Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ukiwa mchaga naona ni nuksi, ila usisahau hao wachaga ndio wanaobeba uchumi wa nchi

Pamoja na kubeba uchumi wa nchi mpaka leo hawajatufanyia lolote maskini zaidi ya kuzidi kujilimbikizia mali tu na kutaka nadaraka makubwa ili waibe nawachukia mpaka basi.
 
???!!!! Labda kweli! ila kama tunataka tutengeneze dunia yetu pekeetu vile!!
 
33. Punguza gharama za vifaa vya ujenzi ili wananchi wengi wamudu kujenga nyumba bora
34. Fufua Shirika la Ndege la Taifa (ATC)
35. Imarisha miundombinu ili kuondosha misongamano katika majiji na miji mikubwa (Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha)


Kwenye hili la shirika la ndege , mimi naona sio muhimu kama watu wanavyodhania. Shirika la ndege la taifa ni kama "vanity project" kwa sasa. Ukiangalia manufaa ya kuwa na shirika la ndege na gharama za kuliendesha sioni manufaa kwa mwananchi wa kawaida kwa sasa zaidi ya sifa tu. Labda useme shirika litakalofufuliwa libadilishe malengo yake ya kibiashara kwamba lizingatie safari za ndani ya nchi nafuu haswa kwenye maeneo ambya hamna safari za anga (budget airline model). Lakini bado sioni kama ni kipaumbele.

juliuse


 
ACHENI UJUHA!! Si Alikuwa MWANACHAMA Wa CCM Huyo!!?? Je, ALIPOKUWA Ndani Ya CCM Alikuwa Hawamjui Au Hawamuoni?? Kwanza Kwa KUWAAMBIA WATANZANIA Wanataka KATIBA MPYA Iliyotokana Na MAONI Ya WANANCHI!!! Nani Anayeukubali Msamiati Ndani Ya CCM!!??

Duuh, umeni Quote kwa maneno makali mno, tupo Vitani Mkuu? I was simply asking where's she from nikijaribu ku relate na maudhui ya msingi aliyowasilisha ktk hotuba yake. You could've just ignored me bila ya kuni Quote na maneno ambayo hata hayakujibu nilichouliza
 
Kiswahili so ndio international language pekee kwake? Sasa huu ni ushauri au uchokonozi kwa mhemiwa Pombe?
 
wenye ndoto na mitandao ya urais hawafai uwaziri. wataishia kupanga mitandao na biashara ya kununua watu. weka mawaziri wachapa kazi. urais wananchi wataibua mchapakazi kama walivyokuibua wewe.
 
Pamoja na kubeba uchumi wa nchi mpaka leo hawajatufanyia lolote maskini zaidi ya kuzidi kujilimbikizia mali tu na kutaka nadaraka makubwa ili waibe nawachukia mpaka basi.

nitajiee mchaga fisadi, tukimwacha mramba!!!
 
Kwa wkeli Muhongo ndio awe Waziri Mkuu.KwawaTanzaniana uliofikia Muongo ni proper person!
 
Yakufanya ni yale yaliyomo kwenye ilani ya chama chake mengine tu
 
Kiswahili so ndio international language pekee kwake? Sasa huu ni ushauri au uchokonozi kwa mhemiwa Pombe?

Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom