Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mh. Rais JPM ukim?liza huko juu shuka na huku kw?nye halmashauri uone uozo na jinsi watu wanavyopeana vyeo na madaraka kwa upendeleo bila hata kuwa na sifa za kushika madaraka husika. Watu wanapeana nafasi zinazohitaji weledi na elimu ya kushika nafasi hizo. Utashangaa mtu mwenye certificate au diploma anapewa kuwa mkuu wa idara huku kukiwa kuna watumishi wenye degree na pengine masters.
 
RAIS MAGUFULI KARIBU NYASA wilaya iliyosahaulika,isiyo na barabara,ambayo radio tunazosikiliza ni za malawi tu,hata wakati wa kampeni wewe na Lowasa hamkuja labda kwa sababu barabara mbaya japo lakini tulikuamini na ulipata kura nyingi sana huku,KARIBU BABA UWASAIDIE WANYONGE HATA REDIO STATIONI MOJA PIA HUKU KWETU NYASA ZAHANATI HAZIPO ZA KUTOSHA NA MARELIA ZIKITUUA TUNAAMINI TUMELOGWA. karibu na Mungu akuongoze ukishindwa kuja mtume hata waziri mkuu,AHSANTE.
 
Ushauri kwa Dr Magufuli kuhusu kodi.

Hongera sana Rais John Pombe Magufuli...

Tanzania hatukisanyi kodi,mapato mengi yanapotea sasa kwa kwakuwa umeanza kutumbua majipu kwa kusimamisha vigogo ushauri wangu ni huu..
Kwanza kabisa pamoja na kuwa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi ipasavyo pia wafanya biashara wadogo nao hawalipi kodi.

Chanzo cha upotevu wa mapato haya ni uzembe wa wamanchi kudai risiti,hata unapodai risiti inaandikwa kwenye kitabu cha risiti na kuandikwa fedha pungufu hasa kwa kupunguza sifuri na baadae sifuri inawekwa baada ya kuchana risiti toka kwenye kijitabu.

Hivyo ili tukusanye kodi ni vyema Serikali iunde Jeshi la kodi kama talivyo majeshi ya Zima moto n.k.

Wapo vijana wengi sana niwahitimi wa vyuo mbalimbali na kupelekwa JKT huku wakiwa hawana ajira,hawa wakitumika kuunda jeshi maalum la kupekua kila mzigo uliobebwa na mwananchi kama una risiti basi hakika tutakusanya matrilioni ya fedha toka kwa wafanyabiashara ambao hawarejeshi VAT inayolipwa na watumiaji wa mwisho.

Asilimia 5% tu ya makusanyo itatosha kuwalipa vijana watakao kuwa wamezagaa mijini kuhakikisha wananchi wanashurutishwa kudai risiti kila wsnaponunua.

Pamoja na hayo Swala la Mashine za kutolea risiti (EFD)ni lazima kila mfanya biashara awe nayo na iwe inafanya kazi badala ya mtindo wa sasa hivi wa wafanya biashara kuziharibu na kisha kupewa barua za ruhusa ya kutumia risiti za mkono ambazo zinawapa mwanya wa kupunguza sifuri na kuijaza baada ya kuchana risiti.

Maeneo yafuatayo nayo yalazimishwe kutumia EFD ili kuokoa mabilioni yanayopotea.

1.Jeshi la polisi,kila faini ya barabarani au kituoni malipo yafanyike kwa EFDs,hii itaokoa mamilioni yanayoishi mifukoni mwa Askari wasio kuwa waaminifu.

2.Taasisi zote za serikali zitumie mashine katika makusanyo yake yawe ya kodi au faini.

3.Mabasi yaendayo mikoani pamoja na Dalala ziachane na mfumo wa kutoa risiti zinazoandikwa na wapiga debe ,badala yake zitumike mashine za kutolea risiti,hapa ikitozwa kodi ya shilingi 20 tu kwa kila tiketi ya daladala za mjini,Shilingi 50 kwa mabasi yanayo safiri umbali mdogo wa nauli isiyozidi elfu kumi,na Kwa mabasi ya mikoani kila tiketi ilipiwe shilingi 200 tu,hakika tutavuna mabilioni ya fedha na hatutakuwa nchi Omba omba tena.

Najua wengi walikata tamaa kwa serikali zilizopita kutokana na kodi Zetu kuliwa na wachache lkn kwa Mwendo wa serikali hii,watanzania watalipa kodi kwa moyo hasa sisi wanyonge.

Yangu ni hayo

Jashia K Maarufu.

0714276818/0765733718
 
Hapa nimekukubali mzee! Ongezea kwamba hata abiria anayesafiri kwenda mkoani adai risiti na tiketi kuwarahisishia kazi Sumatra kutokana na utapeli wa wapigadebe.
 
Hilo la PPRA analifahamu vizuri kwani aliligusia siku alipolihutubia bunge.Hapa nako 'mapaka shume' wanaangamiza nchi;bidhaa ya 50,000 unaambiwa ni milioni 20,000,000.
 
ooovyo, mwache aanze huko kwanza kwenye mabilioni

Yaani kuna watu mna akili ndogo humu! Huko juu ndo anaanzia lakini wala rushwa wabaya wako mitaani huku kama ulivyosema mtoa maada, kule juu ndio inakoanzia kazi na huku mtaani pia.
 
RAIS MAGUFULI KARIBU NYASA wilaya iliyosahaulika,isiyo na barabara,ambayo radio tunazosikiliza ni za malawi tu,hata wakati wa kampeni wewe na Lowasa hamkuja labda kwa sababu barabara mbaya japo lakini tulikuamini na ulipata kura nyingi sana huku,KARIBU BABA UWASAIDIE WANYONGE HATA REDIO STATIONI MOJA PIA HUKU KWETU NYASA ZAHANATI HAZIPO ZA KUTOSHA NA MARELIA ZIKITUUA TUNAAMINI TUMELOGWA. karibu na Mungu akuongoze ukishindwa kuja mtume hata waziri mkuu,AHSANTE.

Magufuri alikuja bwana lituhi hata hivyo mbunge wenu manyanya miaka mitano ataigeuza nyasa kuwa dubai
 
RAIS MAGUFULI KARIBU NYASA wilaya iliyosahaulika,isiyo na barabara,ambayo radio tunazosikiliza ni za malawi tu,hata wakati wa kampeni wewe na Lowasa hamkuja labda kwa sababu barabara mbaya japo lakini tulikuamini na ulipata kura nyingi sana huku,KARIBU BABA UWASAIDIE WANYONGE HATA REDIO STATIONI MOJA PIA HUKU KWETU NYASA ZAHANATI HAZIPO ZA KUTOSHA NA MARELIA ZIKITUUA TUNAAMINI TUMELOGWA. karibu na Mungu akuongoze ukishindwa kuja mtume hata waziri mkuu,AHSANTE.

Kwakweli Polen sana, msg yako imenitouch, msife moyo tabu yenu naamini itaisha mapema maana Magufuli ni mwajibikaji
 
mheshimiwa asisahau kupitia kwenye hizi baa za uswahilini wahudumu wamekuwa wazembe mno, mtu unaweza kukaa dakika 20 ila hakuna aliyekuja kukuhudumia!

Wewe naye! Tuma meseji kwa mabisi wao!😆
 
Hivi kile kiwanda cha Spirit kiko wapi vile ..?

mkuu kiko kifaru bebari wa kiesia ameajiri wahindi wenzie na waswahili kidogo kutoka arusha na dar sie wazawa ni vibarua tu tetesi zinasema et pm mstaafu C.D ana ubia na muhindi huyu anayepika pombe halali isiyo salama kwa vijana wetu
 
KUna mradi wa maji nyumba ya Mungu - Kisangara -Lemebeni -Mwanga zaidi ya miaka minne anasema hamna lolote amefanya .

ndugu yangu miradi hii haina tija wala ufumbuzi wa tatizo la uchumi linaloikabili wilaya hii huu mpango wa utekelezaji wa sera ya taifa na ametekeleza kama waziri husika si kama mbunge kiu yetu atekeleze sera ya cdm ya kujenga skim za umwagiliaji kwenye tambarare ya mashariki tukalime mpunga na mbogamboga tujenge uchumi wa wilaya hii
 
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu

umekosea wewe...ni moshi ndo iko juu kiuchumi,sio kilimanjaro
 
We kweli bado mshamba.

Siku hakuna tena haja ya watu kutembea na mahela.

Wanatembea na kadi tu.

Na kama ni kadi za VISA na MasterCard [ambazo zote ni kampuni za Kimarekani USA baby :usa2::usa2:] basi wanaweza kuchukua pesa kutoka kwenye ATM yoyote ile duniani.

Mimi juzi tu hapa nilikuwa Ikungulyabashahi huko na nikatoa pesa kwenye ATM kwa kutumia kadi yangu ya SunTrust na Bank of America.

Hata kadi zangu za CRDB na NBC zinafanya kazi Marekani. Kuna wakati nilienda Finland nikazitumia kuchukulia hela pia.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.

Ha ha ha
Nyani kweli waja kweli
By Design, Hiyo Visa card yako inafanyiwa trasanction na ATM. Ndio maana ukitoa fedha unachukua madafu. Siamini kama CRDB ATM inatema Dollar na kama ndivyo, basi kweli mie mshamba na hiyo inatakiwa ikome. Hivyo, unapochukua pessa ATM interest rate ya kununulia SHilling iko pale pale, ndio maana CRDB wanaajiri zaidi. Ha haha

Ninachosema hapa, bidhaa kununuliwa kwa dollar ndani ya Tanzania ni ikatazwe inaumiza na haina tija kwa Taifa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom