Tanapa na posta......hivi kwanza posta wana kazi gani siku hizi......?........
 
Hahaaaa sidhani hata ulinielewa nilipozungumzia suala la convenience za ATM.

Nadhani ulidhani mimi nazungumzia kutaka ATM ziteme dola.

Totally missed my point.

Ha ha ha ha ha

Kuna jamaa alikuwa anatutesa sana anasubiri amepiga box huko dola zake zimeingia mwisho wa mwezi kama elfu tu, anakuja bongo bana soo lake noma. Maana kama dola 5 ni wekundu wa msimbazi unategemea nini? hebu gawa 1000/5 ana wekundu wa msimbazi 200.
 
Hivi mnataka kila kitu kifanyike jana? Kwamba amechelewa? Mabadiliko hayaji kihivyo. Kila kitu kinafanywa kwa kupimwa na kupangiwa mkakati kinyume cha hapo itakuwa ni vurugu na itaharibu lengo la mabadiliko. Bado kuna mawaziri na watendaji wengine wanakuja n.k Au ndio kusema watu walichoka sana kiasi kwamba bora shamba zima litifuliwe tupande upya!?


MMM... people are tired, wanataka kila sector ipasuliwe kama jipu...

JPM kaanza vizuri... tumuunge mkono..!! Kila idara ya serikali inanuka uozo...!!
 
Kipindi cha kampeni zilipigwa billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea Jaunty makamba akajitetea kuwa zimetumika kununua wasanii.
 
Wadau,

Nmekuwa nikifuatilia sana mchakato wa rais mpya wa tanganyika... Maana Zenji bado kuna mgogoro lakini naona kama kwenye donda ndugu anapakwepa kiaina flani. Namuomba atie maguu Tanzania Electric Company.

Kuwadadavua kama kweli kapania kuirekebisha hii nchi na pia namuomba ahakikishe gharama za umeme, mafuta, vyakula na vifaa vya ujenzi vinashuka ili kuwakomboa watz wa kipato cha chini.

Nawakilisha.....
 
ngojeni mabwawa ya kuzalisha umeme yajae.
safari hii yakijaa tunaenda kupima uhuni hatuhitaji
 
ngojeni mabwawa ya kuzalisha umeme yajae.
safari hii yakijaa tunaenda kupima uhuni hatuhitaji

Unaambiwa jamaa huwa wanayafungulia maji ili kina kishuke...kwakweli huu ni uhujumu uchumi..kwasababu hilo suala linagusa maslai mapana ya taifa, basi hizo sehemu za kufungulia maji zinapaswa kulindwa na JWTZ 24hrs na access yake iwe dually controlled
 
Omba makusanyo ya dk1 tu ...utatamani dunia ipasuke huko kuna mapato mengi sn Serikali inayakosa

Mkuu, akimaliza kuisafisha TRA, inabidi awape majukumu kama hayo. La msingi pale TRA kuwe na watu wenye uwezo wa kufuatilia sehemu kama hizo. Yeye kama yeye hawezi kufika huko.
 
Omba makusanyo ya dk1 tu ...utatamani dunia ipasuke huko kuna mapato mengi sn Serikali inayakosa

Ila mkuu si umesikia new ajira in town?? Km unajua mwanya we toa taarifa za uhakika unakula 3% fasta....
Assume wanaiba $20 kwa sekunde nchi nzima kwa mwaka si unakua kibilionea na 3% yako....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom