Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ndani ya miaka 5 au 10 ya Magufuli nadhani kila mmoja atakuwa anakilio chake kwa namna moja au nyingine..Uenda tofauti ikawa tu aina ya vilio
 
Kama kuna utawala uliongoza kibabe ni kipindi cha awamu ya kwanza kufuta mfumo wa vyama vingi kuanzisha siasa ya ujamaa, kufuta soko huria
kuhamisha wananchi kwa nguvu bila idhini yao, kutaifisha shule kwa nguvu kukataza bidhaa za nje kama tv, simu, nk

Wengi wamesahau!

Nilichojifunza kutoka kwa huyu mtaalamu wa chemistry ( sijajua kuhusu masomo mengine kama kingereza nk) naiona awamu hii ikiipiku x 2 awamu ya kwanza juu ya record on human right and free practise of democracy.

Katika kizazi hichi, hakuna raisi atayekuja kumpiku Baba wa taifa Mwl JK Nyerere. Kazi aliyoifanya Nyerere ya kutuunganisha watz zaidi ya makabila 100+ ina gharama kubwa mno. Watz pamoja na tofauti zetu ndogo ndogo taifa hili limeendelea kuwa moja kwa sababu ya Mwl Nyerere. So no one can outweigh Nyerere at all!
 
Rofa! Ulikuwa na umri gani na unaelewa nchi ilikuwa katika mapito yapi. Jifunzen kwa baba zenu na mama zenu wawafunde
 
Kuna wakati Watanzania tulikuwa tunatamani tuwe na Rais Dikteta kama Kagame. Tumempata Magufuli ambaye si Dikteta ila anasimamia sheria na kanuni tunaanza kuweweseka.
 
Katika kizazi hichi, hakuna raisi atayekuja kumpiku Baba wa taifa Mwl JK Nyerere. Kazi aliyoifanya Nyerere ya kutuunganisha watz zaidi ya makabila 100+ ina gharama kubwa mno. Watz pamoja na tofauti zetu ndogo ndogo taifa hili limeendelea kuwa moja kwa sababu ya Mwl Nyerere. So no one can outweigh Nyerere at all!

Ubarikiwe.

Tuna hangaika kuelewesha manyumbu wasio na fadhila hata kwa baba na mama zao
 
Mimi sikatai kutumbua majipu lakini ukivunja nyumba za mabondeni wapeni viwanja sehem nyingine hio ndio human right

Wapewe mara ngapi?!! Watu wanakaidi kila kitu... Ushauri, amri, wamepewa viwanja wanauza wanarudi bondeni....!!!! Hiyo ndiyo wanayostahili tu ... Hamna namna nyingine .....
 
Kama kweli atampiku nyerere bac big up prof magu........maana ndo tunataka mtu kama huyo.....dunia hakuna demokrasiq hizo ni tafasiri tu za wazungu.....hata sisi tunaweza kuwa na magufuli democracy....ambayo ndo hii ys sasa

Ni kweli mkuu make hawa vijana waliozoea kula kachori, mchuzi wa pweza na kukaa kwenye pool table ni lazima waone nongwa ila sie tuliozoea kukaza tunaomba mgonjwa aongezewe dozi tu ili tuheshimiane
 
Katika kizazi hichi, hakuna raisi atayekuja kumpiku Baba wa taifa Mwl JK Nyerere. Kazi aliyoifanya Nyerere ya kutuunganisha watz zaidi ya makabila 100+ ina gharama kubwa mno. Watz pamoja na tofauti zetu ndogo ndogo taifa hili limeendelea kuwa moja kwa sababu ya Mwl Nyerere. So no one can outweigh Nyerere at all!

madaraka ya rais asieambilika ni udikteta

waulize wafuatao
bibi titi mohmed
Mohammed said
Horace kolimba
kigoma Malina
ibrahim babu
kambona
lwaitama
rais wa zenz aliefukuzwa

kama wengine wamekufa waone ndugu zao. it needs a time to comprehend
 
Ndani ya familia yenu tu mmeshindwa kuridhishana, sembuse MAONGOZI YA NCHI, acheni kupotosha nchi. Kama Tz panakukera hamia Libya
 
Waliotegemea Magufuli atawabeba kwa mbeleko leo wanahangaika. Assadsyria ni mkojawapo
Huyo assadsyria3 lazima atakuwa ameshakatiwa mrija mmoja wa kipato....kwa hizi kelele lazima atakuwa ameshahamia kambi ya Lowassa na Masha kuongeza nguvu...ameajiriwa rasmi kampuni ya Vibaka Ltd
 
Last edited by a moderator:
vizuri nami namuomba mJPM apige marufuku magari ya serikali na yale ya mashirika ya umma kuacha kutembea baada ya masaa ya kazi isipokuwa kwa kibali maalum hasa yananikira sana yanapotembea siku za weekend
 
Wakati mwingine serikali inakosa mapato kwa uzembe kabisa. Ukisoma tax act ya mwaka 2004. utagundua kwamba kila mtu anawajibu wa kulipia kodi kipato anacho kipata.

Nchi za wenzetu kuna taasisi maalum inayosimamia uuzaji wa vitu vya watu. taasisi hiyo ndiyo inayo determin bei ya kitu kinachouzwa na thamani ya kodi inayotakiwa kulipwa kwa kitu hicho. hapa tanzania vitu tunauziana kiholela sana , mtu utamkuta anauza mgari wake mkweche kwa bei ya juu halafu mnunuaji anakaa nalo siku mbili linakufa huku ni kutokana na kukosekana kwa taasisi hiyo muhimu. lakini mbili mtu akishauza kitu chake halipi income tax. Inakuwaje mtu anauza kiwanja milioni mia moja halafu halipi kodi wakati hiyo ni income. Kwa nchi za wenzetu ni kosa la jinai kwa mtu kuuza kitu bila kupitia kwa underwriter , mtu ukitaka kuuza kitu hawa underwriter ndio wanao calculate value halisi ya kitu ambayo mnunuzi atalipa na kodi utakayo lipa , hapa bongo mtu analipuka tu bei pikipiki ya kuuza laki mbili mtu anang'ang'aninia milioni halafu katika mauzo hayo yanakuwa hayana tax.

Anzisheni taasisi hiyo ili tuongeze pato la nchi, watu kila siku ya Mungu wanauziana viwanja , magari, pikipiki, vyombo vya ndani , majumba kienyeji enyeji tu . Itungwe sheria ni marafuku mtu kuuza kitu chochote bila kupitia kwa underwriter hii itasaidia mtu kununua kitu kwa bei halisi baada ya kutolewa depreciation na atalipia kodi fedha atakazo zipata
 
Hii itasaidia sana jamaa yangu kauza kiwanja milioni hamsini na kodi hajalipa
 
Tatizo...pesa nyingi iliyo mikononi mwa watu ni ya magumashi....For that reason wenye nazo hawataki hizo sheria za kurasimisha uuzaji na ununuzi ili waendelee kupiga...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom