Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huo wimbo wa UKABILA na UDINI kaimbe na familia yako. Kama hukidhi vigezo usitake ubebwe kwa ajili ya dini ama kabila lako.

Well said mkuu...huu wmbo akaimbe mwenyewe apa anazunguka sana mbuyu ila analenga makabila ya kaskazin I. E wachaga...wameru na wapare...jamaa asilolijua ni kua kwenye taasisi nyingi za elimu wamejaa wanafunzi wa kanda ya kaskazin cz watu wa kaskazin wamewekeza kwenye elimu na ukiangalia ata performance wanaongoza sasa unaanzaje kuwanyima kazi??kna Kimei...Nassari...Msuya etc
 
Ni kweli kabisa...ila asiishie kwenye makampuni tu...ende hadi kwenye vyama vya kiasa...tunashuhudia baadhi ya vyama ili kupata cheo cha uongozi ni lazima uwe umetokea ukanda flani au umeoa koo flani..

Vyama vya siasa havimuhusu Rais bali wanachama wenyewe. Rais ana nguvu Zaid serikalini kwa sababu ndiyo muajiri Wa wote
 
Huo wimbo wa UKABILA na UDINI kaimbe na familia yako. Kama hukidhi vigezo usitake ubebwe kwa ajili ya dini ama kabila lako.
Ukikanyaga mwiba lazima utoe kelele hata kama upo ngangari
 
Huo wimbo wa UKABILA na UDINI kaimbe na familia yako. Kama hukidhi vigezo usitake ubebwe kwa ajili ya dini ama kabila lako.

hizi ni bangi za ..... haiwezekani swala nyeti unakimbilia kutoa negatives zako! Mwenye post si mkabila wala mdini na yeye apinga huo ubaguzi! tukubali tukatae udini na ukabila ni mapijibu sugu
 
Wana JF,
Habaru zenu

Nianze kwa kumpongeza Rais Magufuli kwa uzalendo alionao!

Tumo katika zama za kutumbua majipu. Tumemulika sana upande Wa uchumi au mapato ya serikali. Utumbuaji Wa majipu TRA, TPA, PCCB nk.... ni jambo linalotupa faraja.

Japo tumeangalia uchumi, lakini kuna jipu LA AJIRA KATIKA OFISI ZA UMMA. Naamini ni kubwa kuliko yote.

Watanzania tuna haki ya kupata ajira serikalini kwa misingi ya uadilifu. Zisiangaliwe dini, kabila, koo, eneo tunakotoka na jinsia. Cha kuangaliwa uwe uwezo Wa MTU kufanya kazi husika.

Kwa masikitiko makubwa, ajira serikalini zinazingatia dini, kabila na kanda katika wizara na mashirika mengi. Ukuu wa idara unazingatia dini, kabila na kanda. Huu mdudu umeanza kututafuna na utatupeleka pabaya sana.

Tutajikuta tuna dini fulani au kabila fulani ndiyo limeendelea kiuchumi sana kuliko dini au makabila mengine.

Kuna baadhi ya mashirika kama TRA, TPA, NSSF, baadhi ya mabenki nk...., yamelalamikiwa kuwa na ukabila na udini.

Tumefika mahali tumeanza kusema, kwa mfano, kupata kazi maliasili lazima uwe kabila fulani. Kupata kazi Tra lazima uwe kabila fulani, kupata kazi nssf lazima uwe dini fulani.....

Hii nchi ni yetu sote. Tuna haki ya kupata ajira kwa usawa bila upendeleo.

Namuomba Muh. Rais aunde tume ya kuchunguza jambo hili. Kwa mfano, Je TRA kuna zaidi ya nusu ya wafanyakazi kabila moja au dini moja! Kama ni hivyo kwa nini? Tuendelee na uchunguzi katika mashirika na wizara zote. Penye mapungufu ajira ziitishwe upya na uwiano uzingatiwe.

Bila kufanya hivi, watu wataendelea kuvutana na baadhi ya kabila, dini na kanda zitaendelea kuwa za wasindikizaji. Watoto wao hata wakisoma haitokua rahisi kupenya katika ajira serikalini. Barua za kazi lazima zitaendelea kuwekwa kapuni.

TANBIHI
Tuache mtindo Wa kukwepa kuzungumzia udini na ukabila. Tunazidi kulifanya jipu hili liwe kubwa zaidi na sugu. Kadri linavyozidi ukubwa watu wanazidi kuumia. Rais Magufuli tafadhali Pasua jipu hili.

Nimeona ulivyo mbaguzi,mdini na mkabila.

Kama huna hulka hiyo, umejuaje wingi wa kabila flan,dini au ukanda fulani.

Na je, kama wana qualification katika nafasi zao wanazuiliwa kuajiliwa kisa mf, wahehe kuajiliwa kanda ya ziwa ama wahaya kanda ya kati?

Mnachuma LAANA zenu wenyewe kwa tabia za kichochezi. Nyumbu mkubwa
 
Jipu la kuajiri kwa kigezo cha dini na kabila Lipo sana kwenye baadhi ya taasisi za serikali,ukienda TRA 80% ni kutoka kule na ukienda NSSF 90% ni dini Ile.

Nini kifanyike? Unadhani Rais aunde tume ya kuchunguza jambo hili na kupendekeza usawa uwe vipi au kuna njia nyingine?
 
Well said mkuu...huu wmbo akaimbe mwenyewe apa anazunguka sana mbuyu ila analenga makabila ya kaskazin I. E wachaga...wameru na wapare...jamaa asilolijua ni kua kwenye taasisi nyingi za elimu wamejaa wanafunzi wa kanda ya kaskazin cz watu wa kaskazin wamewekeza kwenye elimu na ukiangalia ata performance wanaongoza sasa unaanzaje kuwanyima kazi??kna Kimei...Nassari...Msuya etc

Pia mwuulze, sisi Wasukuma na uwingi wetu, tulipenda shule lini. Kama sio msukumo wa serikal?

Na tabia hzi zinatoka wapi
 
Nimeona ulivyo mbaguzi,mdini na mkabila.

Kama huna hulka hiyo, umejuaje wingi wa kabila flan,dini au ukanda fulani.

Na je, kama wana qualification katika nafasi zao wanazuiliwa kuajiliwa kisa mf, wahehe kuajiliwa kanda ya ziwa ama wahaya kanda ya kati?

Mnachuma LAANA zenu wenyewe kwa tabia za kichochezi. Nyumbu mkubwa

Jenga hoja. Tuache matusi. Hili ni jambo kubwa kuliko hata hayo makontena. Unajua kuwa ofisi ikiwa na kabila au dini moja watu wanaifanya kama kampuni ya kabila au dini? Unajua kuwa wanakua hawaogopani wala hawawajibishani? Matokeo yke ufanisi unapungua na rushwa inazidi.

Usijifanye kama upo sayari nyingine. Mtaani tunasikia mengi na baadhi tumeyaona wenyewe maofisini. Hadi kiswahili kimekufa ktk baadhi ya ofisi. Ni lugha za asili ndiyo zinarindima kwa sbb ofisi in ya ukoo au kabila moja. Lisemwalo lipo
 
Tunaomba mwenye data za waajiriwa wa NSSF atuwekee hapa. Ikiwezekana na majina kabisa maana hao ni waajira wa mashirika ya umma yanayoendeshwa kwa kodi zetu. Tumechoka na hizi ngojera.
 
Ni kweli hili jipu lipo, kwa mtazamo wangu jibu kubwa kuliko yote ni vijana wetu kuto taka kufanya kazi. Watz wengi hawapendi kufanya kazi, kwa sababu ya uvivu huu, ajira rasmi ndio inapewa heshima, kumbe ajira katika sekta binafsi/isiyo rasmi imejaa tele.
 
Tatizo dini ile kukunbatia ajira ktk sekta za umma na kudharau wengine wanapojiajiri
 
OK. Mleta Uzi weka vielelezo

Hili ni jambo linalo husu wizara zote, taasisi na mashirika ya umma yote.... Ni jambo pana sana.

