MYAO WA KASKAZINI
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 133
- 59
Hahaaaa sidhani hata ulinielewa nilipozungumzia suala la convenience za ATM.
Nadhani ulidhani mimi nazungumzia kutaka ATM ziteme dola.
Totally missed my point.
Hivi mnataka kila kitu kifanyike jana? Kwamba amechelewa? Mabadiliko hayaji kihivyo. Kila kitu kinafanywa kwa kupimwa na kupangiwa mkakati kinyume cha hapo itakuwa ni vurugu na itaharibu lengo la mabadiliko. Bado kuna mawaziri na watendaji wengine wanakuja n.k Au ndio kusema watu walichoka sana kiasi kwamba bora shamba zima litifuliwe tupande upya!?
hapa pesa imepigwa vibayaBila kusahau ..
CCM
UVCCM
UWT
Tanapa na posta......hivi kwanza posta wana kazi gani siku hizi......?........
ngojeni mabwawa ya kuzalisha umeme yajae.
safari hii yakijaa tunaenda kupima uhuni hatuhitaji
Omba makusanyo ya dk1 tu ...utatamani dunia ipasuke huko kuna mapato mengi sn Serikali inayakosa
Omba makusanyo ya dk1 tu ...utatamani dunia ipasuke huko kuna mapato mengi sn Serikali inayakosa