masamchris
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 244
- 82
madhara ya DIVISION FIVE hajui majukumu ya makatibu na majukumu ya mawaziri, KATIBA YA NCHI NDO MWONGOZO WA NCHI, RAIS HAWEZI VUNJA KATIBA KWA MIHEMKO YAKO. .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasi kubwa ulioanza nayo imetupa moyo mkubwa sisi wananchi Ni matumaini yetu mpaka 2025 spidi utakayomaliza itakuwa sawa na usain bolt amalizapo mbio zake.
kwa ushauri wangu ili kupunguza matumizi ya serikali Ni vizuri usiwateue mawaziri na manaibu waziri ili kupunguza mzigo WA serikali yako.
Fanya kazi na makatibu wakuu na manaibu wake ili maelekezo yako yatekelezeke moja kwa moja bila kuchakachuliwa na mawaziri na manaibu wake kwa sababu kiuhalisia makatibu na manaibu ndiyo watendaji wakuu na mawaziri na manaibu waziri wanabaki kutokuwa na kazi yoyote ya kufanya.
Na hili unaweza kulitekeleza kwa kuomba marekebisho ya katiba yafanywe na wabunge kwa kipindi cha sasa kwa kikao cha dharura.
Kwa kudhihirisha mawaziri na manaibu Ni mzigo angalia sasahivi kazi za serikali zinafanyika bila uwepo wao.

Atatumia katiba ipi? Mihemko soma kwanza katiba aliyoapa kuilinda inasemaje
Wengi wetu tumeguswa na jinsi ulivyoanza kazi, all we can say is KUDO'S.
Kinachofuatia ambacho wengi tungependa kukiona, na ambacho ni rahisi sana kuonekana na kuacha alama ya kumbukumbu, ni hizi Shangingi zilizojaa mjini, kwakweli kwa wengi zinatuumiza kuona matumizi yake yasivyokua na ulazima sana hata kwa watu ambao si lazima sana kuzitumia kwani zinanyonya hazina yetu bila kua na impact yoyote.
Kwakweli gharama za kuzihudumia hata kuzinunua ni juu sana na badala yake, sisi wanyonge tunashauri magari mengine yasiyo ya anasa sana wapewe hawa wakubwa zetu hawa ili watutumike vyema.
Mkuu Magufuli kuna hizi Rav 4 hizi ama hata toyota harrier kwa wale wakuu kabisa zitawatosha kabisa walau tusave pesa watoto waende shule na tupate vitanda mahospitalini.
Wengi wetu, tunahamu kuziona hizi shangingi hizi zikifutika hapa mjini, hakuna haja ya kuishi maisha ya anasa namna hii wakati wengi wetu mlo wa siku ni wa mashaka.
Asante mkuu Magufuli, natanguliza shukrani.
Hivi ni nani alileta wazo la kutumia mashangingi serikalini?KWELI, servise ya V 8 , NI 3 million.....overhaul ya engine ni 45 million...unaongeza hapo 20 million inakuwa 65 million unapata double cabin mpya without vat for gvt and public use....ukiongeza hapo 11 miliion unapata full na kodi zote kama private use.......
hizi ngoma zenyewe ukiweka wese bovu tu kuna mawili...mashine kwishney au ikikuonea huruma haimuvu hata sentimita moja...
wajinga ndio tuliwao.....mjapan huangalia unachotaka ndo anakupa...