Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya majipu kila mmoja atatumbuliwa kwa namna yake!
Kama kuna utawala uliongoza kibabe ni kipindi cha awamu ya kwanza kufuta mfumo wa vyama vingi kuanzisha siasa ya ujamaa, kufuta soko huria
kuhamisha wananchi kwa nguvu bila idhini yao, kutaifisha shule kwa nguvu kukataza bidhaa za nje kama tv, simu, nk
Wengi wamesahau!
Nilichojifunza kutoka kwa huyu mtaalamu wa chemistry ( sijajua kuhusu masomo mengine kama kingereza nk) naiona awamu hii ikiipiku x 2 awamu ya kwanza juu ya record on human right and free practise of democracy.
sasa mbn unaleta ukatoliki HP wengine sio

Huyu assadsyria3 ni lofa miongoni mwa malofa wengi wa UKAWARofa! Ulikuwa na umri gani na unaelewa nchi ilikuwa katika mapito yapi. Jifunzen kwa baba zenu na mama zenu wawafunde
Katika kizazi hichi, hakuna raisi atayekuja kumpiku Baba wa taifa Mwl JK Nyerere. Kazi aliyoifanya Nyerere ya kutuunganisha watz zaidi ya makabila 100+ ina gharama kubwa mno. Watz pamoja na tofauti zetu ndogo ndogo taifa hili limeendelea kuwa moja kwa sababu ya Mwl Nyerere. So no one can outweigh Nyerere at all!
Waliotegemea Magufuli atawabeba kwa mbeleko leo wanahangaika. Assadsyria ni mkojawapoMuathirika wa upanga wa JP naona majeraha bado hajayapona..subiri bado JP anakuja kutia chumvi humo..
Mimi sikatai kutumbua majipu lakini ukivunja nyumba za mabondeni wapeni viwanja sehem nyingine hio ndio human right
Kama kweli atampiku nyerere bac big up prof magu........maana ndo tunataka mtu kama huyo.....dunia hakuna demokrasiq hizo ni tafasiri tu za wazungu.....hata sisi tunaweza kuwa na magufuli democracy....ambayo ndo hii ys sasa
Katika kizazi hichi, hakuna raisi atayekuja kumpiku Baba wa taifa Mwl JK Nyerere. Kazi aliyoifanya Nyerere ya kutuunganisha watz zaidi ya makabila 100+ ina gharama kubwa mno. Watz pamoja na tofauti zetu ndogo ndogo taifa hili limeendelea kuwa moja kwa sababu ya Mwl Nyerere. So no one can outweigh Nyerere at all!
madaraka ya rais asieambilika ni udikteta
waulize wafuatao
bibi titi mohmed
Mohammed said
Horace kolimba
kigoma Malina
ibrahim babu
kambona
lwaitama
rais wa zenz aliefukuzwa
kama wengine wamekufa waone ndugu zao. it needs a time to comprehend
Huyo assadsyria3 lazima atakuwa ameshakatiwa mrija mmoja wa kipato....kwa hizi kelele lazima atakuwa ameshahamia kambi ya Lowassa na Masha kuongeza nguvu...ameajiriwa rasmi kampuni ya Vibaka LtdWaliotegemea Magufuli atawabeba kwa mbeleko leo wanahangaika. Assadsyria ni mkojawapo