Kutoa mfano Wa shirika moja hakuwezi kuakisi mashirika na wizara nyingine. Nu jambo ambalo linahitaji mjadala na utafiti Wa kitaifa
 
Tatizo dini ile kukunbatia ajira ktk sekta za umma na kudharau wengine wanapojiajiri

Hatuzungumzii kujiajiri au sekta ya ajira binafsi. Mtu binafsi ana uhuru wa kunfanya mkewe awe meneja wake. Serikalini haruhusiwi kufanya hivyi. Mada n ajira serikalini
 
NSSF....

Kama wewe si mwislam nafasi yako kupata kazi ama kuhudumiwa ni 5%

Waliokumbwa na kadhia hiyo wapo hadharani
 
Nimeona ulivyo mbaguzi,mdini na mkabila.

Kama huna hulka hiyo, umejuaje wingi wa kabila flan,dini au ukanda fulani.

Na je, kama wana qualification katika nafasi zao wanazuiliwa kuajiliwa kisa mf, wahehe kuajiliwa kanda ya ziwa ama wahaya kanda ya kati?

Mnachuma LAANA zenu wenyewe kwa tabia za kichochezi. Nyumbu mkubwa

mkuu usikatae na kuanza kudhihaki, mleta mada yupo sahihi. Wewe toa maoni alafu ukae kimya, anayoyasema yapo wazi.
 
Mtoa mada kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuchangia kama ifuatavyo:-
Wakati makabila na watu wa kanda fulani fulani mkicheza vigodoro, baikoko, mchiriku na mnanda. Na wakati wengine mkiwatembeza watoto wenu msituni kutwa nzima kama wanyama ili wachunge mifugo wachaga, wahaya na wanyakyusa waliwekeza nguvu kupeleka watoto wao shule.
Wakati dini fulani fulani zikiweka nguvu kupeleka watoto kwenye mafunzo ya kidini na kuyaita mafunzo hayo kama "vyuo", dini nyingine ziliweka mkazo kwenye elimu dunia.
Sasa watu wa makabila na dini zilizoweka msukumo kwenye elimu kwa watoto wao wamejaa kila ofisi. Na ni utaratibu wa kawaida tu kumsaidia mwenzio unayemjua kuingia ofisi uliyopo. Na wote wanaosaidiwa wana sifa.
Cha msingi hapa ni kumuomba JPM aongeze wigo wa ajira ili na ninyi ambao mna asili ya kuchunga ng'ombe, kucheza vigodoro, mnanda na baikoko mpate ajira.
 
Nini kifanyike?

Hili suala ni la kimfumo na linaanzia chini from the roots.

Mfano hai: Reli imekufa kabisaaa hii ilikuwa inachangia sana ktk usafiri wa wanafunzi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa urahisi zaidi kitu ambacho kilileta combination ya watanzania wote tukawa ndugu moja.
TRC ilikuwa ina mabasi yake yaliyokuwa yanasaidia usafiri wa wanafunzi kuwa rahisi hapa nchini.

Mfumo wa elimu urudishwe kama zamani.
Mwanafunzi anatoka Zanzibar anapangiwa Kilimanjaro, wa Kilimanjaro anapangiwa Mbeya, wa Mbeya anapelekwa Dar, wa dar anaenda Kigoma.

Elimu iboreshwe na elimu iwe ni suala linalosimamiwa na serikali kwa 100%. Shule za binafsi zipungue kama siyo kuisha.

Jeshi baada ya form six lirudishwe mchanganyo wa kambi ni uleule kama mashuleni.

Hivyohovyo vyuoni.

Mpaka tunakuja kufika makazini mchanyiko unakuwa ni hivhohivyo kwa sababu taarifa za muombaji kazi zitakuwa zinajieleza kutoka kwenye CV yake.

Hii itasaidia kuondoa ukabila na udini kwa kiasi kikubwa sana na italeta mshikamano wa watz kwa ujumla.

Leo hii mtoto kazaliwa dosoma kakulia dodoma kasoma Dodoma kuanzia primary-chuo kazi hapohapo dodoma ofisini kapigiwa pande na ndugu yake hapohapo Dodoma sasa kwanini wasiongee kilugha hapo ofisini.

Hili tatizo limetoka chini kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom