kufufua shirika la ndenge nani aliliua?kazi ni pale unapomwambia arudishe nyumba za serikali nani aliziuza?
Sio wakati wa kutafuta mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufufua shirika la ndenge nani aliliua?kazi ni pale unapomwambia arudishe nyumba za serikali nani aliziuza?
Ukiwa mchaga naona ni nuksi, ila usisahau hao wachaga ndio wanaobeba uchumi wa nchi
33. Punguza gharama za vifaa vya ujenzi ili wananchi wengi wamudu kujenga nyumba bora
34. Fufua Shirika la Ndege la Taifa (ATC)
35. Imarisha miundombinu ili kuondosha misongamano katika majiji na miji mikubwa (Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha)
ACHENI UJUHA!! Si Alikuwa MWANACHAMA Wa CCM Huyo!!?? Je, ALIPOKUWA Ndani Ya CCM Alikuwa Hawamjui Au Hawamuoni?? Kwanza Kwa KUWAAMBIA WATANZANIA Wanataka KATIBA MPYA Iliyotokana Na MAONI Ya WANANCHI!!! Nani Anayeukubali Msamiati Ndani Ya CCM!!??
Pamoja na kubeba uchumi wa nchi mpaka leo hawajatufanyia lolote maskini zaidi ya kuzidi kujilimbikizia mali tu na kutaka nadaraka makubwa ili waibe nawachukia mpaka basi.
nitajiee mchaga fisadi, tukimwacha mramba!!!
We mwenyewe na mzee wa vitaru,mr dj wote wezi tu na tumewachinjilia mbali dadadeki
safar ndo inaanza...
Kiswahili so ndio international language pekee kwake? Sasa huu ni ushauri au uchokonozi kwa mhemiwa Pombe?
Na hampati urais hata mukianza mara ngapi hiyo safari
weka kumbukumbu, nitakuja kukukumbusha.....
Yaani mwaka huu ndio tumewazika rasmi watanzania sio wajinga tumes'tuka