Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 620
- 370
Upuuzi at work, watu wanafikiria maendeleo nyinyi mnawaza majungu tu, hizo jumuiya za kimataifa zingekuwa na meno au ushawishi hali zilizopo sasa Burundi, south Sudan, Congo na kwingine zisingekuwepo,
Hebu punguzeni ujuha, uchaguzi umepita hata mkifanya nini hautarudiwa, muhimu sasa kutazama mustakbali wa Taifa na kutumikia wananchi sio kwenda kuonyeshana ubabe huko,
Kwa hoja yako hiyo Tanzania haina haja ya kujiita kisiwa cha amani kama unaifananisha na nchi ulizozitaja.